cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 86,334
- 138,393
Shukran sana kwa kujali kwako Ubarikiwe sana jaman🙏 nashukuru kwa maelezo yako yakinifu yaliyonipa mwangaza halisi juu ya Visa nitapitia websites mbali mbali kuweza kupata hizo nafasi za kusoma kwaajili ya Masters iwe kama njia ya kutimiza lengo langu. Nikipata tu chance ya kwenda huko najua within a short period of time nitakua nimekamilisha malengo yangu kutokana na bidii yangu kwenye kazi.Fatmie kwanza niseme pole sana kwa hali unayopitia. Nimechelewa kuuona uzi wako ila naamini sijachelewa sana.
Pili, kuna nyuzi kadhaa humu jukwani kuhusu mambo ya visa na kazi katika nchi ulizozitaja ambazo tulibadilishana mawazo kwa undani sana. Jaribu kuzitafuta na kuzipitia utapata mwanga wa wapi pa kuanzia.
Nje kazi zipo nyingi tu halali na za chini ya meza changamoto ni kupata visa ya kufika huko. Na kama huna kazi hivi sasa basi the odds against you are even greater, ingekua rahisi kidogo kupata visa wakati ule bado una kazi ila hiyo isikukatishe tamaa.
Kwa uzoefu wangu, USA, visa za shule ni rahisi kidogo kuliko visiting visa, ila utaingia gharama za kuomba chuo, kukubaliwa ndo uje. Visiting visa ni nafuu ila zinahitaji uwe na mwenyeji US na uwe na ties TZ zakuonyesha utarudi yani kazi, nyumba, familia, assets nk.
Uzuri ni kwamba ukiomba visa ya kufanya masters kuna vyuo havikuitishi ada upfront, watakutumia I-20 ambayo utatutumia kuombea visa then watataka uwalipe ada yao ukiwa umeshafika. Ukifika utajiongeza nini cha kufanya.
Aidha ningeshauri angalia zaidi Canada kuliko USA, Canada ni rahisi kupata vibali ukifika nchini mwao kuliko US miaka ya hivi sasa.
Mwisho, nitumie DM nikuchangie chochote kitu.
Best regards,
Bufa
Shukran sana kwa kujali kwako Ubarikiwe sana jaman🙏 nashukuru kwa maelezo yako yakinifu yaliyonipa mwangaza halisi juu ya Visa nitapitia websites mbali mbali kuweza kupata hizo nafasi za kusoma kwaajili ya Masters iwe kama njia ya kutimiza lengo langu. Nikipata tu chance ya kwenda huko najua within a short period of time nitakua nimekamilisha malengo yangu kutokana na bidii yangu kwenye kazi.
Nakushukuru sana umenipa nguvu kifikra na mwangaza wanguvu juu ya kutokukata tamaa kwenye haya mapambano. Ubarikiwe sana saana saana 🙏nimeshaku DM tayari.
Ngoja kwanza, kwanini huna mume?Wakubwa Shikaamooni
Wadogo zangu Habari zenu.
Mimi ni Mwanamke sijaolewa na sina watoto.
Naishi na kumlea Mama yangu Mzazi ambae ni mtu mzima ananitegemea kwa kila kitu na watoto wa Marehem Kaka yangu ambao walikufa siku moja kwa ajali na Kaka yangu hao watoto wako 3 Yatima, wananitegea kuanzia kula yao, kusoma kwao, kuumwa kwao na kila kitu Bills za maji, umeme na mahitaji mengine yote ya kibinadamu, naishi nao pamoja na Mama yangu Mzazi (extended family) mapambano yangu yote ni kwa ajili yao.
Nimeamua kuja hapa Jukwaani nikiamini kua kuna WaTanzania wengi sana wanaishi Nje ya Nchi na wao waliwezeshwa au kushikwa mkono na watu na wao pia wanaweza kutushika mkono nasisi
Katika harakati za mapambano ya Maisha Nilijaribu kulima Vitunguu Maji, Pamoja na Nyanya huku nikiwa nafanya kazi lakini kilimo hakikua na faida kwangu kilinipatia hasara sana kwakua sikua na mda wa kutosha wa kufanya closely monitoring nikachana nacho
Nianze na kuzungumza yafuatayo:-Mimi kwetu ndio nategemewa kwa kila kitu kwenye familia na niko kwenye wakati mgumu saana ndugu zangu, YAAN NIKO KWENYE WAKATI MGUMU MNOO DADA YENU😭😭😭 ITOSHE TU KUSEMA MWENYEZI MUNGU PEKEE NDIE ANAJUA NAPITIA KIPINDI GANI nawaomba saana mnisaidie najua MWENYEZI MUNGU husaidia watu kupitia watu 🙏 kwasasa sina kazi na sina pesa na ila nna uzoefu mkubwa sana wa kazi pamoja na uzoefu wa kutosha juu ya matumizi ya Computer
Nimeshasimamia miradi mbali mbali na nimeshakua Project Manager, Project Coordinator, Field Manager, Field Officer, Case Management Officer, Child Protection Coordinator,Social worker, Administrative Officer, Marketing Officer, Communication Officer, kwenye miradi mbali mbali ya miongoni mwa hayo mashirika
Elimu yangu ni Degree ya Social work nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye mashirika mbali mbali ya Kimataifa yanayohusu juu ya Suala zima la ULINZI WA WATOTO
(Child Protection) kwa mda wa miaka 8 kwa miaka bahati mbaya mkataba wangu uliisha 31,Dec 2020 kutokana na funds kuisha hii imetokana na Athari ya Janga kubwa la Corona
( Covid-19)
Tangu November 2020, nimekua nikifanya Applications mbalimbali nionapo matangazo ya kazi lakini sijafanikiwa kuitwa popote pale. Kuomba kazi ni jambo moja na kuitwa ni jambo lingine
Tangu nilipokua mtoto nilikua na ndoto ya kwenda kuishi Nchi zifuatazo:- Switzland, UK, USA, Canada na German kwa lengo la kufanya kazi za halali zikiwemo (Black Jobs ) kikubwa nipate rizki ya halali tu na kufanya saving kwa baadae niweze kuja kuwekeza Tanzania.
Nawaomba sana, Nawaomba sana, Nawaomba saana kwa yoyote mwenye utayari wa kunisaidia kuishi Nchi mojawapo kati ya hizo tafadhali naomba sana anisaidie lengo langu ni kuishi kwa mda wa Miaka 5 tu tukijaaliwa Uhai na ndoto zangu zitakua zimeshatimia kwa target niliyojiwekea nikipata hiyo fursa ya kwenda kuishi kati ya hizo Nchi nitajituma saana na kufanya kazi kwa bidii kubwa ili kuweza kutimiliza malengo yangu
Ikiwemo kutuma Pesa nyumbani kwa ajili ya mahitaji ya Mama na hao Watoto yatima
Afya ya Mwili na Akili:- Namshukuru MWENYEZI MUNGU sina matatizo yoyote yale ya kiafya wala ya Viungo
Makazi:- Naishi Dar-es-Salaam
Kwa maswali yoyote au kama utahitaji my Personal details tafadhali naomba uni PM nitakua tayari kushare nawewe utakaenisaidia, Nawashukuru sana.
Nawaomba sana mnisaidie Dada yenu, nawaomba mnistiri jaman na MWENYEZI MUNGU atawastiri kesho Mbinguni🙏
MWENYEZI MUNGU awaguse muweze kunisaidia🙏
Ahsanteni sana.
Kuhusu asia , fanya tafiti hizi nchi mbili hapa ujue ukweli: Qatar /Doha , UAE /abu Dhabi, DubaiNashukuru sana kwa mawazo yako Kiongozi
Ninashida sana yaan saana mpaka kujitosa kuandika hapa Mtoto wakike sio jambo dogo, kutokana na tafiti ndogo nilizozifanya mitandaoni Asia wanasema Waarabu wanyanyasaji sana na malipo yao ni finyu kupita kiasi, hizo ni tafiti nilizoziona mitandaoni wakisema
Na kwa upande wa Americans opportunities ziko nyingi sana kikubwa ujitume tu na ustick kwenye malengo yako
Na kama ikiwa ngumu kwa America ntaenda ata huko Asia iwe kama starting point kwangu, naweza nikiwa huko nikapata connections za kwenda America na ikawa ni kama sehem ya kutimia kwa Ndoto zangu🙏
Naomba sana MWENYEZI MUNGU amguse mtu anisaidie kwahili na tuandikishiane nikishafika na kuanza kazi Pesa zake zote nimlipe kwa maandishi kabisa ili awe huru na apate amani ya kutodhulumiwa🙏
Barikiwa saana Mkuu Barikiwa mnoo🙏 nashukuru sana kwa muongozo wako na mawazo yako ya busara na yakinifu🙏Utagharamia application fees mara nyingi ni $100.
Kutuma documents zako, kama wanataka original then itabidi utumie DHL au FEDEX.
Visa yenyewe sijui sasa ni shingapi.
Bank statement usiwaze zinachakachuliwa tu.
Na nauli. Ukifika kiwanja hamna kinachoshindikana, watu wanafika leo na asubuhi wanaamkia box hata njia bado hawaijui.
Kila la kheri.
Shukran sana Mkuu naamini wenye nazo watakuja kutupa hizo fursa na sote kwa pamoja tuweze kunyanyuana na kushikama mkonoNakuinga mkono kwa wazo la kutafuta fursa nje ya nchi siyo jambo baya kabisa..
Natamani vijana wengi tupate hizi fursa hii itasaidi familia zetu/vizazi na hata nchi yetu kiuchumi.
Shukran sana Mkuu nitafanya ivyo🙏Kuhusu asia , fanya tafiti hizi nchi mbili hapa ujue ukweli: Qatar /Doha , UAE /abu Dhabi, Dubai
ALLAAHUMA AMIIIIINA Mkuu🙏Huyu dada yuko committed sana wakuu..., wakuu wa humu wameona na hawataliacha lipite bure.
Barikiwa
Amiiina Mkuu🙏Natumae watakuja kukupa muongozo...
Umesema ukweli ila umetumia lugha kali.... LooohNchi hizo ulizo zisema utaishia kuota tu
Jitahidi kutafuta kazi hapa bongo ili ufanikishe hayo malengo yako ya kwenda nje
Otherwise labda utaenda kuwauzia papa wazungu tu na watakuchakaza kweli kweli
Au nasema uongo ndugu zangu
Mtafute Ummy Mwalimu, omba kuonana nae. Mwambie nimekuagiza kwake.Nashukuru sana kwa mawazo yako mazuri yenye faraja, naomba nisaidie nipate kazi ata apa ndani ya Nchi maana nimeshafanya Applications saana bila mafanikio, Ahsante
CV yako iko vizuri darling naamini utasaidika pole Sana Mwanamke mwenzangu naweza kukusaidia kwa kiasi nilichonacho ili usogeze sikuWakubwa Shikaamooni