Cybercrime Alert: Vijana watukutu, kuwavalisha barakoa bibi na bwana katika nembo ya taifa (Tanzania Coat of Arms) pia ni kosa la kimtandao. Usijaribu

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
14,943
2,000
Bila hata kapicha?
download.jpg
 

kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,105
2,000
Hizi ndizo zile 'Sheria kandamizi' ambazo Dr wa degree Saba alizikimbiza bungeni kwa hila ya kudhibiti na kunyima watu Uhuru wa maoni.

Tukiendelea hivi tusitegemee kujikomboa kifikra.!
Sure. Ni maoni tu ya mtu kupitia sanaa ya picha. Barakoa zilivuma sana korona iliposhamiri. Barakoa kwenye nembo mtazamaji atavutika na kukumbuka kuvaa barakoa. Kwa mpumbavu mawazo yataenda kuidhalilisha nembo, kana kwamba mchoraji katunga Sheria ya nembo kuvaa barakoa. Kwa mataifa yenye demokrasia hakuna sheria za kipuuzi kama hizi. Ni viongozi wasio jiamini wanao furahia sheria kama hizi. Wapo radhi kutunga Sheria ya kila siku misikitini na kanisani sala ya kwanza ni ya kumwombea yeye sushi milele.
 

storyteller

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
1,439
2,000
Kuna ile moja ilinifurahishaga kipindi kile cha ufisadi ndo story ya mjini, walichora kwamba chini ya utawala wa ccm hao bibi na bwana kila mmoja anasepa na pembe yake..... ilinitafakarisha sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom