CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

watanzania wengi wamelogwa!hata ukiwa na mkuu wa wilaya profesa inakusaidia nn?! Hata sie wenye elimu za chuo kikuu yena vile vinavyotambulika tunafaham namna elimu ilivyo na nafasi ndogo katika uongozi! Hivi unahitaji kuwa na degree kujua kuwa jimbo lako lina uhaba wa maji?! Yaan watu wapo radhi kuponda elimu ya Sugu huku hao wasomi mliwapa wizara wanafanya madudu tu! Kila kitu hovyo mnajadili jambo lisilo na tija; kama ni chuki binafsi ni vyema ukaipeleka kwenye magazeti ya udaku! Katiba inamruhusu Sugu kwa elimu yake kugombea na kuwa mbunge!
Mikataba mibovu yote ambayo imazidisha umasikini wa nchi yetu imetayarishwa na kusainiwa na hao watukufu wenye mashahada yanayoabudiwa. Wezi wa mali ya uma wengi ni hao hao! Walioficha fedha uswiss ni hao hao wenye mashahada yanayoabudiwa. Wachumi wengi walioshindwa kupanga vema bajeti ya taifa hili ni haohao! Wakati Wizara ya Elimu inaongozwa na msomi mwenye shahada ya uzamivu (PhD) bado watoto wanafaulu kujiunga na form one huku hawajui kusoma na kuandika na asilimia 60 ya kidato cha 4 wamefeli! Wakati wizara ya Nishati inaongozwa na Profesa, hata hapa nilipo kuna mgawo wa umeme. Profesa anayeongoza wizara ya maji ndo usiseme. Shida tupu. Mheshimiwa Sugu anajua mahitaji ya wananchi waliomchagua, anajua matatizo yao, anajua namna ya kuyawasilisha bungeni, zaidi sana ana uchungu wa kuona nchi inasonga mbele badala ya watawala wachahe kujilimbikizia utajiri huku maskini wakifa bila dawa mahospitalini! Ana busara na hekima ya kuzaliwa na hadi sasa amewafanyia wana Mbeya mambo mengi sana kuliko wale wenye madigirii ya kichwani tu. Tunahitaji watu kama Sugu!
 
Celebrity toka 1994 hadi 1998? Ndo kazi gani hyo inaitwa celebrity?
Ubunge ni uwakilishi wa watu kwa kuchaguliwa nao bila ya kujali hali ya mtu. Naona mmejikita kwenye fitna zaidi kuliko kuangalia perfomance ya mtu. Nani kasema ubunge ni wa watu wa tabaka fulani tu na kwamba wanamuziki wa bongo flava, makonda au watu wasio na "kisomo" hawastahili kuwa wawakilishi wa umma?
CCM ina ma "Dokta na maprofesa" bungeni ambao hakuna chochote wanachochangia zaidi ya kuupiga usingizi, kusuka michoro ya kuliibia na kuliangamiza taifa na kupinga kila hoja itakayowakilishwa toka CHADEMA!
Ni mjadala gani bungeni ambao hata mtu mwenye kiwango cha elimu ya huyu Mbunge ashindwe kuufuatilia tena kwenye bunge linaloendeshwa kwa lugha ya Kiswahili? Mbona hamzungumzi juu ya yule aliyekuwa Mbunge wa Buchosa kwa tiketi ya CCM ambaye alibainika kuishia darasa la saba? Kwa hiyo kosa la kijana huyu ni tu kutokuwa na Digrii hata ya kuchonga kama za wengi ndani ya CCM ambao kla kukicha wanajivisha Udokta na Uprofesa bila hata chembe ya aibu?
 
leo wakati napitia profile za wabunge wetu. nimeshitushwa na hii ya mheshimiwa huyu. hivi kweli huyu anawezaje kuichambua vizuri hata sera ya afya nchini kwa ufasaha ukiachiliambali uwezo wa kujieleza mbele ya wawekezaji wakigeni au hata wabunge wa bunge la ulaya ? kuna haja ya katiba kuondoa madudu kama haya. lazima tuweke watu wenye weredi bungeniwanaoweza kuchambua kwa taaluma hesabu na matumizi ya nchi kwa kuzingatia weredi na maslahi ya taifa na vipaumbele vya maendeleo.

kama tutaacha uchumiwa nchi utumikie siasa hatutafika popote japo tutabaki kuwa kisiwa maskini cha amani !

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1644.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Osmund[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Joseph[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mbilinyi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mbeya Mjini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 815, Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 716 627344[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmbilinyi@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 May 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabasaba Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sisimba Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sokoine Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ligula Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Mbeya Urban Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BP Tanzania Limited[/TD]
[TD]Security Officer[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Self Employed[/TD]
[TD]Celebrity[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]Member[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
wewe binafsi ungekua na weledi wa kutosha ungejenga hoja yako kuonyesha jinsi gani elimu ndogo imesababisha huyu mbunge ameshindwa kuwawakilisha wapiga kura wake! na issue nyingine nimegundua,wewe ni kihiyo ambaye huelewi kazi za mbunge!
 
Wewe umemuona huyo tu? Karibu timu yote ya CHADEMA bungeni viwango vyao ndio hivyo hivyo. Huyo mbona afadhali sana.Kwa CHADEMA elimu sio muhimu. Ukishakuwa na uwezo wa kusema tu basi inatosha.
Tafadhali tuwekeeni na CV ya Maji marefu
 
Mwanzisha hii thread,Naona suala la fraudster wa wizara ya Elimu imekuuma sana.Bwana Mbilinyi hapo juu hajaforge cheti chochote,au kujiongezea elimu feki na kujiita Dr kama vilaza wa CCM kama Makanga ,Nchimbi na wengineo.
 
hivi unaiua cv ya Jose Mujica,yule raisi anayesifiwa na dunia nzima kwa uzalendo wake kwa taifa na wananchi wake.?hizi cv zingekuwa zinaongoza nchi basi na sisi Tanzania tungekuwa mbali,maana tunaongozwa na Dkt. ..
 
Huna credibility ya kuhoji elimu ya Sugu. Wewe umepata kuchangia wapi ili tuone elimu yako? Angalia ulivyoandika hovyo hapo juu. Hakuna koma, nukta, hujatumia herufi kubwa ipasavyo nk. Unapata wapi ujasiri wa kumsema mwenzio wakati we hujiwezi? Bora ufanye kazi haya majungu hayakusaidii. Baba V, hivi shule za kata wamefunga? Au ndio impact ya form six mtaani? (He doesn't even deserve to be one of them)!

Mkuu sometimes najiskia aibu sana kuona kuwa na mimi ni mdau wa elimu halafu kuna watu wanajiita wana elimu ingawa hata ukiangalia hoja zao utagundua wanajua kusoma na kuandika tu japo hata kanuni za uandishi hawazifuati..., mshauri huyo Njegele aje nimsajili kwenye darasa langu la QT atoe ukungu wa kujiona msomi kumbe anasomwa..
 
Last edited by a moderator:
baada ya ku fail form 4 na ugumu wa maisha aliyokuwa akiishi kwa kumtegemea mama tu (single parent) ikabidi asafiri hadi dar kutafuta maisha .akafanikiwa kuajiriwa na kampuni moja ya ulinzi (security guard) akapangiwa kulinda kwenye kampuni ya mafuta ya gapco kama mlinzi wa usiku.

Kutokana na ugumu wa kazi ya ulinzi na udogo wa mshahara (kwani alikuwa pia anapenda sana starehe, wanawake na sifa kama jina lake MR 2) ikabidi ajishughulishe na hii miziki ya kufoka foka yaani bongo fleva .baada ya kujipatia umaarufu kutokana na nyimbo zake za kusifia BANGI akaacha kazi na kufanya ziara karibu nchi nzima akifanya matamasha ya kuimba .

Mwishowe akapata mfadhili anaitwa ndugu MPONJOLI (huyu ni maarafu sana kule Marekani kwa kuiba kadi za bank au credit alishafungwa huko marekani na alipoachiwa amepigwa marufuku kuonekana nchini marekani kwa sasa yupo uingereza) kumpeleka nje na inasemekana akapeleka mzigo (unga )nchini Marekani. na ndipo maisha yake yakawa afadhali. Lakini kutokana na kukamatwa na kufungwa huyo mfadhili wake MPONJOLI ikambidi yeye arudi tena nchini .

Ikamdondokea zali kutokana na chama cha mapinduzi kumsimamisha mgombea asiyependwa katika jimbo la Mbeya ndio ikamuwezesha yeye kuukwaa ubunge katika jimbo la mbeya mjini kwa tiketi ya CHADEMA na kuingia bungeni kwa mara ya kwanza. na alipoingia tu bungeni cha kwanza kabisa ni kumnyanganya mwanamuziki mwenzake wa bongo fleva JAFFARAY mwanamke wake aliyekuwa akilelewa naye mheshimiwa SHYROSE BANJI.

Hayo ndio kwa kifupi sana maisha ya JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU mbunge wa mbeya mjini. kwa maendeleo ya mbeya mjini. ANAYEYAJUA MENGINE ZAIDI ATUHABARISHE

Kweli tuliache kalio liitwe kalio, ukilipa majukumu ya kichwa matokeo ndo kama haya ya mleta mada... Shame on you gamba
 
Hii haiqualify kuitwa CV, Haya yanaitwa Majungu/fitna. Naona maneno ya fitna kama "inasemekana", katika kuonyesha your negativity on him. Si vyema kuelezea hadharani maneno ya kusikia (hearsay) tunahitaji reliable sources of information. Unasema Sugu alinyang'anganya mke wa Jaffarai, Je unafahama kuwa huyo mke naye anahaki na maamuzi ya kuwa na mtu anayemtaka??au wewe wadhan mwanamke ni ngo'mbe hana maamuzi yake??
 
Kwani Mbeya yote CHADEMA NI yeye tu, na je unadhihirisha kuwa kwa kuwa CCM haipendwi Mbeya, Mhe. Mbilinyi ataendelea kupeta na CV yake kwa kuwa hakuna mtu mwingine Mbeya zaidi yake?
Si kweli uyasemayo, huyu alichaguliwa tu kuwa yeye ni CHADEMA na Mbeya hawaitaki CCM.
 
Iko hiviii...wananchi wengi waliwachagua wabunge wa cdm kama akina sugu bila kujua kwa sababu ya hasira ya msoto wa maisha lakini sasa wamegundua walipotoka kwani hawafai hata kwa kulumangia. Time will tell 2015!!!
 
Kwani Mbeya yote CHADEMA NI yeye tu, na je unadhihirisha kuwa kwa kuwa CCM haipendwi Mbeya, Mhe. Mbilinyi ataendelea kupeta na CV yake kwa kuwa hakuna mtu mwingine Mbeya zaidi yake?

Sivyo, wasomi wengi wako CCM na kwa baadaye lazima Mh. Mbilinyi ataachia ngazi tu kwani wasomi wengi (CHADEMA) wanakuja juu huko Mbeya.
 
yaani hapo ndio yuko juu kuliko hata mbowe.. tusome wakuu. haya mambo tunaongea kama utani lakini yanauma.
 
Yani hapo angalau amehamahema Primary na Secondary ndiyo pakajazajaza hilo eneo la taaluma. Otherwise alikuwa anahitaji row mbili tu ili asijaze saver ya BUNGE.
 
Back
Top Bottom