Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Haujakutana hata post moja accidentally kipipi ananiulizia?

Tena leo ofisini kaajiliwa sekretari mpya niko kwenye mood kweli aisee.

Kloro tuache hayo kwanza... Kuna jamaa alikua anachat na mmoja wenu akaongopa ni mdada na kumwambia atume pesa ya nauli toka Arusha... Ni nani katika kundi lenu lile?? lol
 
Mdogo wangu believe me sikuwepo, na NARUDIA Sweetie hakuhusika... Nimechoka kuficha Siri ni kati ya hawa... Klorokwin, ODM, The Finest na RR (hasa RR maana hajaonekana kabisa yawezekana anatumbua hizo pesa) lol
kweli sis una akili sana kuna siku RR aliaga akasema kuna mtu amemtumia hela akatualika bwana loh kumbe?
 
Kloro tuache hayo kwanza... Kuna jamaa alikua anachat na mmoja wenu akaongopa ni mdada na kumwambia atume pesa ya nauli toka Arusha... Ni nani katika kundi lenu lile?? lol
ile story imenifurahisha sana! nimecheka sana!
Kumbe hizi ndio za akina kloro? dah, kwa mtindo huu wengi watalizwa!
 
ahaaa huu mthread ni wa kufall in love na mimi natangaza hapa nimefall kwa rejao roho yangu ipo kutkut kut kila nionapo huo mpua loh
waoooooooooooooooo.................watalia sana watu humu!
wamekuwinda sana, at last nimekuwini!:tongue:😛oa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom