Dah! Mrembo amenitapikia kwenye gari

Dah! Mrembo amenitapikia kwenye gari

Umeteseka?[emoji1]
Actually niteseke kwa kipi?!
Nilikuwa nashangaa watu wanaozungumzia gari iliyoandikwa mara nne katika bandiko lenye maneno zaidi ya 300.

Vijana wa mjini huwa mnabeba kila neno mnalolisikia, sasa hiyo "umeteseka" ndio nini?
 
Back
Top Bottom