Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Mi simooooo... Ila mkinibana sana naweza kurudisha sehemu ya pesa (nadhani nimekazika kama shilingi 16 500 hivi) lol

Oh Alter inabidi nikuombe MSAMAHA dear... Huyo ni RR wa kundi la akina Kaizer.... lol... Kuna jamaa karusha uzi kaliwa pesa na kidume alie kua anajifanya mdada....lol...
 
Mwali,nilikua nakuuliza ili nijiandae kula pilau na ndafu!
 
Mhhh msiredi umeenda mpaka nimepoteza network
Smile kuja hapa mwambie kaka yako msiredi unahusu nini
Mama Tuli sijui yuko wapi
 
Aisee huko sikuwaza... Yawezekana bana.... Dah! List ndefu sijui tutaipunguza vipi??
Yep ni Uporoto
Mkasa: Husninyo alilia sana na akamwambia Uporoto kwamba mbona waifu wa kloro ananunuliwa mafulu make up, makarolaiti, makucha ya kubandika mapafyum ya dubei nakazalika nakazalika, Uporoto akajarib kutafta mkopo ikashindikana sasa ikabidi atumie plan B ili kuokoa ndoa. Infakti namsifu sana uporoto kwa ujasiri wake, kaonesha kwamba yeye ni titanic na sio kanumba.
 
hahahahahahahah!!!! Khaaaa!! I wish Uporoto na Husny wapite waone..... lol.... You have cracked me up. No wonder hata ukiongea mambo serious ya kuhusu deals mbali mbali watu hucheka tu!
 
kweli sis una akili sana kuna siku RR aliaga akasema kuna mtu amemtumia hela akatualika bwana loh kumbe?

Oh Alter inabidi nikuombe MSAMAHA dear... Huyo ni RR wa kundi la akina Kaizer.... lol... Kuna jamaa karusha uzi kaliwa pesa na kidume alie kua anajifanya mdada....lol...
Dah! nimejitoa bila kushtakiwa???
Alie nikosea ni Smiley, maana alitaja siku ile nilisema my last sms ni code ya Western Union (au?)
Sio mara ya kwanza watu wananichangaya na RR... alafu kuna member mngine anaitwa "double R"... Itabidi niombe kuitwa Russian or Roulette sasa...
 
Mh!Mpaka wewe mkurugenzi kitambi meneja umekubali mziki!Kweli sementi haiuzwi supamaketi!
Mkuu ukiwa kwenye mnada wewe waache wale ambao huwa wanapanda dau mwanzoni wewe subiri yule jamaa anapoanza kusema "Inakwenda kwa Milioni moja kwa mara ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne" mara ya tisa ile anakaribia kusema imenunuliwa wewe unapanda dau unasema Milioni 10 unakuwa umemaliza biashara sasa ndio zangu hizo
 
Dah! nimejitoa bila kushtakiwa???
Alie nikosea ni Smiley, maana alitaja siku ile nilisema my last sms ni code ya Western Union (au?)
Sio mara ya kwanza watu wananichangaya na RR... alafu kuna member mngine anaitwa "double R"... Itabidi niombe kuitwa Russian or Roulette sasa...

Thats the thing... and that is why I always call you Roulette. For najua there is another RR na he is my shem (thou katenda madhambi)... Na kuweza hilo you will have to be reminding us Members if they shorted it has to be one of your R's.... lol... (just a thot dear)
 
PA usiniambie wale mabinti ulokua unawachanganya umelikoroga?? lol... Wee ndo wa kukaa pembeni with hizo reasons umetoa?? C'mon!!
Uliishawahi kuona kiwanda kinachotengeneza sumu kinakuwa na tester wa hiyo sumu sasa like i always tell you sometimes nafanya vice versa
 
Bring it, what?
I'm right here,
I ain't goin' anywhere
I'm right here....

Man that DMX bwoy!
 
Uliishawahi kuona kiwanda kinachotengeneza sumu kinakuwa na tester wa hiyo sumu sasa like i always tell you sometimes nafanya vice versa

hahahaha.... PA I like the sound of that, i knew it you were up to no good....lol.... Nalog out: Source: Washawasha.
 
TF bana,ukijisahau halafu jamaa akasema kumi fasta unakua umelamba jike sio dume!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom