Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Hey, wassup?
Bado tunaongea vya falling in love au tumeingia other matters? Am I late?
Hiyo hiyo,wala hujachelewa mpendwa!Tuambie upo in love?
Hey, wassup?
Bado tunaongea vya falling in love au tumeingia other matters? Am I late?
Niko pooooa mpaka nakaribia kuganda!Vp weye?Jana nilikutana na jamaa yangu hivi muhaya wakati tupo kwenye mazungumzo akapita mwenzie wakaanza kilugha sasa nikawa siwaelewi nikamwambia yule jamaa yangu,mnachakachua,ongeeni lugha ya taifa mara nikasikia agandi,he nikashanga nani huyo hagandi samaki sato au?Ikabidi nimuulize,hata ukimweka kwenye friji hagandi?Jamaa akaniambia hiyo ni salamu!Ngoja nitamuuliza Bishanga naweza nikawa nimeingizwa choo cha kike,nimsalimia mtu nikakutana na za uso!Au kama ile story ya mtoto na majina sijui ya mgeni,mwamvuli sijui viatu!!
ADI shem wangu wa ukweli hebu weka hii maneno kwa lugha ya Dave Cameroon bana! Mi wanna be happy........... kuna mutu inasema masisimko ya malovee yanakuwa matamu sana ikitumiwa lugha hiyo........mi penda veve tu
Wapi Mama Tuli?
Na ukiwa impressed unategemea ODM anakuwaje? Huu mbichwa bana khaa!Hilo sibishi shem... I am IMPRESSED....lol
Shiit!!Kinokia changu leo kinasumbua network!.....Sisi tunaoishi mabondeni a.k.a mtoni sijui nani atakua in..love nasi!Ooooh!Daaaam!Kumbe sijawasabahi,sijui ni mchana maana hata saa sina!Aaah habari zenyu?Au mwadira baghesh!Au shimboni!Au nesiliso mbonyi!Au aah kama yupo nimemsahau atajiju!Ooooh!Shiit!Ona hata dada nimemsahau,thikamoo dada!Maana ana nkwenzi zinaumaa huyo!Watakaosema nimechakachua watajiju!Dada aliniambi ni suna!
Anapotajwa soulmate wangu bila idhini yangu, Amani inahamia Tripoli.babu ... amani sana tu!
Kwa kweli hii thread imenifanya nijiunge... Kwenye maswali hapo juu nimejibu "yes"! Si ndio alama yenyewe hiyo?Mwali... Your first post in my Thread... I am humbled karibu saana. You can never be too late in falling in love, hivo basi naomba ujibu "are you in Love"?? na swali la kizushi "is this your 1st ID at JF??
ADI shem wangu wa ukweli hebu wekw hii maneno kwa lugha ya Dave Cameroon bana! Mi wanna be happy........... kuna mutu inasema masisimko ya malovee yanakuwa matamu sana ikitumiwa lugha hiyo........
Kwa kweli hii thread imenifanya nijiunge... Kwenye maswali hapo juu nimejibu "yes"! Si ndio alama yenyewe hiyo?
Hata mimi niliona ni makosa kuanzia hapa, nikakimbia haraka sana utambulisho... :A S embarassed:
MASHUKE – AGOST 23 – SEPT 22Fidel wee ndo baba Tuli nini?? lol
Oh! Shem....
Japo kimombo changu hatukufikia silabasi ya kusomea tafsiri ya baadhi ya maneno, lakini nimenasa baadhi na mengine nimeikonsalti TUKI yangu hapa na goggle transleta......... Sasa hiyo maneno uchanganye na haka kasignecha kake.....You are the only person who makes my heart stop atleast for a brief second.... from raptures of wonderful unexplained feelings of which i have no control and yet i love..... lol...
(hapo jee shem umeelewa?? Take note: Hayo ni Maneno ya Gaga) lol
MASHUKE – AGOST 23 – SEPT 22
Siku ya leo usile pilipili kwani utashikwa na tumbo la kuhara hivyo kama
Unataka kula pilipili hakikisha unaweka feni chooni ili ikupepee makalioni
Kutokana na fukuto kali litakalosababishwa na pilipili na kama huna fena andaa
Barafu ambayo utaikalia mara baada ya kujisaidia.
nyota ya shem ndo inasema hivo leo sis toka kwa gazeti so chakula cha leo usimuwekee pilipili pls
Hey, wassup?
Bado tunaongea vya falling in love au tumeingia other matters? Am I late?
Shem, kwa gia hiyo STUKA! Yaweza kuwa FPNI hiyo!! (First Post New ID)Mwali... Your first post in my Thread... I am humbled karibu saana. You can never be too late in falling in love, hivo basi naomba ujibu "are you in Love"?? na swali la kizushi "is this your 1st ID at JF??
Nyie mabinti mtanifanya nikafufue ile sredi ya mkojo Vs Mate Vs Kaushuzi LOLMAKUBWA!!! Kid sis umenikosha na kunimaliza!!! lol.... Dah! Hata hivo mbona umekosea Nyota ya Shem wako??
Shem, kwa gia hiyo STUKA! Yaweza kuwa FPNI hiyo!! (First Post New ID)
aaah hahahahaaaaaa..........!!! Jamani watu mwafurahisha nyie lol!!