Dah! Mrembo amenitapikia kwenye gari

Dah! Mrembo amenitapikia kwenye gari

Ila yey alikosea maana anajijua huwa anatapika kwann hakuwa na vizuizi mf, gazeti, limao, au dawa kidonge cha logette, yaan me ndo hat harufu ya mafut ile natapka kabisaaa, nkisafir ndan ya gari hat kama umbal wa km 2 natapika, tena huwa safar za mbali naandaa sado najaza humo matapishi, maan nakuwa n mwendo wa kumwaga tyuuh, but nmejaibu kila aina ya vizuizi imeshindikan, napambana na hali yangu tyuuh hakna namna.
 
Pengine alitaka kuharisha akajibana kwa nguvu zake zote matokeo yake tatizo likaona libadilishe uelekeo
 
Ila yey alikosea maana anajijua huwa anatapika kwann hakuwa na vizuizi mf, gazeti, limao, au dawa kidonge cha logette, yaan me ndo hat harufu ya mafut ile natapka kabisaaa, nkisafir ndan ya gari hat kama umbal wa km 2 natapika, tena huwa safar za mbali naandaa sado najaza humo matapishi, maan nakuwa n mwendo wa kumwaga tyuuh, but nmejaibu kila aina ya vizuizi imeshindikan, napambana na hali yangu tyuuh hakna namna.
Ndivyo inavyotakiwa, yaani ukijijua una shida fulani inabidi ujiandae, imagine hata kitambaa hakuwa nacho ikabidi nimpe changu ajifute
 
Kuna mrembo kitaa huwa namtamani siku nyingi, ni kashombeshombe fulani hivi kazuriiii, wiki iliyopita nikabahatika kupata namba yake baada ya kunizungusha kwa mda mrefu. Jana jioni nikapanga nimtoe out tukapate moja moto moja baridi, kitu cha kwanza alichonikera nilimwambia apande gari siti ya nyuma yeye akang'ang'ania akae mbele, nilimwambia hivyo kwasababu nna mahusiano mengine (japo sijaoa)

Akapanda mbele kama alivyotaka, tulipokuwa tunaenda ilikuwa ni umbali kama wa kilomita 15 hivi maeneo yenye milima, tumefika sehemu ya mtelemko ananiambia anajisikia vibaya, kabla sijamaliza kumuhoji nini tatizo akatapika matapishi ya kutosha alipokuwa amekaa na maeneo ya dirisha(lilikuwa limefungwa), na mengine yalisambaa maeneo ya dashboard na mengine kiasi yalinirukia mkono wa kushoto

Nilishindwa kusimamisha gari ghafla maana ilikuwa mtelemkoni, kwahiyo matapishi yote aliyamalizia humohumo huku nayeye akiwa amejitapikia kwenye viwalo vyake, kwakweli nilijikaza na kumpa maneno mazuri kwamba ni bahati mbaya ila kimoyomoyo nilimmind sana, ni kitu ambacho sijawahi kutegemea, tulipofika sehemu yenye utulivu nikamnunulia maji anawe, baada ya hapo nikamuuliza kulikoni, akaniambia yeye akisafiri umbali mrefu anajikutaga katika hali hiyo, nikajiuliza yaani kweli kilomita 15 zinamletea shida je akisafiri Dar to Bukoba?[emoji44][emoji44]

Kwakweli alijua kuniharibia siku, nikamwambia turudi tu home na mtoko ukawa umeishia hapo na nimejikuta kutokuwa na hamu naye tena. Kama alikuwa anajijua ana tatizo hilo ni kwanini alipojihisi hayuko sawa asingesema mapema ili nisimamishe gari ama ilikuwa ghafla?

[emoji35][emoji35][emoji35]
Hiyo avatar yako, huyo haramia namuelewa [emoji4][emoji847]
 
Mi nawashangaa, wanaona kumiliki gari ni kitu cha ajabu kumbe kwa wengine ni nyenzo ya kukurahisishia usafiri tu,...haistui, yaani bado kuna watu ukiwapa stori inayohusu gari wanajua unajifagilia[emoji28][emoji28]
Wanaamini waliopo humu wote wanadhiki, maangaiko na walioachwa ndio maana 😂😂😂
 
Wanaamini waliopo humu wote wanadhiki, maangaiko na walioachwa ndio maana [emoji23][emoji23][emoji23]
Ona sasa wameshindwa kujikita kwenye mada wanadiscuss gari, wangejua kigari chenyewe ni kibabywalker hata wasingesumbuka nacho[emoji23][emoji23]
 
😂😂😂pole fanya ununue the real car not babywalker alaf ukishare nao mastori unawaekea na picha .
 
Alisafisha matapishi yake au ulisafisha mwenyewe!? 🤮🤮🤮

Kuna mrembo kitaa huwa namtamani siku nyingi, ni kashombeshombe fulani hivi kazuriiii, wiki iliyopita nikabahatika kupata namba yake baada ya kunizungusha kwa mda mrefu. Jana jioni nikapanga nimtoe out tukapate moja moto moja baridi, kitu cha kwanza alichonikera nilimwambia apande gari siti ya nyuma yeye akang'ang'ania akae mbele, nilimwambia hivyo kwasababu nna mahusiano mengine (japo sijaoa)

Akapanda mbele kama alivyotaka, tulipokuwa tunaenda ilikuwa ni umbali kama wa kilomita 15 hivi maeneo yenye milima, tumefika sehemu ya mtelemko ananiambia anajisikia vibaya, kabla sijamaliza kumuhoji nini tatizo akatapika matapishi ya kutosha alipokuwa amekaa na maeneo ya dirisha(lilikuwa limefungwa), na mengine yalisambaa maeneo ya dashboard na mengine kiasi yalinirukia mkono wa kushoto

Nilishindwa kusimamisha gari ghafla maana ilikuwa mtelemkoni, kwahiyo matapishi yote aliyamalizia humohumo huku nayeye akiwa amejitapikia kwenye viwalo vyake, kwakweli nilijikaza na kumpa maneno mazuri kwamba ni bahati mbaya ila kimoyomoyo nilimmind sana, ni kitu ambacho sijawahi kutegemea, tulipofika sehemu yenye utulivu nikamnunulia maji anawe, baada ya hapo nikamuuliza kulikoni, akaniambia yeye akisafiri umbali mrefu anajikutaga katika hali hiyo, nikajiuliza yaani kweli kilomita 15 zinamletea shida je akisafiri Dar to Bukoba?[emoji44][emoji44]

Kwakweli alijua kuniharibia siku, nikamwambia turudi tu home na mtoko ukawa umeishia hapo na nimejikuta kutokuwa na hamu naye tena. Kama alikuwa anajijua ana tatizo hilo ni kwanini alipojihisi hayuko sawa asingesema mapema ili nisimamishe gari ama ilikuwa ghafla?

[emoji35][emoji35][emoji35]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]pole fanya ununue the real car not babywalker alaf ukishare nao mastori unawaekea na picha .
Nikishea picha wanaweza wakaomba mods wanigonge lifeban maana sio kwa wivu huu[emoji28][emoji28]
 
Alisafisha matapishi yake au ulisafisha mwenyewe!? [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Nilisafisha mwenyewe maana tulirudi tukaachana, hili dekio lilinisaidia. Leo asubuhi ndo nikamalizia kwa mkono japo sijafanikiwa kuyamaliza yote yaliyonasa chini, ila yataisha taratibu
IMG_20200617_172254_413.jpg
IMG_20200617_172603_469.jpg
 
Back
Top Bottom