Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
- Thread starter
- #41
Yani ni hatar nawaza hata nimwambie au niachePole sana mkuu, sahiv mpenz wa peke ako nafikiri hayupo, usijiumize kama unaona huwez kumuacha mweleze apunguze mabwana mbaki hata watatu, ila kama unaweza piga chini mkuu
Afu cha ajabu changamoto zake hata za kiuchumi najitahidi kuzitatua,hawa wengine mbona hawamsaidii yuko vile vile?