Namna ya kupata ajira nchi za nje

Wakuu poleni na majukum .
katika pita pita za mitandaoni nimeona baadhi ya nchi zikiwa na uhitaji wa wafanyakazi hivi ni nchi gani huwa wanachukua wanyakazi tz hata wale vibarua wa mashambani.


je taratibu zikoje ili niweze kufanya kazi huko.!?

msaada tafadhali

Wabongo watakuja na vitisho na kukatishana tamaa!! Tarajia hilo ila waungwana huwa hawakoseni lakini sababu ya wenye rohombaya, waungwana wengi huamua kujificha!!
 
Wakuu poleni na majukum .
katika pita pita za mitandaoni nimeona baadhi ya nchi zikiwa na uhitaji wa wafanyakazi hivi ni nchi gani huwa wanachukua wanyakazi tz hata wale vibarua wa mashambani.


je taratibu zikoje ili niweze kufanya kazi huko.!?

msaada tafadhali
Taratibu za Kazi huwa lazima zifatwe , mara nyingi Watanzania hufanya tu mipango ya Kupata
visa kwa Haraka na Kuzamia huko kutafuta Kazi mwenyewe ,

Lakini pia kuna kuna Visa zipo kwa ajili ya kazi
na visa hiyo ili uipate lazima uwe tayari umeshatumiwa
workpermitt na Job offer kutoka kwa Mwajili wako , au
sponsor au kama unaweza kuipata kama unajua ivyo patikana

Process nzima iko Hivi
Unawasiliana na Mwajili anakutafutia work permit
then anakutumia ikiwa na Job offer pamoja na Barua
ya mwaliko kutoka kwake na docment zengine

baada ya hapo wewe ukiwa umeshapata workpermit
unatakakiwa ku apply visa kwa ajili ya Kazi (Workvisa )
then unasubir majibu ya Visa yako itoke ndio uende moja kwa moja
kazini .. Kama huna connection hiyo njoo nikusaidie
Zipo nchi za ulaya wanataka watu wakufanya kazi kwa kufata
sheria hizo .. ila nauli ya kwenda kazini ni juu yako ...
ukifika chakula , malazi na usafiri wa kukupeleka kazin ni juu ya
mwjiri ... Njoo nikupe connection malipo utayafanya mwenyewe
 
Back
Top Bottom