Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Damn mkoloni!

Ngoja niwasalimu fasta..........

Soulmate na shem langu hamjambo?
Sijambo soulmate.. yaani tangu juzi sijagusa tena humu yani mimemisije?
mkoloni akanywe chai huko
 
Kweli mtu chake... Yaani ODM aligoma leo hagusi mahala hapa.... Sasa wee Gaga ile shughuli inahusiana nini na mkono.....lol
hahahahahaha best mikono katika kudadis na kuperuz
 
hahahahahaha best mikono katika kudadis na kuperuz

hahahhahaha.... Wakati wa shida huu waweza ukawa tu Una KISS sehem za kuperuz na kudadiss... (umesahau lile darasa la kiss ulitoa?) lol
 
best kwa physio therapy badae tena kidogo taratibu basi maana naeza kuta page ya mia
 
hahahhahaha.... Wakati wa shida huu waweza ukawa tu Una KISS sehem za kuperuz na kudadiss... (umesahau lile darasa la kiss ulitoa?) lol
balance best lol mikono ndio mambo yote
 
best kwa physio therapy badae tena kidogo taratibu basi maana naeza kuta page ya mia

Pole Dearest... hope it works out na kwamba soulmate atakua nawe pamoja...

balance best lol mikono ndio mambo yote

Gaga ile habari siwezi acha eti tu sababu mkono sijui umefanya nini!! lol.... Nitatumia utundu mwingine bana.... Enways Laters...
 
Shiit!!Kinokia changu leo kinasumbua network!.....Sisi tunaoishi mabondeni a.k.a mtoni sijui nani atakua in..love nasi!Ooooh!Daaaam!Kumbe sijawasabahi,sijui ni mchana maana hata saa sina!Aaah habari zenyu?Au mwadira baghesh!Au shimboni!Au nesiliso mbonyi!Au aah kama yupo nimemsahau atajiju!Ooooh!Shiit!Ona hata dada nimemsahau,thikamoo dada!Maana ana nkwenzi zinaumaa huyo!Watakaosema nimechakachua watajiju!Dada aliniambi ni suna!
 
Mmmh!! This is a sound of a man with "hangover" are you good bro?? lol
 
Hey, wassup?
Bado tunaongea vya falling in love au tumeingia other matters? Am I late?
 
Niko pooooa mpaka nakaribia kuganda!Vp weye?Jana nilikutana na jamaa yangu hivi muhaya wakati tupo kwenye mazungumzo akapita mwenzie wakaanza kilugha sasa nikawa siwaelewi nikamwambia yule jamaa yangu,mnachakachua,ongeeni lugha ya taifa mara nikasikia agandi,he nikashanga nani huyo hagandi samaki sato au?Ikabidi nimuulize,hata ukimweka kwenye friji hagandi?Jamaa akaniambia hiyo ni salamu!Ngoja nitamuuliza Bishanga naweza nikawa nimeingizwa choo cha kike,nimsalimia mtu nikakutana na za uso!Au kama ile story ya mtoto na majina sijui ya mgeni,mwamvuli sijui viatu!!
 
Hey, wassup?
Bado tunaongea vya falling in love au tumeingia other matters? Am I late?

Mwali... Your first post in my Thread... I am humbled karibu saana. You can never be too late in falling in love, hivo basi naomba ujibu "are you in Love"?? na swali la kizushi "is this your 1st ID at JF??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom