Ni harusi mkuuwashilikishe na hao mabwana wenzio ili muumie wote.si unajua msiba wa wengi???
I repeat one man down!!!!One man down
😁😁😁 Hiyo na Mimi naitaka,Kuna pimbi aliingilia ndoa yangu na vihela vyake uchwara akavuruga kila kitu. Baada ya mateso ya moyo nikapewa connection chimbo flani kwa babu,Mzee anafanya yake ndani ya miezi miwili jamaa alipoteza kila kitu,maduka,magari Hadi nyumba yake ikapigwa mnada. Jamaa karudi kijijini kwao na hawezi kuja mjini tena,kapigwa gundu moja Zito mno
.
Since alikuja kwangu kishirikina mpaka kwa mama yoyo ilibidi nimpe mama yoyo second chance japo nae ameigwa spana kidogo atulie Maisha yasonge. Wewe ukiwa na mtu/mke/mume kuna anakesha kwa waganga ampate,avunje mahusiano yenu. You don't a chance with love only unless iko imara kwenye Imani au Mila zetu za kiafrika.
Wewe kula mzigo tu. .. sehemu Kama hiyo usiwekeze muda wako .pesa zako Wala upendo ...then thanks me laterMimi Kuna mmoja hapa namfukuzia
Najua ana mabwana wengi Sana maana hio simu yake niliombaga niingalie jina ikapigwa lock fasta ndio nikapewa
Kikubwa Nani atainua kombe
Wengine hawawezi kuumia waweza kukuta walikuwa wanajipigia tu hawakuwa na upendo nae ... Kwani chief haujawahi kudate na mwanamke ambaye haumpendi hata kidogo ..hii hali Mimi imeshawahi kunitokea Mara nyingi tu Tena Kuna wakati unajikuta una toka na manzi mkali kwli kweli na watu wakimuona Wana appreciate lakini wewe hata feeling nae za upendo huna ... Ila sasa inaweza kuja kutokea unanasa kwa mwanamke was kawaida tu .. sio mkali kiviiilewashilikishe na hao mabwana wenzio ili muumie wote.si unajua msiba wa wengi???
Hukumwambia?Hizi mambo zinachanganya sana. Mimi sikuwa na tabia ya kushika simu ya demu wangu kipindi niko college. Siku simu ilizama kwa maji,akanipa niipeleke kwa fundi. Mi nikaifanyia Mandingo ikawaka. Sms kadhaa zikaingia. Nikazisoma,,weeeh. Uwe na moyo wa kimafia kidogo. Nikakausha km sijaona kitu. Nilivyompa simu hakuwa na furaha hata kidogo.
KiajeI repeat one man down!!!!
Sure maana kuna washkaj nliona kabisa dame ndo anaforce mawasiliano ila wao wako kavu tuWengine hawawezi kuumia waweza kukuta walikuwa wanajipigia tu hawakuwa na upendo nae ... Kwani chief haujawahi kudate na mwanamke ambaye haumpendi hata kidogo ..hii hali Mimi imeshawahi kunitokea Mara nyingi tu Tena Kuna wakati unajikuta una toka na manzi mkali kwli kweli na watu wakimuona Wana appreciate lakini wewe hata feeling nae za upendo huna ... Ila sasa inaweza kuja kutokea unanasa kwa mwanamke was kawaida tu .. sio mkali kiviiile
Sometimes huwa Naona haya mambo Kama Yana miujiza ndani yake' ..![]()
Hii lazimaKatika kumi mmoja imooooo, wataalamu ndivyo wanasemaga..... waiter niongezee ka energy ka kuchanganyia![]()
Mpeleke Tarime akashughulikiwe....wanasema nyota njema huonekana alfajiri, huyu hakufai atakusumbua tu maishani, piga teke mapemaaaa.Wakuu
Naandika ujumbe huu mapigo ya moyo yakiwa kasi kama mashindano ya Marathoni
Niko napitia hapa sms kwenye simu ya mpenzi wangu(kike) nimeitoa leo kwa fundi ilipata tatizo flan,Dah yani siamini kama ndo huyu Moyo wangu ulokua tayari kuacha ukapela kwa ajili yake.
Mabwana kama 10 wote wanaitwa majina mazuri,Yani anavonisisitiza nisimuumize sikutaraji kama anaweza kuwa hivi![]()
Tayari mkuu nashukuru nimefanikiwa kwenye hilo la kujitoaMpeleke Tarime akashughulikiwe....wanasema nyota njema huonekana alfajiri, huyu hakufai atakusumbua tu maishani, piga teke mapemaaaa.