Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

The Finest ashamwibia mtu halaf katoa namba yangu ya sim nini? huyu mzembe nishamuonya sana lakini haskii

Endeleeni kumwamini tu, mzembe juzi tu kampatia ujauzito mlemavu flani boda la malawi
Nikiwa sipo kumbe hizi ndio zako tuone kitaa sasa kama leo utakatiza lazima niwaambie machizi wakuchezeshe kiduku sana
 
ile story imenifurahisha sana! nimecheka sana!
Kumbe hizi ndio za akina kloro? dah, kwa mtindo huu wengi watalizwa!
umeona darling eeh ndo maana nikasema nimewavulia nguo? jamaa ni noma hao
 
AshaDii, ona hii, nilipo isoma ndio nikapata hamu ya kujiunga nije nikusomeshe na wewe...:
husband to his wife: I want you to say :" I love you", In front of the whole world. ... wife: approached her beloved husband, and whispered in his ear " I love you ..." husband, turned to her and said sadly :" Why you did not say it to the whole world?" wife said: "Because you are the whole world to me"
 
Kipipi bana,hujacheka kama mimi nilipokutana na kituko cha madenge anamlalamikia eti mwalimu amekosea kusahihisha mtihani wake maswali yaliyokosewa eti anadai alipata mwalimu alimkosesha,aliulizwa kwenye mtihani ;Panya mkubwa anaitwa nani?Akajibu Panya buku.Swali lingine;Panya mdogo anaitwaje?Akajibu Panya jero!!Kisa eti kwenye hela buku ni kubwa na jero ni ndogo basi kama ni hivyo na panya nao ni hivyo hivyo!!
 
Mdogo wangu believe me sikuwepo, na NARUDIA Sweetie hakuhusika... Nimechoka kuficha Siri ni kati ya hawa... Klorokwin, ODM, The Finest na RR (hasa RR maana hajaonekana kabisa yawezekana anatumbua hizo pesa) lol

kweli sis una akili sana kuna siku RR aliaga akasema kuna mtu amemtumia hela akatualika bwana loh kumbe?
Mi simooooo... Ila mkinibana sana naweza kurudisha sehemu ya pesa (nadhani nimebazika kama shilingi 16 500 hivi) lol
 
kweli sis una akili sana kuna siku RR aliaga akasema kuna mtu amemtumia hela akatualika bwana loh kumbe?

Umeona eeeh?? Atakuja tu JF maana ndo nyumbani....

ile story imenifurahisha sana! nimecheka sana!
Kumbe hizi ndio za akina kloro? dah, kwa mtindo huu wengi watalizwa!

Alafu Rejao nilikustahi tu my brother... but mmmh! Nahisi nawe niku short list... Jamaa hadi kabadili ID.....lol... Haoni aibu kudai??
 
mwaga naitaji ushaidi maana naona lawama zitaniangukia kaka mwaga
Dah! acha niuchune tu, ataenda kufuja kwa bimdogo huyu jamaa. Halaf hapa sasa hivi nipo bizee nasoma PM za rejao anazomtumia sweetlady. Unajua ukiwa mtaalam wa IT raha sana.
 
AshaDii, ona hii, nilipo isoma ndio nikapata hamu ya kujiunga nije nikusomeshe na wewe...:
husband to his wife: I want you to say :" I love you", In front of the whole world. ... wife: approached her beloved husband, and whispered in his ear " I love you ..." husband, turned to her and said sadly :" Why you did not say it to the whole world?" wife said: "Because you are the whole world to me"

Awww..... Jamani... that is Soooooo Sweeeeet! Dah! I feel goose bumbs na imenifanya nimfikirie wa kwangu....
 
Dah! acha niuchune tu, ataenda kufuja kwa bimdogo huyu jamaa. Halaf hapa sasa hivi nipo bizee nasoma PM za rejao anazomtumia sweetlady. Unajua ukiwa mtaalam wa IT raha sana.
mmh nalog off switlady ana nini na mimi sijui wala hajaanza kwa ft kwaherini
 
Dah! acha niuchune tu, ataenda kufuja kwa bimdogo huyu jamaa. Halaf hapa sasa hivi nipo bizee nasoma PM za rejao anazomtumia sweetlady. Unajua ukiwa mtaalam wa IT raha sana.

Aisee katibu, raisi kanituma nikupe jukumu la kutafuta katibu muhtasi wa chama chetu cha wabeba maboksi. Sharti; awe ni awe mwanaserere wa ukweli. Kazi kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom