Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,932
Kwa hiyo hao bibi na bwana kama wanakatiza mitaani yenye corona tusiwavishe barakao, tuwaache tu iwapate kwa kuwa tunaogopa hizo adhabu za kifala?
Mitaa yenye Corona ndio ipi hiyo mkuu?Kwa hiyo hao bibi na bwana kama wanakatiza mitaani yenye corona tusiwavishe barakao.
Kama pale MagogoniMitaa yenye Corona ndio ipi hiyo mkuu?...
Adhabu za kifala ndio kama zipi mkuu?tuwaache tu iwapate kwa kuwa tunaogopa hizo adhabu za kifala?
kulipishana fainiAdhabu za kifala ndio kama zipi mkuu?
Usipotii sheria za nchi ni lazima tu utalipa fines au kwenda jela ama vyote kwa pamoja.kulipishana faini
Faini silipi na jela siendiUsipotii sheria za nchi ni lazima tu utalipa fines au kwenda jela ama vyote kwa pamoja.
Hahahahaha,Faini silipi na jela siendi
Nikikuta sehemu ina virusi vya corona wale bibi na bwana waliopo kwenye nembo ya nchi lazima niwavishe barakoa kwa usalama wao.
Sawa mkuu...Faini silipi na jela siendi
Bila hata kapicha?
Sure. Ni maoni tu ya mtu kupitia sanaa ya picha. Barakoa zilivuma sana korona iliposhamiri. Barakoa kwenye nembo mtazamaji atavutika na kukumbuka kuvaa barakoa. Kwa mpumbavu mawazo yataenda kuidhalilisha nembo, kana kwamba mchoraji katunga Sheria ya nembo kuvaa barakoa. Kwa mataifa yenye demokrasia hakuna sheria za kipuuzi kama hizi. Ni viongozi wasio jiamini wanao furahia sheria kama hizi. Wapo radhi kutunga Sheria ya kila siku misikitini na kanisani sala ya kwanza ni ya kumwombea yeye sushi milele.Hizi ndizo zile 'Sheria kandamizi' ambazo Dr wa degree Saba alizikimbiza bungeni kwa hila ya kudhibiti na kunyima watu Uhuru wa maoni.
Tukiendelea hivi tusitegemee kujikomboa kifikra.!
Sio kusaidia, kunaathiri nini.Kuwavalisha barakoa wale bibi na bwana kunasaidia nini katika zama hizi?
Sawa mzee babaNikikuta sehemu ina virusi vya corona wale bibi na bwana waliopo kwenye nembo ya nchi lazima niwavishe barakoa kwa usalama wao.
Yes. Niliiona facebook. Ninaikumbuka sana mkuu.Kuna ile moja ilinifurahishaga kipindi kile cha ufisadi ndo story ya mjini, walichora kwamba chini ya utawala wa CCM hao bibi na bwana kila mmoja anasepa na pembe yake
Coat of Arms ni alama ya taifa kama ilivyo bendera pamoja na picha ya Mh. Rais.ilinitafakarisha sana
Jiulize kwanza, kwani kuchoma moto bendera ya taifa kunaathiri nini?Sio kusaidia, kunaathiri nini.
Big NO...Sure.
Kweli kabisa mkuuVijana tufanye upuuzi wote ila kunamahala atutakiwi kugusa.
Sawa mkuu, lakini sio katika serious issues kama nembo za taifa.Ni maoni tu ya mtu kupitia sanaa ya picha. Barakoa zilivuma sana korona iliposhamiri. Barakoa kwenye nembo mtazamaji atavutika na kukumbuka kuvaa barakoa.