Hebu msome na hapa chini............. waweza kuja PM huku unifariji?hata mimi nakushjauri ivo loh
waraka mwingine bana
au shem wetu anavuta jani loh? ahahaaaa siamini macho yangu pole babu.
ila kumbuka amri za mungu usitamani mke wa jirani yako bwana SIR GOD mwenyewe aliliona hilo lloh
"Sijawahi kukupenda....kwa nini nikuchukie?"......Think hommie think....
Najua moto utawakaaa......ww unaulizia mwenzio kaenda wapi na ww jana ulivyoingia mitini!!!una deni langu,mm na ww mpaka kieleweke.
Nipo kaka mpendwa, nimebanwa kidogo na huu ugeni toka kwa kameruni, hapa tulikuwa na kikao twajiuliza tusign au tusi sign, nitahitaji mchango wa mawazo yako baadae kidogo!wajameni, naomab kuuliza, Sweetlady yuko wapi?
Mr. Rocky, are you ok?La jana si nimekuambia bado tupo pamoja nitalijibu
We wasi wasi wako wa nini
Smile asikutoe lpresha bana
topic closedNipo kaka mpendwa, nimebanwa kidogo na huu ugeni toka kwa kameruni, hapa tulikuwa na kikao twajiuliza tusign au tusi sign, nitahitaji mchango wa mawazo yako baadae kidogo!
Kuhusu mada I think am in LOVE with TF manake kila nikisoma post zake mapigo ya moyo yanaongeza kasi!..lol..
Weye mzima kabisa?
Mr. Rocky, are you ok?
Nimepita tu hapa nikaona sio vibaya kukusalim!
topic closed
Naendelea kusubiri lakini isiwe habari ya Ad na NN....mm niko gado.
You know, I've been around this block for a while and I've kinda developed a sixth sense...teh teh teh!
I know, I know...it's just a feeling so don't start asking me for proof and whatnot.
Mmhh.....i smell sthing Kevin A, NN, Ally wa......mmmmhhhhh haya weeee
#Mmhh.....i smell sthing Kevin A, NN, Ally wa......mmmmhhhhh haya weeee
Thread imeshachakachuliwa mpaka basi kha?? Mr. Rocky na wenzako ha ha ha ha
Morning B'... Ndo nini kunishadadia mke wa mwenzio jana ile... nimeenda kulala but stilll..... Khaa! lol
DA nimefanyaje tena
Mbona nimewaletea mpaka wimbo mzuri sana hapo hata hujanipa like bana
Mi sichakachui siredi bana
They say feelings are mutual....I smell something too Mama Tuli aka....
Hiyo acha uongo wewe.
Nimekugongea like umeiona?? Hujambo wewe lakini ngoja tuchakachue kieleweke basi