Sasa umenikumbusha Miss Motivation, Kelly Rowland
Weee sharobaro banaaa usijali nilipata salamu zako kutoka kwa Prince Charleshehehe halaf wewe! kwanini umeweka question mark 2?
Yep! ilinichukua miezi saba kuwaconvince wakuje bongo, Camilla ndo alikuwa mgumu sana kunielewa.Weee sharobaro banaaa usijali nilipata salamu zako kutoka kwa Prince Charles
thats my young sis our last born mimi ni mnene but same face kidogo nitakupm unicheki profile yangu fb
Sina la kusema my dia but one thing i know for sure is "the best is yet to come"
Darasa la kumonitor wivu sio??dah kwan na mnyanyasa basi bi mkubwa mwenyewe kauzu kama NyamayaoItabidi tukutafutie darasa aisee!! Kwanini umnyase nyase mwenzio?? lol
Nilikuwa sijui kama huyu jamaa WALE kutoka MMG yuko fresh naye ile joint yake ya That Way ft Jeremih & Rick RossI get motivated each time I see her lol
Will be patiently waiting dear........
heheeh jana si nilisema wajameni kuna masuala kwa mujibu wa sheria za ki lawyer yanakuwa strictly confidential. Nitafutwa kazi mwenzioJamani Klorokwini... hio ni kwa ajili ya msisitizo.... Naomba ujibu basi.....lol
Weee banaa unataka maujiko ya bure tuYep! ilinichukua miezi saba kuwaconvince wakuje bongo, Camilla ndo alikuwa mgumu sana kunielewa.
naenda gym mawazo yananinenepesha sana kesho kuna maswali 12 nataka unijibuyes you kwani unafikiria namzungumzia nani.........
Nilikuwa sijui kama huyu jamaa WALE kutoka MMG yuko fresh naye ile joint yake ya That Way ft Jeremih & Rick Ross
R' mbona umeniacha haywire??
heheeh jana si nilisema wajameni kuna masuala kwa mujibu wa sheria za ki lawyer yanakuwa strictly confidential. Nitafutwa kazi mwenzio
naenda gym mawazo yananinenepesha sana kesho kuna maswali 12 nataka unijibu
Spot On......i'll be waitingnaenda gym mawazo yananinenepesha sana kesho kuna maswali 12 nataka unijibu