Hahahaha pole jamaa iliwahi nikuta kama hivyo.
Nilikua nina demu mmoja wa kichaga ana bonge chura halafu alinipenda mwenyewe maana ndiye aliyenitongoza kupitia best ake mapwnzi yalinoga mpaka kwa wana.Nilitambulishwa kwa watu wengi sana wengine hasa wa kiume kua ndo jamaa ake manina zake kumbe washikaji wananichora wanamtafuna sana mpaka mtaro.Siku moja tulikwaruzana ikapelekea simu yake kupasuka kioo baada ya kuanguka na ishu ilikua mimi nataka kwenda kucheki UEFA na yeye hataki nitoke usiku baada ya kuona simu imeanguka imepasuka kioo akaanza kulia simjali nathamini mpira bla bla kibao basi nikamuomba radhi.
Asubuhi nikachukua simu yake nikaenda kumbadilishia kioo pale k/koo aisee niliyokutana navyo kwenye simu balaa alitembea mpaka na shemeji yake bwana wa best yaje mkubwa kuliko wote,q tangu hiyo siku sijawahi muamini mwanamke mpaka leo zaidi ya mama angu mzazi..ndani ya wiki tu alitobwa na washikaji si chini ya nane na picha za hasara juu MARRY CHUWA NAJUA UKO HUMU ILA SITAKUSAHAU HAHAHAHHAHHAHHA.