Naomba msaada wa kupata kazi

Hungiro jr

New Member
Mar 25, 2024
3
3
Jaman habari Wana Jamii,

Kwakweli naombeni msaada wenu nimesoma Procurement and Logistics management nilimalza tangu mwaka 2020 sasa Kila nikiomba kazi sipati kabisa wala hata kuitwa kwenye interview hapana kadri siku zinavyozid kwenda ndivyo na Hali yangu ya kimaisha inazidi kuwa Tete kabisa nashindwa nifanye nn ili kujikwamua katika hili.

Naomben msaada hata kwa ambaye ana connection ya kazi hiyo,lakn pia nina leseni ya udereva na cheti cha udereva pia nnacho, ninaomba msaada wenu ndugu zangu niko kwenye wakt mgumu mnoo.
 
Pitia pitia jukwaa la ajira kijana kule kuna kazi kazi wanatoaga. Usitke vitu vizur na vikubwa hasa ukizingatia umesoma.

Kipindi naanza kusaka pa kushika nilianza kuuza maembe mabichi sokoni yanaitwa Nchichila. Nikaa miezi minne nikapata kamchongo nako hovyo tu.. miezi nane mbele nikarudi kariakoo kama winga. Komaa weee hola!

Ofkooz maisha ni safari, Kuna kazi kule jukwaa la ajira jamaa alitaka vijana kadhaa huko ruvuma
 
Mpe connection kazi ya ulinzi.
 
Peleka cv office zote za posta mnaz mmoja k/koo mpka mikocheni unaweza ukabahatika nina ushahid wa watu 3
 
Jaman habari Wana Jamii,

Kwakweli naombeni msaada wenu nimesoma Procurement and Logistics management nilimalza tangu mwaka 2020 sasa Kila nikiomba kazi sipati kabisa wala hata kuitwa kwenye interview hapana kadri siku zinavyozid kwenda ndivyo na Hali yangu ya kimaisha inazidi kuwa Tete kabisa nashindwa nifanye nn ili kujikwamua katika hili.

Naomben msaada hata kwa ambaye ana connection ya kazi hiyo,lakn pia nina leseni ya udereva na cheti cha udereva pia nnacho, ninaomba msaada wenu ndugu zangu niko kwenye wakt mgumu mnoo.
Mtangulize MUNGU kaka na ukiomba amini kuwa kwenye hiyo kazi kama wanataka watu 5 basi nafasi moja ni yako ,na ujiwekee kufunga na kuomba kabla ya usaili ,MUNGU hato kuacha na utakuja kushuhudia kaka
 
Jaman habari Wana Jamii,

Kwakweli naombeni msaada wenu nimesoma Procurement and Logistics management nilimalza tangu mwaka 2020 sasa Kila nikiomba kazi sipati kabisa wala hata kuitwa kwenye interview hapana kadri siku zinavyozid kwenda ndivyo na Hali yangu ya kimaisha inazidi kuwa Tete kabisa nashindwa nifanye nn ili kujikwamua katika hili.

Naomben msaada hata kwa ambaye ana connection ya kazi hiyo,lakn pia nina leseni ya udereva na cheti cha udereva pia nnacho, ninaomba msaada wenu ndugu zangu niko kwenye wakt mgumu mnoo.
Kuna kazi za part time, project based. Kama zinakufaa cheki nasi kwa email: support@azc.co.tz
 
Back
Top Bottom