R' hebu mcheki uongo wake hapa chini.... lol
PA usiniambie wale mabinti ulokua unawachanganya umelikoroga?? lol... Wee ndo wa kukaa pembeni with hizo reasons umetoa?? C'mon!!
Nimeuona na anajua kudanganya kweli
Duh namkubali kwa kujua kudanganya
R' hebu mcheki uongo wake hapa chini.... lol
PA usiniambie wale mabinti ulokua unawachanganya umelikoroga?? lol... Wee ndo wa kukaa pembeni with hizo reasons umetoa?? C'mon!!
Wapi Mama Tuli?
Sasa wangu wataku-ban kwa ID ngapi???lol
Mzima wewe?naona umenimiss leo
Dah Komredi....
Mhhhhh......lolSasa wangu wataku-ban kwa ID ngapi???lol
Mzima wewe?naona umenimiss leo
Thats the thing... and that is why I always call you Roulette. For najua there is another RR na he is my shem (thou katenda madhambi)... Na kuweza hilo you will have to be reminding us Members if they shorted it has to be one of your R's.... lol... (just a thot dear)
Aisee kweli nimekumiss bana daaah. Ulikuwa wapi wewe leo?
Mhhhhh......lol
Mihangaiko wangu si unajua tena bongo na jua letu....lol
Acha hizooo,nikiuliziwa na wanaonijali unaguna!! Wewe laaziz kimyaaaa hata moyo hauendi tuk tuk tuk.....mmh bora KANNAK wangu
Nimekumiss mbaya
Nimeona kuna jamaa anataka kukupenda penda ghafla
Mekumiss noma
Hommie, nlikuwa nakula timing ili nichangie kwenye post #1000. Nikasahau kuna mijeba huwa hailali kwa sababu ya addiction ya JF. Hii imenifanya nifall in love kwa Roulette wa Kirusi. Ukimuona mpe salamu nyingi sana, mwambie mchumba wake Gaga anamsalimu.Do something then....
Am lucky niliiwin post ya 1000...Hommie, nlikuwa nakula timing ili nichangie kwenye post #1000. Nikasahau kuna mijeba huwa hailali kwa sababu ya addiction ya JF. Hii imenifanya nifall in love kwa Roulette wa Kirusi. Ukimuona mpe salamu nyingi sana, mwambie mchumba wake Gaga anamsalimu.
Baada ya kusema hayo, naomba unipe ruhusa nianzishe sredi. Kuna kitu nimejifiunza nataka watu wakijue. Kina uhusiano na uzazi wa mpango.
Do something then....
Anapotajwa soulmate wangu bila idhini yangu, Amani inahamia Tripoli.
Hommie, nlikuwa nakula timing ili nichangie kwenye post #1000. Nikasahau kuna mijeba huwa hailali kwa sababu ya addiction ya JF. Hii imenifanya nifall in love kwa Roulette wa Kirusi. Ukimuona mpe salamu nyingi sana, mwambie mchumba wake Gaga anamsalimu.
Baada ya kusema hayo, naomba unipe ruhusa nianzishe sredi. Kuna kitu nimejifiunza nataka watu wakijue. Kina uhusiano na uzazi wa mpango.
Am lucky niliiwin post ya 1000...
Consider it done brother
Huwa sichelewi inapokuja swala la kupiga penalt maana one mistake a thousand goals
dah ... babu yamekuwa hayo?? will have to consult Kaizer on this! Nalog off .. l.o.l
Nawewe Punguza woga...
hahahahaha!!!! Gotcha!!! M'
Mama Tuli...where ya at?