Cybercrime Alert: Vijana watukutu, kuwavalisha barakoa bibi na bwana katika nembo ya taifa (Tanzania Coat of Arms) pia ni kosa la kimtandao. Usijaribu

Nchi imefikaje hapa? Nchi ya kishenzi kabisa mnapelekeshwa kishenzi na jiwe na genge lake la walevi. Kuvalisha barakoa nembo kuna effect ipi hasa? Mambo ya kishenzi kabisa kukaa mnajali vitu ambavyo havina positive wala negative effect yoyote ile kwa mtu yeyote yule. Hivi watanzania upumbavu huu umewajaa mmerogwa na nani?
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Bado sijaona mtanzania aliyefanya kitendo hiki lakini ninatoa tu tahadhari kwa ndugu zangu hawa wa Graphics Designing pamoja na wale wazee wa Photoshop.....
Lissu hakuna kitu hata kimoja anaweza kuwa mbele ya Magufuli. Kipigo atachopewa October anaweza kuwachukia Watanzania wote.
 
Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Magufuli.
 
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Magufuli ataitupeleka uchumi wa juu.
 
Back
Top Bottom