nimefuatilia sana michango ya sugu akiwa bungeni na katika jamii kwa ujumla nimeona kuwa michango mingi ya mbilinyi huwa siyo ya kiwered sana bali huwa ni michango iliyokaa kimzaha na kuchekesha,niliwaza sana lakini nikabaini kuwa kunatatizo la elmu alilonalo ikumbukwe kuwa sugu alifukuzwa mbeya sec kwa utovu wa nidhamu na historia haioneshi kama alisoma shule yoyote hapa nchini baada ya kufukuzwa mbeya sec
Popote nilikoweka colour pananifanya nijue wewe ni mtu wa aina gani bila hata kukuona. Nimesoma Autobiography ya Joseph Mbilinyi "SUGU" imenifanya nimfahamu zaidi ya elimu unayotaka kupotosha watu hapa.
Ok, wewe una elimu enhhhh! Mbona kama haijakukomboa?
Think broadly and wisely. Ok discuss people but should contain issues.