Dah! Mrembo amenitapikia kwenye gari

Dah! Mrembo amenitapikia kwenye gari

Hayo ndio madhara ya kufakamia kachumbari na ule mchuzi wake ukanywa
 
Hii inawazinguaga weng mwanzoni sema wengi wanajikazaga tu na kuzoea.

AC za gari ukiwa mgen mgen wa kutumia kichefu chefu ni lazima.

Huyo bidada hajazoea kupanda Gari zenye AC.
 
Braza pole kwa mkasa wa shombe shombe

Huyo bibie ana tatizo la kawaida tu ambalo kitaalamu linaitwa ''motion sickness''

Ni hali ambayo inawapata baadhi ya watu wakiwa kwenye vyombo vya usafiri, na wakati mwingine sio mara zote huwatokea hiyo hali, kwahyo inawezekana kabisa bibie alijua mnaenda tu safari fupi hivyo haitaleta shida lakini umbali ulivyoongezeka (na hasa wanaathiriwa na milima, miteremko na spidi) i.e ndio maana alitapika mteremkoni.

Kwahyo wala usikasirike kwaajili ya hilo na wala hujakosea endelea tu kumjali kama ulivofanya kutoonesha kukasirika, siku nyingne ukitaka kusafiri nae zaidi ya kilomita 10, tafuta dawa inaitwa 'Nosic tabs 20mg' ameze vidonge viwili kabla hamjaanza safari, hapo mtaenda hadi ndotopole na kurudi bila kutapika hata mkipitia na mananasi kule kiwangwa wala hatoona kichefu chefu.

UPANDE WANGU
Ex wangu flani hivi alisema anapenda dompo amechoka savana, basi tuka spendii wee giza lilivyoingia tukapitiia Bumera ili anywe hiyo dompo, tukanywa kama chupa moja na nusu hivi, midaa ya saa sita tukafika getini kwao, kosa kufungua mdomo aniage ALITAPIKAA... yaani kuanzia alipoweka miguu na dash bodi yote havitamaniki na matapishi ya pombe yananuka balaa... 🤧 🤧 🤧 imagine, nilikaza tu moyo, ile gari ikaamkia car wash siku nzima inaoshwa, kwahiyo ajali kama hizo zipo na unatakiwa uwachukulie poa kwasabb hawatapikii kwa kukusudia ila namtaniaga kwamba akinunua Gari lazima nikalitapikie😄😄
 
Hii nchi bado maskini sana.. Jf ni sample space tu.
Yap, ningesema ametapikia kwenye Bajaj hakuna ambaye angekuwa na mashaka na hii story, Ila kwavile nimesema kwenye gari story inaonekana ya uongo[emoji1][emoji1][emoji1], kumbe hii nchi bado maskini yaani watu wengi gari kwao ni kitu cha ajabu
 
Hii inawazinguaga weng mwanzoni sema wengi wanajikazaga tu na kuzoea.

AC za gari ukiwa mgen mgen wa kutumia kichefu chefu ni lazima.

Huyo bidada hajazoea kupanda Gari zenye AC.
Siku nyingine nitafungua vioo
 
Ungejua nadhani ungeniamkia huku umepiga magoti kama wanavyoniamkia majority of the people
Comment yako ya kwanza imekaa kimaskini sana na wivu, labda nitakuamkia kwasababu ya uzee wako kwakuwa nnaheshimu sana walionizidi umri
 
Braza pole kwa mkasa wa shombe shombe

Huyo bibie ana tatizo la kawaida tu ambalo kitaalamu linaitwa ''motion sickness''

Ni hali ambayo inawapata baadhi ya watu wakiwa kwenye vyombo vya usafiri, na wakati mwingine sio mara zote huwatokea hiyo hali, kwahyo inawezekana kabisa bibie alijua mnaenda tu safari fupi hivyo haitaleta shida lakini umbali ulivyoongezeka (na hasa wanaathiriwa na milima, miteremko na spidi) i.e ndio maana alitapika mteremkoni.

Kwahyo wala usikasirike kwaajili ya hilo na wala hujakosea endelea tu kumjali kama ulivofanya kutoonesha kukasirika, siku nyingne ukitaka kusafiri nae zaidi ya kilomita 10, tafuta dawa inaitwa 'Nosic tabs 20mg' ameze vidonge viwili kabla hamjaanza safari, hapo mtaenda hadi ndotopole na kurudi bila kutapika hata mkipitia na mananasi kule kiwangwa wala hatoona kichefu chefu.

UPANDE WANGU
Ex wangu flani hivi alisema anapenda dompo amechoka savana, basi tuka spendii wee giza lilivyoingia tukapitiia Bumera ili anywe hiyo dompo, tukanywa kama chupa moja na nusu hivi, midaa ya saa sita tukafika getini kwao, kosa kufungua mdomo aniage ALITAPIKAA... yaani kuanzia alipoweka miguu na dash bodi yote havitamaniki na matapishi ya pombe yananuka balaa... [emoji1784] [emoji1784] [emoji1784] imagine, nilikaza tu moyo, ile gari ikaamkia car wash siku nzima inaoshwa, kwahiyo ajali kama hizo zipo na unatakiwa uwachukulie poa kwasabb hawatapikii kwa kukusudia ila namtaniaga kwamba akinunua Gari lazima nikalitapikie[emoji1][emoji1]
Asante kwa somo lako zuri siku nyingine nitafanya hivyo, ni kweli ni muhimu kuonekana unamjali mtu akiwa kwenye situation ya namna hiyo maana hata wangu na kulia alilia kwavile aliona tukio hilo kama fedheha maana ilikuwa ndo mtoko wa kwanza
 
Yap we endelea kulichukulia kawaida hata ukikutana nae usimkumbushe sana mpk mzoeane huko mbele
 
Hii inawazinguaga weng mwanzoni sema wengi wanajikazaga tu na kuzoea.

AC za gari ukiwa mgen mgen wa kutumia kichefu chefu ni lazima.

Huyo bidada hajazoea kupanda Gari zenye AC.
Uwiiiiiiiiiiiiih me bas huwa natapka had co poaah
 
Mi nawashangaa, wanaona kumiliki gari ni kitu cha ajabu kumbe kwa wengine ni nyenzo ya kukurahisishia usafiri tu,...haistui, yaani bado kuna watu ukiwapa stori inayohusu gari wanajua unajifagilia[emoji28][emoji28]

Nilikuomba uniuzie ile Toyota Allex yako ukanichunia.
 
Kuna mrembo kitaa huwa namtamani siku nyingi, ni kashombeshombe fulani hivi kazuriiii, wiki iliyopita nikabahatika kupata namba yake baada ya kunizungusha kwa mda mrefu. Jana jioni nikapanga nimtoe out tukapate moja moto moja baridi, kitu cha kwanza alichonikera nilimwambia apande gari siti ya nyuma yeye akang'ang'ania akae mbele, nilimwambia hivyo kwasababu nna mahusiano mengine (japo sijaoa)

Akapanda mbele kama alivyotaka, tulipokuwa tunaenda ilikuwa ni umbali kama wa kilomita 15 hivi maeneo yenye milima, tumefika sehemu ya mtelemko ananiambia anajisikia vibaya, kabla sijamaliza kumuhoji nini tatizo akatapika matapishi ya kutosha alipokuwa amekaa na maeneo ya dirisha(lilikuwa limefungwa), na mengine yalisambaa maeneo ya dashboard na mengine kiasi yalinirukia mkono wa kushoto

Nilishindwa kusimamisha gari ghafla maana ilikuwa mtelemkoni, kwahiyo matapishi yote aliyamalizia humohumo huku nayeye akiwa amejitapikia kwenye viwalo vyake, kwakweli nilijikaza na kumpa maneno mazuri kwamba ni bahati mbaya ila kimoyomoyo nilimmind sana, ni kitu ambacho sijawahi kutegemea, tulipofika sehemu yenye utulivu nikamnunulia maji anawe, baada ya hapo nikamuuliza kulikoni, akaniambia yeye akisafiri umbali mrefu anajikutaga katika hali hiyo, nikajiuliza yaani kweli kilomita 15 zinamletea shida je akisafiri Dar to Bukoba?[emoji44][emoji44]

Kwakweli alijua kuniharibia siku, nikamwambia turudi tu home na mtoko ukawa umeishia hapo na nimejikuta kutokuwa na hamu naye tena. Kama alikuwa anajijua ana tatizo hilo ni kwanini alipojihisi hayuko sawa asingesema mapema ili nisimamishe gari ama ilikuwa ghafla?

[emoji35][emoji35][emoji35]
Tamaa mbaya
 
Back
Top Bottom