Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Asante Shem... I have noticed hio and I am being careful, This thread imetuleted brand new members kama 5 if not mistaken.... Am a bit careless for i know you are there to protect me when Sweetie is not there....lol
You Can Say That Again!
 
Asante Shem... I have noticed hio and I am being careful, This thread imetuleted brand new members kama 5 if not mistaken.... Am a bit careless for i know you are there to protect me when Sweetie is not there....lol
FPNI ndio nini?
 
FPNI ndio nini?

Mwali worry not, huyo ndo shemeji yangu yupo a bit protective.... FPNI (First Post New Id), Kuna baadhi ya members wana mtindo saana huo hapa jamvini hivo akatilia kidogo mashaka... Mie naomba tuachane na hii alafu nijibu post yangu ile ambayo nimeku-qoute...
 
Dada bana,nafanya mazoezi ya kumchekesha wifi yako nikimpata........lol(kiding)haya bana na mambo yako ya kufall in mapenzi,huenda nikijua siku nija kuwa humo(kama itakuwepo)
 
Kwanza tu kwa mzuka uloingia nao nahisi you are in LOVE....lol
 
Mwali i am humbled hii Thread imekuvuta... Hili jukwaa linaitwa MMU, Ndo Jukwaa tamu kuliko majukwaa yooote hapa JF, Karibu saaana dear. Sasa basi niseme kweli nimefurahi zooote zimetick YES..... Who is the Lucky person? lol

Alafu utatembelea na hapa LINK Kwa ajili ya kupiga hodi kwa kujitambulisha au sio??
Asante sana AshaDii, naipenda MMU pia ila sijui kama kweli ndio jukwaa tamu kuliko zote... kuna jukwaa zingine zimenoga pia 🙂
Asante kwa link yako, nimesha ifanyia kazi.
the lucky person is my man... need I say more?
 
Cheka uongeze siku za kuishi mama!

Yaani kama ni kweli, basi siku zangu za kuishi zimeongezeka sana leo kwenye hii thread!! Post yako imenichekesha, na kabla ya kicheko kuisha, nakutana tena na bomu lingine smile kazungumzia mashuke, sijui pilipili.........mweeh!!! Hahahahaaaa lol!
 
Khaaa huu msredi umekimbia hata skupata kuurewind , hebu nidokezeni nani kafall in love na mimi? kipipi?
 
sio mimi ni gazeti loh
 
Asante sana AshaDii, naipenda MMU pia ila sijui kama kweli ndio jukwaa tamu kuliko zote... kuna jukwaa zingine zimenoga pia 🙂
Asante kwa link yako, nimesha ifanyia kazi.
the lucky person is my man... need I say more?

Mwali I like you already... Hapa MMU ndio nyumbani kwa upande wangu... What do you expect?? (thou I am really really sure it is a tamu jukwaa ukijumlisha na pale Lounge room a.k.a Chit Chat).... Mwali your Man is a Lucky guy....
 
Khaaa huu msredi umekimbia hata skupata kuurewind , hebu nidokezeni nani kafall in love na mimi? kipipi?

Mie mwenyewe nisha acha kuangalia niliishia wapi, ninapoukuta najiunga papo hapo....lol...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom