Dah! Mrembo amenitapikia kwenye gari

Dah! Mrembo amenitapikia kwenye gari

Kuna mrembo kitaa huwa namtamani siku nyingi, ni kashombeshombe fulani hivi kazuriiii, wiki iliyopita nikabahatika kupata namba yake baada ya kunizungusha kwa mda mrefu. Jana jioni nikapanga nimtoe out tukapate moja moto moja baridi, kitu cha kwanza alichonikera nilimwambia apande gari siti ya nyuma yeye akang'ang'ania akae mbele, nilimwambia hivyo kwasababu nna mahusiano mengine (japo sijaoa)

Akapanda mbele kama alivyotaka, tulipokuwa tunaenda ilikuwa ni umbali kama wa kilomita 15 hivi maeneo yenye milima, tumefika sehemu ya mtelemko ananiambia anajisikia vibaya, kabla sijamaliza kumuhoji nini tatizo akatapika matapishi ya kutosha alipokuwa amekaa na maeneo ya dirisha(lilikuwa limefungwa), na mengine yalisambaa maeneo ya dashboard na mengine kiasi yalinirukia mkono wa kushoto

Nilishindwa kusimamisha gari ghafla maana ilikuwa mtelemkoni, kwahiyo matapishi yote aliyamalizia humohumo huku nayeye akiwa amejitapikia kwenye viwalo vyake, kwakweli nilijikaza na kumpa maneno mazuri kwamba ni bahati mbaya ila kimoyomoyo nilimmind sana, ni kitu ambacho sijawahi kutegemea, tulipofika sehemu yenye utulivu nikamnunulia maji anawe, baada ya hapo nikamuuliza kulikoni, akaniambia yeye akisafiri umbali mrefu anajikutaga katika hali hiyo, nikajiuliza yaani kweli kilomita 15 zinamletea shida je akisafiri Dar to Bukoba?[emoji44][emoji44]

Kwakweli alijua kuniharibia siku, nikamwambia turudi tu home na mtoko ukawa umeishia hapo na nimejikuta kutokuwa na hamu naye tena. Kama alikuwa anajijua ana tatizo hilo ni kwanini alipojihisi hayuko sawa asingesema mapema ili nisimamishe gari ama ilikuwa ghafla?

[emoji35][emoji35][emoji35]
Mkuu pole sana unapokuwa muwindaji mara nyingine kawaida tu kikubwa peleka gari car wash waoshe kabisa ili kile kiharufu kikate ndani ya gari , halafu next time mtembee tu kwa miguu ukiwa unaenda kumgegeda
 
Mkuu ulikosea kidogo,ulitakiwa baada ya kununua maji na yeye kunawa pia ulitakiwa ufanye utaratibu wa kusafisha hilo gari kwa kumpa kijana buku 2, kisha ratiba zinaendelea kama kawaida,,
Kosa ni kufunja ratiba kwa matapishi!!!
 
Kweli nitapeleka maana kuna uchafu nimeshindwa kuumaliza hapo chini na kwenye hayo matundu
IMG_20200617_181241_480.jpg
 
Mkuu ulikosea kidogo,ulitakiwa baada ya kununua maji na yeye kunawa pia ulitakiwa ufanye utaratibu wa kusafisha hilo gari kwa kumpa kijana buku 2, kisha ratiba zinaendelea kama kawaida,,
Kosa ni kufunja ratiba kwa matapishi!!!
Nani angekubali kuosha matapishi kwa buku 2?
 
Najua kilichowachanganya ni gari tu, kumbe wanaJF wengi maskini[emoji2][emoji2][emoji2]
Kweli kabisa gari imetustua sana, kwa ufupi umetuvuruga sana Ndg. Tajiri wa JF maana humu wote tunatembelea ngwala Tajiri mwenye gari ni peke yako humu
 
Maskini ni rahisi kabisa kuwajua kwa comment zao, na wewe ni mmojawapo
 
Kuna mrembo kitaa huwa namtamani siku nyingi, ni kashombeshombe fulani hivi kazuriiii, wiki iliyopita nikabahatika kupata namba yake baada ya kunizungusha kwa mda mrefu. Jana jioni nikapanga nimtoe out tukapate moja moto moja baridi, kitu cha kwanza alichonikera nilimwambia apande gari siti ya nyuma yeye akang'ang'ania akae mbele, nilimwambia hivyo kwasababu nna mahusiano mengine (japo sijaoa)

Akapanda mbele kama alivyotaka, tulipokuwa tunaenda ilikuwa ni umbali kama wa kilomita 15 hivi maeneo yenye milima, tumefika sehemu ya mtelemko ananiambia anajisikia vibaya, kabla sijamaliza kumuhoji nini tatizo akatapika matapishi ya kutosha alipokuwa amekaa na maeneo ya dirisha(lilikuwa limefungwa), na mengine yalisambaa maeneo ya dashboard na mengine kiasi yalinirukia mkono wa kushoto

Nilishindwa kusimamisha gari ghafla maana ilikuwa mtelemkoni, kwahiyo matapishi yote aliyamalizia humohumo huku nayeye akiwa amejitapikia kwenye viwalo vyake, kwakweli nilijikaza na kumpa maneno mazuri kwamba ni bahati mbaya ila kimoyomoyo nilimmind sana, ni kitu ambacho sijawahi kutegemea, tulipofika sehemu yenye utulivu nikamnunulia maji anawe, baada ya hapo nikamuuliza kulikoni, akaniambia yeye akisafiri umbali mrefu anajikutaga katika hali hiyo, nikajiuliza yaani kweli kilomita 15 zinamletea shida je akisafiri Dar to Bukoba?[emoji44][emoji44]

Kwakweli alijua kuniharibia siku, nikamwambia turudi tu home na mtoko ukawa umeishia hapo na nimejikuta kutokuwa na hamu naye tena. Kama alikuwa anajijua ana tatizo hilo ni kwanini alipojihisi hayuko sawa asingesema mapema ili nisimamishe gari ama ilikuwa ghafla?

[emoji35][emoji35][emoji35]
Vipi hukula denda? maana denda baada ya matapishi ni tamu Teh teh teh teh
 
Aisee...
Nitaeudi badae kidogo kuna mtu naenda kumwona
 
Back
Top Bottom