POANitakupigia tuongee![]()
POANitakupigia tuongee![]()
Yeah! kiukweli humu nimejifunza vingi sanaVery well huo ndio u_ gentleman usimpe tension mtu Kama huyo utajishusha
Yeah! kiukweli humu nimejifunza vingi sana
Maana hiyo njia kuna mdau aliipendekeza na nimeifuata
Maana ningemwambia angeniona fala flani hivi so ni bora abaki tu na sintofahamu atajijua mwenyewe na maisha yake sijamzaa mimi.


ukiwa serious wataka kuachana na mtu usimuambia hata siku 1 ..mpige block maisha yaendelee .. endapo ukimuambia anaweza kuja na excuse kibao na Kuna wengine wako vizuri kwenye ushawishi wa kimaongezi mwisho wa siku unaweza jikuta unashawishika na maneno yakeSure kaka yani unakua umejikaanga kumbe akitoka hapo anakuzoom tu huku anajisemea hili fala vipi?ukiwa serious wataka kuachana na mtu usimuambia hata siku 1 ..mpige block maisha yaendelee .. endapo ukimuambia anaweza kuja na excuse kibao na Kuna wengine wako vizuri kwenye ushawishi wa kimaongezi mwisho wa siku unaweza jikuta unashawishika na maneno yake
Sure kaka yani unakua umejikaanga kumbe akitoka hapo anakuzoom tu huku anajisemea hili fala vipi?


you see !!!Hapo game inabadilishwa unapigwa chini weweyou see !!!
Ndo utajua hujuindio
Sure kaka,Basi tu wanaume hatujitambui ila hivi viumbe havikupaswa kuchukua point tatu kwetu hata siku1now days kulia Lia Ni ufala
Nimekua muumini mkubwa sana wa African technology baada ya kupigwa na kimbunga cha mapenzi
Man down I repeat man down .. aisee nazidi kuogopa Kuoa


Nimekua muumini mkubwa sana wa African technology baada ya kupigwa na kimbunga cha mapenzi![]()





Ndio ikoje hii mkuuNimekua muumini mkubwa sana wa African technology baada ya kupigwa na kimbunga cha mapenzi![]()
Ndio ikoje hii mkuu


,Kuna pimbi aliingilia ndoa yangu na vihela vyake uchwara akavuruga kila kitu. Baada ya mateso ya moyo nikapewa connection chimbo flani kwa babu,Mzee anafanya yake ndani ya miezi miwili jamaa alipoteza kila kitu,maduka,magari Hadi nyumba yake ikapigwa mnada. Jamaa karudi kijijini kwao na hawezi kuja mjini tena,kapigwa gundu moja Zito mno
.Tafuta hellaaaaWakuu
Naandika ujumbe huu mapigo ya moyo yakiwa kasi kama mashindano ya Marathoni
Niko napitia hapa sms kwenye simu ya mpenzi wangu(kike) nimeitoa leo kwa fundi ilipata tatizo flan,Dah yani siamini kama ndo huyu Moyo wangu ulokua tayari kuacha ukapela kwa ajili yake.
Mabwana kama 10 wote wanaitwa majina mazuri,Yani anavonisisitiza nisimuumize sikutaraji kama anaweza kuwa hivi![]()

Dah hatar sana,Kuna pimbi aliingilia ndoa yangu na vihela vyake uchwara akavuruga kila kitu. Baada ya mateso ya moyo nikapewa connection chimbo flani kwa babu,Mzee anafanya yake ndani ya miezi miwili jamaa alipoteza kila kitu,maduka,magari Hadi nyumba yake ikapigwa mnada. Jamaa karudi kijijini kwao na hawezi kuja mjini tena,kapigwa gundu moja Zito mno
.
Since alikuja kwangu kishirikina mpaka kwa mama yoyo ilibidi nimpe mama yoyo second chance japo nae ameigwa spana kidogo atulie Maisha yasonge. Wewe ukiwa na mtu/mke/mume kuna anakesha kwa waganga ampate,avunje mahusiano yenu. You don't a chance with love only unless iko imara kwenye Imani au Mila zetu za kiafrika.
Kwa sasa niko kwenye scout ya kutafuta mkeMimi Kuna mmoja hapa namfukuzia
Najua ana mabwana wengi Sana maana hio simu yake niliombaga niingalie jina ikapigwa lock fasta ndio nikapewa
Kikubwa Nani atainua kombe
Kwa kweliTafuta hellaaaa