Dah! No true love

Dah! No true love

Shida ni kwamba watu hamjiamini, na kama Mwanaume halafu haujiamini Mwanamke anaona haraka sana na kukudharau, ukiwa mtu wa kujiamini uta-date mademu wanaojiamini pia na hivyo kuwa na Mahusiano bora na ya kudumu yaliyo na heshima na shaha, sasa swali linakuja unawezaje kujiamini kama Mwanaume? Siyo rahisi kihivyo kwani ni swala la malezi kama ulilelewa na baba asiyejiamini na asiyemwamini Mke wake uwezekano wa wewe kutokujiamini ni mkubwa sana, ...

Kujiamini unaamaana kukubali kuwa na mwanamke mwenye wanaume 10 ,fafanua kdg au ndo kujiamini kwamba wewe ni bora kuliko hao 10
 
mchunguze pale tu ukiona mwenendo wake haupo sawia na ushamweleza zaidi ya mara moja
Basi tunatofautiana.

Japo siishi na mwanamke lkn ikitokea lazima baada ya muda flani nipitie kuchunguz bila yeye kufahamu.

Kuna kulea watoto damu isiyo yako ndug, pia kumbuk Kuna magonjwa hatar.
Aisee hapana mwanamke mkorofi NO.!
 
ukimchunguza sana bata huwezi kumla, pia suala la magonjwa na kulea mtoto asiewako haliepukiki kwa kuchunguza maana unaeza chunguza na usibaini akati kuna ufisadi tayari ushafanyika
 
Hahahaha pole jamaa iliwahi nikuta kama hivyo.
Nilikua nina demu mmoja wa kichaga ana bonge chura halafu alinipenda mwenyewe maana ndiye aliyenitongoza kupitia best ake mapwnzi yalinoga mpaka kwa wana.Nilitambulishwa kwa watu wengi sana wengine hasa wa kiume kua ndo jamaa ake manina zake kumbe washikaji wananichora wanamtafuna sana mpaka mtaro.Siku moja tulikwaruzana ikapelekea simu yake kupasuka kioo baada ya kuanguka na ishu ilikua mimi nataka kwenda kucheki UEFA na yeye hataki nitoke usiku baada ya kuona simu imeanguka imepasuka kioo akaanza kulia simjali nathamini mpira bla bla kibao basi nikamuomba radhi.

Asubuhi nikachukua simu yake nikaenda kumbadilishia kioo pale k/koo aisee niliyokutana navyo kwenye simu balaa alitembea mpaka na shemeji yake bwana wa best yaje mkubwa kuliko wote,q tangu hiyo siku sijawahi muamini mwanamke mpaka leo zaidi ya mama angu mzazi..ndani ya wiki tu alitobwa na washikaji si chini ya nane na picha za hasara juu MARRY CHUWA NAJUA UKO HUMU ILA SITAKUSAHAU HAHAHAHHAHHAHHA.
 
Teh! Umejuaje Kama yupo humu??
 
ukimchunguza sana bata huwezi kumla, pia suala la magonjwa na kulea mtoto asiewako haliepukiki kwa kuchunguza maana unaeza chunguza na usibaini akati kuna ufisadi tayari ushafanyika
Abiria chunga mzigo wako, ukiuchunga halafu ukapotea hutojuta San maana utajipa moyo kwamba ilipangwa upotee kuliko ukajiamin na kupuuza mwisho wa siku ukapotea utajilaumu kwa kufanya uzembe.!

Do your best the rest leave to God.!
 
ngumu kumezaaa.....simu na pochi/mikoba ya mwenza wako sio vya kupekua hata kama amekupa neno siri (pass word) ...
 
Hahahaha pole jamaa iliwahi nikuta kama hivyo.
Nilikua nina demu mmoja wa kichaga ana bonge chura halafu alinipenda mwenyewe maana ndiye aliyenitongoza kupitia best ake mapwnzi yalinoga mpaka kwa wana.Nilitambulishwa kwa watu wengi sana wengine hasa wa kiume kua ndo jamaa ake manina zake kumbe washikaji wananichora wanamtafuna sana mpaka mtaro.Siku moja tulikwaruzana ikapelekea simu yake kupasuka kioo baada ya kuanguka na ishu ilikua mimi nataka kwenda kucheki UEFA na yeye hataki nitoke usiku baada ya kuona simu imeanguka imepasuka kioo akaanza kulia simjali nathamini mpira bla bla kibao basi nikamuomba radhi.

Asubuhi nikachukua simu yake nikaenda kumbadilishia kioo pale k/koo aisee niliyokutana navyo kwenye simu balaa alitembea mpaka na shemeji yake bwana wa best yaje mkubwa kuliko wote,q tangu hiyo siku sijawahi muamini mwanamke mpaka leo zaidi ya mama angu mzazi..ndani ya wiki tu alitobwa na washikaji si chini ya nane na picha za hasara juu MARRY CHUWA NAJUA UKO HUMU ILA SITAKUSAHAU HAHAHAHHAHHAHHA.
Wanawake achana nao mkuu..!! Yani ukiambiwa lolote demu wako either uamue kuufanyia kazi Ukweli au Uupotezee Ukweli lakini story yoyote ukiambiwa na wana kuhusu demu wako ni Ukwelii.. Unafiki upo sana tu
 
Hahahaha pole jamaa iliwahi nikuta kama hivyo.
Nilikua nina demu mmoja wa kichaga ana bonge chura halafu alinipenda mwenyewe maana ndiye aliyenitongoza kupitia best ake mapwnzi yalinoga mpaka kwa wana.Nilitambulishwa kwa watu wengi sana wengine hasa wa kiume kua ndo jamaa ake manina zake kumbe washikaji wananichora wanamtafuna sana mpaka mtaro.Siku moja tulikwaruzana ikapelekea simu yake kupasuka kioo baada ya kuanguka na ishu ilikua mimi nataka kwenda kucheki UEFA na yeye hataki nitoke usiku baada ya kuona simu imeanguka imepasuka kioo akaanza kulia simjali nathamini mpira bla bla kibao basi nikamuomba radhi.

Asubuhi nikachukua simu yake nikaenda kumbadilishia kioo pale k/koo aisee niliyokutana navyo kwenye simu balaa alitembea mpaka na shemeji yake bwana wa best yaje mkubwa kuliko wote,q tangu hiyo siku sijawahi muamini mwanamke mpaka leo zaidi ya mama angu mzazi..ndani ya wiki tu alitobwa na washikaji si chini ya nane na picha za hasara juu MARRY CHUWA NAJUA UKO HUMU ILA SITAKUSAHAU HAHAHAHHAHHAHHA.
Dah! yani maisha yetu yako rehani sana
 
Usishike simu ya mpenzi wako.

Wife alishika ya kwangu ndani kukawa na bifu la wiki mbili nzima. Sema nikiwa kama kidume sikosi cha kujitetea na mambo yameisha. Nikamuonya sio vizuri tushikiane simu.

Simu simu weeeee
Unajitetea nini kaka. Hapo ni kumwambia ulimetafuta sasa maamuzi ya kwako
 
Wakuu

Naandika ujumbe huu mapigo ya moyo yakiwa kasi kama mashindano ya Marathoni

Niko napitia hapa sms kwenye simu ya mpenzi wangu(kike) nimeitoa leo kwa fundi ilipata tatizo flan,Dah yani siamini kama ndo huyu Moyo wangu ulokua tayari kuacha ukapela kwa ajili yake.

Mabwana kama 10 wote wanaitwa majina mazuri,Yani anavonisisitiza nisimuumize sikutaraji kama anaweza kuwa hivi
Mwanawane wee wagegede tuu ...wako ukiwa unagegeda tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom