Loyalist
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 411
- 884
Kweli kusambaza picha ambazo zinakesi ya makosa ya kimtandao ni kosa kisheria!Na wewe ukamatwe kufufua hiyo picha
Usisambaze futa (delete) kabisaa!
Kweli kusambaza picha ambazo zinakesi ya makosa ya kimtandao ni kosa kisheria!Na wewe ukamatwe kufufua hiyo picha
Upo sahihi sana mkuu...kusambaza picha ambazo zinakesi ya makosa ya kimtandao ni kosa kisheria!
Utii wa sheria bila shurti...Nchi imefikaje hapa?
Lissu hakuna kitu hata kimoja anaweza kuwa mbele ya Magufuli. Kipigo atachopewa October anaweza kuwachukia Watanzania wote.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Bado sijaona mtanzania aliyefanya kitendo hiki lakini ninatoa tu tahadhari kwa ndugu zangu hawa wa Graphics Designing pamoja na wale wazee wa Photoshop.....
Mwambieni jiwe kuhusu hilo maana ndiye mtu namba moja kwenye kuvunja sheria nchi hii.Utii wa sheria bila shurti...
Jiwe ndio nani bro?...Mwambieni jiwe kuhusu hilo
Wewe na familia yako kura zenu mkimpa msaliti wa Nchi haitaathiri kitu kwa sababu Dr Magufuli ni kipenzi cha Watanzania na tutampigia kura kwa 98% Vijana wachache wa Chadema mwaka huu mtajiua sana.Jiwe ndio nani bro?...
Huyo jiwe anavunjaje sheria za nchi mkuu?Mwambieni jiwe kuhusu hilo maana ndiye mtu namba moja kwenye kuvunja sheria nchi hii.
Kuwavalisha barakoa wale bibi na bwana kunasaidia nini katika zama hizi?
Ile ya kuunganisha mifuko ya kijamii nahisi jamaa alimuwekea alarm maana alikuwa akiamuka anayoKuwavalisha barakoa wale bibi na bwana kunasaidia nini katika zama hizi?...
Welcome to my IGNORE LISTWewe unatimiza wajibu wako, au unafuata mkumbo tu kuwa timu CCM
Sio case ,because of your poor reasoning,Welcome to my IGNORE LIST
Sina uhakika na hili mkuuIle ya kuunganisha mifuko ya kijamii nahisi jamaa alimuwekea alarm maana alikuwa akiamuka anayo
Wapuuze chadema hao mkuuSina uhakika na hili mkuu
Kwanini hauna uhakika?Sina uhakika na hili mkuu
Kila anayekuudhi unamuweka ignore list?Welcome to my IGNORE LIST