Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
- Thread starter
- #121
NimekubaliMwanawane wee wagegede tuu ...wako ukiwa unagegeda tuu
Akitoka sio wako
NimekubaliMwanawane wee wagegede tuu ...wako ukiwa unagegeda tuu
Teh! Umejuaje Kama yupo humu??
Wanawake achana nao mkuu..!! Yani ukiambiwa lolote demu wako either uamue kuufanyia kazi Ukweli au Uupotezee Ukweli lakini story yoyote ukiambiwa na wana kuhusu demu wako ni Ukwelii.. Unafiki upo sana tu
Dah! yani maisha yetu yako rehani sana
Duh mke kakuzalia watoto na unampenda umjibu eti maamuzi yako?!?! Huyo mkee au girl friend?!Unajitetea nini kaka. Hapo ni kumwambia ulimetafuta sasa maamuzi ya kwako
Mie siwezi kuendekeza mke kuto kuheshimu mipaka.Duh mke kakuzalia watoto na unampenda umjibu eti maamuzi yako?!?! Huyo mkee au girl friend?!
Anyways tunatofautiana sana.
Kiubinadamu mipaka ya usiguse simu yangu utaona michepuko yangu hiyo ni mipaka halali?!!?? Kweli kabisa??!! Come on!Mie siwezi kuendekeza mke kuto kuheshimu mipaka.
.🤣🤣🤣🤣 Wewe embu kuwa serious bc Kama kashindwa kutulia nw akishaolewa c ndo hatathataUnatakiwa Umuoe ili atulie...
Shangaa.Wewe embu kuwa serious bc Kama kashindwa kutulia nw akishaolewa c ndo hatathata
Pole sana ila chukulia hio kama red light na umeona mapema kabla hujamuoa...Bado una nafasi ya kuanza upya na kupata mwanamke anaejiheshimu usilazimishe kuoa sababu ya umri mwisho ukakutana na mambo kama hayo katka ndoa.Dah! yani malezi nlopata na hulka yangu
Napata majonzi sana kuona hakuna aina ya wanawake nnaotaman kumpata
Nimefanya scout nyingi sana mpaka nlipokomea kwa huyu zote zimeprov failure
Hapa mwakani nafikisha 30 nlitaman sana nianze maandalizi ndani ya mwaka ujao nioe
Matango pori unatulishaWakuu
Naandika ujumbe huu mapigo ya moyo yakiwa kasi kama mashindano ya Marathoni
Niko napitia hapa sms kwenye simu ya mpenzi wangu(kike) nimeitoa leo kwa fundi ilipata tatizo flan,Dah yani siamini kama ndo huyu Moyo wangu ulokua tayari kuacha ukapela kwa ajili yake.
Mabwana kama 10 wote wanaitwa majina mazuri,Yani anavonisisitiza nisimuumize sikutaraji kama anaweza kuwa hivi![]()
Dah! Ngoja nisubiriPole sana ila chukulia hio kama red light na umeona mapema kabla hujamuoa...Bado una nafasi ya kuanza upya na kupata mwanamke anaejiheshimu usilazimishe kuoa sababu ya umri mwisho ukakutana na mambo kama hayo katka ndoa.
Unataka picha auMatango pori unatulisha
hahahaa asante mama,ila plan B tu inatosha,hawachelewi kutafuta magunia ya mkaa hawaNi muhimu kua na plan B ikiwezekana mpka Z
Mkuu kwa maoni yako nimjibu tu hivo au nikausheMapenzi ya skuiz ruksa kushikana ila so kushikiana simu ,kuna vitu lazima upitie ili ukomae kimahusiano. Wanawake wahivo wanajua kuigiza sana ,ukilegea atawagawia +(mbuzi) hadi ndan kwako.
Kausha tu mkuu !!Mkuu kwa maoni yako nimjibu tu hivo au nikaushe
Mie nina kesi kama hiyo nilikuta wanneWakuu
Naandika ujumbe huu mapigo ya moyo yakiwa kasi kama mashindano ya Marathoni
Niko napitia hapa sms kwenye simu ya mpenzi wangu(kike) nimeitoa leo kwa fundi ilipata tatizo flan,Dah yani siamini kama ndo huyu Moyo wangu ulokua tayari kuacha ukapela kwa ajili yake.
Mabwana kama 10 wote wanaitwa majina mazuri,Yani anavonisisitiza nisimuumize sikutaraji kama anaweza kuwa hivi![]()