CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

Naombeni mtafute kile kitambu cha 'from street to parliament' cha sugu kaeleza kila kitu, elimu yake had matatzo ya kusimamshwa shule "mbeya day". Ukweli n kuwa hakugukuzwa bali alisimamishwa akaja kufanya 'mtihan wa taifa' na kupat daraja la nne (div 4). Upo?
 
Mkuu SUGU mbona kawaida yake wewe ndo unamjua leo? Ni kundi lile linalojipatia umaarufu kwa kumpigia magoti mwenyekiti wao MBOWE.

Mimi nafahamu kuwa huyu alichaguliwa na wananchi wa Mbeya kuwa mbunge wao. Mbowe anakujaje hapa?
 
utata wangu ni ple tunapokuwa na mwakilishi ambaye hawezi kutoa na kuwa na mipango ya kuwasaidia wanaichi wake sasa wakazi gani mtu kama huyu jimboni.

Bila ya shaka yoyote wewe ni Mulugo, uliyesema Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.
 
nimefuatilia sana michango ya sugu akiwa bungeni na katika jamii kwa ujumla nimeona kuwa michango mingi ya mbilinyi huwa siyo ya kiwered sana bali huwa ni michango iliyokaa kimzaha na kuchekesha,niliwaza sana lakini nikabaini kuwa kunatatizo la elmu alilonalo ikumbukwe kuwa sugu alifukuzwa mbeya sec kwa utovu wa nidhamu na historia haioneshi kama alisoma shule yoyote hapa nchini baada ya kufukuzwa mbeya sec

Sasa tatizo liko wapi? Maana kama amesema uwongo kama Mulugo toa ushahidi tumjadili. Lakini kama hajajitwisha elimu asiyokuwa nayo kuna kosa gani. Tena kama alifika sekondari akafukuzwa kama unavyodai basi ana nafuu kuliko hao walioishia darasa la saba kama kina Maji marefu au Steven Ngonyani, Job Lusinde aka Mzee wa matusi, Lukivi nk. Tena kama ungekuwa makini ungehoji elimu ya Job Lusinde kwani akifungua mdomo ni bora hata hao wanaofaulu kwenda kidato cha kwanza wakiwa hawajui kusoma wala kuandika. Lakini naona pia thread yako hii ni kama kutaka kumtetea mzee wa visiwa vya Zimbabwe na Pemba kwasababu jini kasha toka kwenye chupa. Yaani unataka kuwatoa watu kwenye hoja ya waziri kufoji vyeti ili waone kuwa hata fulani nae hana elimu. Mimi nasema hata hao niliwataja wana nafuu kuliko Mulungo kwasababu wamekuwa wazi kuhusu elimu zao.
 
nimefuatilia sana michango ya sugu akiwa bungeni na katika jamii kwa ujumla nimeona kuwa michango mingi ya mbilinyi huwa siyo ya kiwered sana bali huwa ni michango iliyokaa kimzaha na kuchekesha,niliwaza sana lakini nikabaini kuwa kunatatizo la elmu alilonalo ikumbukwe kuwa sugu alifukuzwa mbeya sec kwa utovu wa nidhamu na historia
haioneshi kama alisoma shule yoyote hapa nchini baada ya kufukuzwa mbeya sec


Hakika mtu yule aliyesema ukitaka kuwaficha kitu watanzania kiweke katika maandishi hakukosea. Hili la elimu ya Joseph Mbilinyi a.k.a sugu binafsi amelizungumzia katika kitabu cha maisha yake sasa sijui unataka alieleze wapi zaidi. Tafadhali tumia muda wako vizuri.
 
Naona kuna juhudi inafanyika hapa kututoa kwenye habari za waziri Mulugo na utata juu ya elimu yake. Hata hivyo si jambo rahisi kwa vile jambo hili limeanikwa katika magazeti na nchi nzima kulifahamu.
 
philip augustino mulugo
hamimu hassan
hamimu augustino mulugo
dickson mulungu
philip hamimu dick augustino


itaendele kesho...
 
Shosti nakujua wewe na hamimu hussein mulungu a.k.a mulugu au mulugo umekuja na hii single mpya ya sugu ili kukwepesha ukweli. Swali je jina lako halisi ni nani? Tunataka ujiudhuru kwa kufoji vyeti na kufelisha watoto wetu bwana hamimu.
 
Afadhali asiye na vyeti anasikika bungeni. Wewe mwenye vyeti mchango wako unaishia hapa na hauna manufaa kwa Taifa
 
Mkuu kama umeenda shule hebu tafakari msemo huu kisha fanya tathimini kuhusu hoja yako. "Grades don't measure intelligence and age doesn't define maturity"
 
Mkuu kama umeenda shule hebu tafakari msemo huu kisha fanya tathimini kuhusu hoja yako. "Grades don't measure intelligence and age doesn't define maturity"

Mkuu kama na ww umenda shule wambie na wenzako wasiwe na double standard, wautumie pia wanapojadili elimu za viongoz wa ccm.
 
utata wangu ni ple tunapokuwa na mwakilishi ambaye hawezi kutoa na kuwa na mipango ya kuwasaidia wanaichi wake sasa wakazi gani mtu kama huyu jimboni.

Akili ya mtu ikidumaa sana huwa inaota mavuzi, sipendi kuamini kama na wewe unahusika! usikimbilie kuzima moto mtaa wa pili kwenye tetesi za moto wakati nyumbani kwako umeacha moto unawaka huku wanao job lusinde na profesa maji marefu wanaungua! hiyo ndo akili iliyodumaa kisha ikaota mavuzi na narudia tena sitaki kuamini kama nawe akili yako ni ya hivyo!
 
[h=2]Hii ndiyo CV yake Mh. Sugu.....wapi kadanganya??? Na ili uwe Mbunge unahitaji kiwango gani cha elimu???..[/h][h=2]Member of Parliament CV[/h]
SalutationHonourable
First Name: Osmund
Middle Name: Joseph
Last Name:Mbilinyi
Constituent: Mbeya Mjini
Political Party: CHADEMA
Office Location: Box 815, Mbeya
Office Phone: +255 716 627344
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: jmbilinyi@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 1 May 1972

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%"] Member picture
1644.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Sabasaba Secondary School
Mbeya Secondary School
Sisimba Primary School
Sokoine Primary School
Ligula Primary School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Mbeya Urban Constituency
BP Tanzania LimitedSecurity Officer
Self EmployedCelebrity

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
CHADEMAMember

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]
2010​
[/TD]
 
Sugu hana tabia chafu ya kughushi vyeti, tunaanza kupambana na mafisadi wa elimu.kiongozi wa juu kutumia majina tofauti na vyeti ni uhuni.Mulugo must go hana sifa ya kupambana na muadilifu Mr.Sugu
Kuhusu Mulugo Kama ni kweli Ana vyeti vya kughushi aondoke. Lkn haimaanishi kuwa Sugu Ana elimu ya kutosha. Ndio maana naunga mkono hoja ya kiwango cha elimu itamkwe kwenye katiba waziwazi, kusoma na kuandika Kiswahili ama kiingereza haitoshi. Sugu, Mulugo na wengine hawatoshi kuongoza nchi hii
 
leo wakati napitia profile za wabunge wetu. nimeshitushwa na hii ya mheshimiwa huyu. hivi kweli huyu anawezaje kuichambua vizuri hata sera ya afya nchini kwa ufasaha ukiachiliambali uwezo wa kujieleza mbele ya wawekezaji wakigeni au hata wabunge wa bunge la ulaya ? kuna haja ya katiba kuondoa madudu kama haya. lazima tuweke watu wenye weredi bungeniwanaoweza kuchambua kwa taaluma hesabu na matumizi ya nchi kwa kuzingatia weredi na maslahi ya taifa na vipaumbele vya maendeleo.

kama tutaacha uchumiwa nchi utumikie siasa hatutafika popote japo tutabaki kuwa kisiwa maskini cha amani !

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1644.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Osmund[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Joseph[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mbilinyi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mbeya Mjini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 815, Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 716 627344[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmbilinyi@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 May 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabasaba Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sisimba Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sokoine Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ligula Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Mbeya Urban Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BP Tanzania Limited[/TD]
[TD]Security Officer[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Self Employed[/TD]
[TD]Celebrity[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]Member[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kwa nini unalalamika? wakati wewe mwenye uwezo zaidi yake haujitokezi kugombea nafasi kama hiyo? wananchi waliona kati ya waliokuwepo kwenye kinyanganyiro huyo alikuwa bora kuliko wote, kwa hiyo ikabidi wamchanguwe.
 
WE JOSEPH KUSAGWA EBU TUACHE BANA

ushabiki mbaya sana. Mr 2 sugu anaelimu ya darasani form 6 na chuo kikuu cha mtaa.

Michango ya sugu bungeni ni makini sana zaidi ya madokta na maprofesa kama Maghembe au Mulugo na migao ya umeme kwenye ujenzi wa taifa
Mf. SWALA LA HATI MILIKI NA WIZI WA KAZI ZA WASANII adi kufikia muhafaka na serikali wa tra kusimamia uuzwaji na usambazaji wa kazi hizo.

2. Alilalamika swala la wasanii wakubwa kama joe tomas bee man 50cent kufanya shoo bongo na kulipwa ma bilioni bila serikali kuwakata kodi huku walalahoi tunakatwa kodi kwenye mishahara ya lakimbili

3. Amelalama uovu wa polisi

sugu kaanza kutetea wanyonge toka kwenye mziki tafuta vibao vyake kabla ajaanza siasa kama
1. HAKI aliifanya na jastini kalikawe

2. KURA YANGU alifanya na Juma nature na Dr levy

3. MIKONONI MWA POLISI aliifanya mwaka 2000 na 2012 mwangosi akafa mikononi mwa polisi
 
Back
Top Bottom