Dah! Mrembo amenitapikia kwenye gari

Dah! Mrembo amenitapikia kwenye gari

Kama hii ingenitokea mimi hili dekio nisingelitumia kwani lisingeweza kusafisha vizuri, hivyo ningesafisha kwa mikono kutumia kitambaa na maji kwenye ndoo ili kuhakikisha nasafisha mara moja tu.

Nilisafisha mwenyewe maana tulirudi tukaachana, hili dekio lilinisaidia. Leo asubuhi ndo nikamalizia kwa mkono japo sijafanikiwa kuyamaliza yote yaliyonasa chini, ila yataisha taratibu
View attachment 1481547View attachment 1481548
 
Kama hii ingenitokea mimi hili dekio nisingelitumia kwani lisingeweza kusafisha vizuri, hivyo ningesafisha kwa mikono kutumia kitambaa na maji kwenye ndoo ili kuhakikisha nasafisha mara moja tu.
Yes, sema kinyaa kushika matapishi ya mtumzima yahitaji moyo
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Atapata wapi picha wakati story yenyewe ni fiction? Ndiyo maana ka Uzi kenyewe members wameka criticize.
Unataka picha ipi; yangu mimi, ya huyo mrembo,ya matapishi, au ya gari? Je nawewe ni mmoja wa wanaJF wanaoona ajabu mtu kumiliki gari? Kama ni picha ya mrembo siwezi kukupa maana siwezi muanika hapa, kama ni matapishi nimeshayafuta, kama ni picha ya gari ninayo we sema tu nipige sehemu gani
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kabisa Mkuu. Hamu ya kumgegeda ndiyo imepotea kabisa?
Alinitext kuniomba msamaha nikamwambia usijali ni Mambo ya kawaida, nitamgegeda ila sio kwa sasa maana bado tukio la jana halijatoka kichwani
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ila Safari hii usimpeleke masafa marefu 😂 na wakati unamgegeda aste aste vinginevyo atakutapikia tena 😂😂😂😂😂

Alinitext kuniomba msamaha nikamwambia usijali ni Mambo ya kawaida, nitamgegeda ila sio kwa sasa maana bado tukio la jana halijatoka kichwani
 
ila Safari hii usimpeleke masafa marefu [emoji23] na wakati unamgegeda aste aste vinginevyo atakutapikia tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa akinitapikia kipindi namgegeda atajiteteaje, kwamba huwa ndo yuko hivyo akigegedwa au?[emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
😜😜😜😜atasema akigegedwa kwa speed kubwa na muda mrefu hutapika 😂😂😂ndivyo alivyo 🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa akinitapikia kipindi namgegeda atajiteteaje, kwamba huwa ndo yuko hivyo akigegedwa au?[emoji23][emoji23]
 
Kumbe comment yangu imechukuliwa kiuzito hivi[emoji23][emoji23]
Hujui kwamba first comment ya hapa JF ina nguvu kubwa?[emoji2][emoji2]Yaani wengine huwa wanacomment kwa kufuata upepo wa comment ya kwanza, usingeongelea gari na wengine wasingeongelea
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]atasema akigegedwa kwa speed kubwa na muda mrefu hutapika [emoji23][emoji23][emoji23]ndivyo alivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Hujui kwamba first comment ya hapa JF ina nguvu kubwa?[emoji2][emoji2]Yaani wengine huwa wanacomment kwa kufuata upepo wa comment ya kwanza, usingeongelea gari na wengine wasingeongelea
Nimeona aisee nisamehe chalii yangu🙏...sema siifuti maana ina reactions nyingi 🤣 🤣
 
Chukua namba yake ya simu, mtayajega tu inbox...
 
Back
Top Bottom