CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

watanzania wengi wamelogwa!hata ukiwa na mkuu wa wilaya profesa inakusaidia nn?! Hata sie wenye elimu za chuo kikuu yena vile vinavyotambulika tunafaham namna elimu ilivyo na nafasi ndogo katika uongozi! Hivi unahitaji kuwa na degree kujua kuwa jimbo lako lina uhaba wa maji?! Yaan watu wapo radhi kuponda elimu ya Sugu huku hao wasomi mliwapa wizara wanafanya madudu tu! Kila kitu hovyo mnajadili jambo lisilo na tija; kama ni chuki binafsi ni vyema ukaipeleka kwenye magazeti ya udaku! Katiba inamruhusu Sugu kwa elimu yake kugombea na kuwa mbunge!
 
Tunawahitaji sana watu wenye level hizi za elimu za akina Bill Gates!ndio wanamapinduzi wa kweli,wanaokuwa na fikra sahihi juu ya mazingira yao wayafanyeje ili kupata desired outcome.they are practical genius!sijui kuna nini huku juu tuliko sie!pamoja na vyeti vyetu vikubwa na A+ tumejaa ufisadi,wivu,tamaa na uvivu wa kifikra.ndio shida ya kujaza theories nyingi kichwani.unaamini theory zako kuliko uhalisia wa mambo na ndio maana wananchi wanatupiga chini siku hizi,wametustukia na mie nasema kwa akili zangu timamu kabisa kuwa wana haki ya kupenda choice hizo!
 
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1738.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Stephen[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Hilary[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Ngonyani[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Korogwe Vijijini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 60, Korogwe, Tanga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 784 459090/+255 712 006666[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]sngonyani@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]25 May 1956[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Kwamndolwa Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Member of NEC[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Regional Economic Secretary[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Economic Secretary, Korogwe rural[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
...........Kinachojitokeza hapa no jinsi ya Mh. Sugu alvyojiweka wazi kuhusu elimu yake.... hakufanya kama wengine walivyofanya .... kufoji vyeti... kati ya viongozi wanaojiita Ma - Dr. walivyofanya ...........asilimia 80 ya waliojipachika u-docta hawana elimu inayodhihirisha udocta wao.........
 
Iq is wat matterz hapo
iq ni uwezo binafsi na haufananagi
unaweza kuwa umesoma saaaana na elimiu yako haikusaidii na haisaidii watu
lincoln alikuwa mcheza mieleka na mbeba mabox tuu na hittler alikuwa mesenger mwenye mbio tuu
siijui elimu ya gadaffi
me naona sugu ni mwanamapinduzi na hata moyo wako wewe ulieweka hii threat unjua nature ya huyu jamaa.....wapo wengi wa aina yake na kwa michango yao wanaeshimika...me naheshimu sana jitihada za sugu kuliko za baba liziwani
 
watanzania wengi wamelogwa!hata ukiwa na mkuu wa wilaya profesa inakusaidia nn?! Hata sie wenye elimu za chuo kikuu yena vile vinavyotambulika tunafaham namna elimu ilivyo na nafasi ndogo katika uongozi! Hivi unahitaji kuwa na degree kujua kuwa jimbo lako lina uhaba wa maji?! Yaan watu wapo radhi kuponda elimu ya Sugu huku hao wasomi mliwapa wizara wanafanya madudu tu! Kila kitu hovyo mnajadili jambo lisilo na tija; kama ni chuki binafsi ni vyema ukaipeleka kwenye magazeti ya udaku! Katiba inamruhusu Sugu kwa elimu yake kugombea na kuwa mbunge!

Yan wewe ndugu huelewi hata unachokizungumza manake bungeni sio sehemu ya kupeleka macelebrity kwa sababu kule ni sehem ambapo mikataba mbalimbali inajadiliwa..acha ushabiki wa uvyama
 
Kwani vigezo vya kuwa mbunge ni vp mpaka tuseme form 4 hawezi chambua bajeti?
Wapo watu elimu hakuna ila wanabiashara za mabilioni inakuaje hapo.
 
Kwa nini unalalamika? wakati wewe mwenye uwezo zaidi yake haujitokezi kugombea nafasi kama hiyo? wananchi waliona kati ya waliokuwepo kwenye kinyanganyiro huyo alikuwa bora kuliko wote, kwa hiyo ikabidi wamchanguwe.

Si kweli uyasemayo, huyu alichaguliwa tu kuwa yeye ni CHADEMA na Mbeya hawaitaki CCM.
 
Duh, bado mnaendelea na mambo haya ya CV, nendeni Kenya, mwenzenu Shalo Mollionaire kawa Mbunge!
 
poor thread kama hizi zinaaibisha great thinkers

everything is at your disposal if you are clever enough you can home-school yourself baby , going to school and get certified with some mother----ers out there is not the end of the world, formal education is essential if and only if you want get formal employment license and the license to speak in front of the orthodox academicians. If you want to serve people in the political arena all you need in built-in human intelligence which has nothing to with education but reasoning of which nobody can train you to.

Sugu ni genius like all other chadema brothers and sisters.
 
Kiukweli kuna tofauti kati ya SUGU na Mulugu, Mathayo, Nagu, Lukuvi, Kinana

maana sugu ni mkweli na muwazi, hajachakachua
 
leo wakati napitia profile za wabunge wetu. nimeshitushwa na hii ya mheshimiwa huyu. hivi kweli huyu anawezaje kuichambua vizuri hata sera ya afya nchini kwa ufasaha ukiachiliambali uwezo wa kujieleza mbele ya wawekezaji wakigeni au hata wabunge wa bunge la ulaya ? kuna haja ya katiba kuondoa madudu kama haya. lazima tuweke watu wenye weredi bungeniwanaoweza kuchambua kwa taaluma hesabu na matumizi ya nchi kwa kuzingatia weredi na maslahi ya taifa na vipaumbele vya maendeleo.

kama tutaacha uchumiwa nchi utumikie siasa hatutafika popote japo tutabaki kuwa kisiwa maskini cha amani !

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1644.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Osmund[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Joseph[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mbilinyi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mbeya Mjini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 815, Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 716 627344[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmbilinyi@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 May 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabasaba Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sisimba Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sokoine Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ligula Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Mbeya Urban Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BP Tanzania Limited[/TD]
[TD]Security Officer[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Self Employed[/TD]
[TD]Celebrity[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]Member[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

everything is at your disposal if you are clever enough you can home-school yourself baby , going to school and get certified with some mother----ers out there is not the end of the world, formal education is essential if and only if you want get formal employment license and the license to speak in front of the orthodox academicians. If you want to serve people in the political arena all you need in built-in human intelligence which has nothing to with education but reasoning of which nobody can train you to.

Sugu ni genius like all other chadema brothers and sisters.
 
Hebu lete za Mzindakaya na Lukuvi, ndio tupime jee Elimu ni issue kwenye siasa!

leo wakati napitia profile za wabunge wetu. nimeshitushwa na hii ya mheshimiwa huyu. hivi kweli huyu anawezaje kuichambua vizuri hata sera ya afya nchini kwa ufasaha ukiachiliambali uwezo wa kujieleza mbele ya wawekezaji wakigeni au hata wabunge wa bunge la ulaya ? kuna haja ya katiba kuondoa madudu kama haya. lazima tuweke watu wenye weredi bungeniwanaoweza kuchambua kwa taaluma hesabu na matumizi ya nchi kwa kuzingatia weredi na maslahi ya taifa na vipaumbele vya maendeleo.

kama tutaacha uchumiwa nchi utumikie siasa hatutafika popote japo tutabaki kuwa kisiwa maskini cha amani !

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Salutation
[/TD]
[TD]Honourable
[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1644.jpg

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:
[/TD]
[TD]Osmund
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:
[/TD]
[TD]Joseph
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:
[/TD]
[TD]Mbilinyi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:
[/TD]
[TD]Mbeya Mjini
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:
[/TD]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:
[/TD]
[TD]Box 815, Mbeya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:
[/TD]
[TD]+255 716 627344
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:
[/TD]
[TD]jmbilinyi@parliament.go.tz
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:
[/TD]
[TD]Current Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth
[/TD]
[TD]1 May 1972
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location
[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award
[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date
[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date
[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabasaba Secondary School
[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education
[/TD]
[TD="align: center"]1990
[/TD]
[TD="align: center"]1991
[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School
[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education
[/TD]
[TD="align: center"]1988
[/TD]
[TD="align: center"]1990
[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sisimba Primary School
[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1986
[/TD]
[TD="align: center"]1987
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sokoine Primary School
[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1984
[/TD]
[TD="align: center"]1986
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ligula Primary School
[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1981
[/TD]
[TD="align: center"]1984
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name
[/TH]
[TH="align: center"]Position
[/TH]
[TH="align: center"]From
[/TH]
[TH="align: center"]To
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania
[/TD]
[TD]Member - Mbeya Urban Constituency
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
[TD="align: center"]2015
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BP Tanzania Limited
[/TD]
[TD]Security Officer
[/TD]
[TD="align: center"]1998
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Self Employed
[/TD]
[TD]Celebrity
[/TD]
[TD="align: center"]1994
[/TD]
[TD="align: center"]1998
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]Member
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kumbuka zamani watu wengi walikuwa hawafeli, bali wanakosa nafasi tuu. Ukipata elimu ya msingi, vitabu vipo unashindwaje kujua mambo unayoyataka. Kila kitu kwa manual bwana.

leo wakati napitia profile za wabunge wetu. nimeshitushwa na hii ya mheshimiwa huyu. hivi kweli huyu anawezaje kuichambua vizuri hata sera ya afya nchini kwa ufasaha ukiachiliambali uwezo wa kujieleza mbele ya wawekezaji wakigeni au hata wabunge wa bunge la ulaya ? kuna haja ya katiba kuondoa madudu kama haya. lazima tuweke watu wenye weredi bungeniwanaoweza kuchambua kwa taaluma hesabu na matumizi ya nchi kwa kuzingatia weredi na maslahi ya taifa na vipaumbele vya maendeleo.

kama tutaacha uchumiwa nchi utumikie siasa hatutafika popote japo tutabaki kuwa kisiwa maskini cha amani !

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Salutation
[/TD]
[TD]Honourable
[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1644.jpg

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:
[/TD]
[TD]Osmund
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:
[/TD]
[TD]Joseph
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:
[/TD]
[TD]Mbilinyi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:
[/TD]
[TD]Mbeya Mjini
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:
[/TD]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:
[/TD]
[TD]Box 815, Mbeya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:
[/TD]
[TD]+255 716 627344
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:
[/TD]
[TD]jmbilinyi@parliament.go.tz
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:
[/TD]
[TD]Current Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth
[/TD]
[TD]1 May 1972
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location
[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award
[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date
[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date
[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabasaba Secondary School
[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education
[/TD]
[TD="align: center"]1990
[/TD]
[TD="align: center"]1991
[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School
[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education
[/TD]
[TD="align: center"]1988
[/TD]
[TD="align: center"]1990
[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sisimba Primary School
[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1986
[/TD]
[TD="align: center"]1987
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sokoine Primary School
[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1984
[/TD]
[TD="align: center"]1986
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ligula Primary School
[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1981
[/TD]
[TD="align: center"]1984
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name
[/TH]
[TH="align: center"]Position
[/TH]
[TH="align: center"]From
[/TH]
[TH="align: center"]To
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania
[/TD]
[TD]Member - Mbeya Urban Constituency
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
[TD="align: center"]2015
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BP Tanzania Limited
[/TD]
[TD]Security Officer
[/TD]
[TD="align: center"]1998
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Self Employed
[/TD]
[TD]Celebrity
[/TD]
[TD="align: center"]1994
[/TD]
[TD="align: center"]1998
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]Member
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
watanzania wengi wamelogwa!hata ukiwa na mkuu wa wilaya profesa inakusaidia nn?! Hata sie wenye elimu za chuo kikuu yena vile vinavyotambulika tunafaham namna elimu ilivyo na nafasi ndogo katika uongozi! Hivi unahitaji kuwa na degree kujua kuwa jimbo lako lina uhaba wa maji?! Yaan watu wapo radhi kuponda elimu ya Sugu huku hao wasomi mliwapa wizara wanafanya madudu tu! Kila kitu hovyo mnajadili jambo lisilo na tija; kama ni chuki binafsi ni vyema ukaipeleka kwenye magazeti ya udaku! Katiba inamruhusu Sugu kwa elimu yake kugombea na kuwa mbunge!
ndiyo katiba inamruhusu lakini ni mnunge asiye na mchango wa maana
 
Unless asiwe Joseph kusaga, kama ni yeye basi nyani haoni kundule, yeye kasoma wapi? Mbona anafanikiwa kwenye biashara zake. Kuna Elimu ya Darasani na ya maisha inawezekana sugu na PHD ya elimu ya maisha.

WE JOSEPH KUSAGWA EBU TUACHE BANA

ushabiki mbaya sana. Mr 2 sugu anaelimu ya darasani form 6 na chuo kikuu cha mtaa.

Michango ya sugu bungeni ni makini sana zaidi ya madokta na maprofesa kama Maghembe au Mulugo na migao ya umeme kwenye ujenzi wa taifa
Mf. SWALA LA HATI MILIKI NA WIZI WA KAZI ZA WASANII adi kufikia muhafaka na serikali wa tra kusimamia uuzwaji na usambazaji wa kazi hizo.

2. Alilalamika swala la wasanii wakubwa kama joe tomas bee man 50cent kufanya shoo bongo na kulipwa ma bilioni bila serikali kuwakata kodi huku walalahoi tunakatwa kodi kwenye mishahara ya lakimbili

3. Amelalama uovu wa polisi

sugu kaanza kutetea wanyonge toka kwenye mziki tafuta vibao vyake kabla ajaanza siasa kama
1. HAKI aliifanya na jastini kalikawe

2. KURA YANGU alifanya na Juma nature na Dr levy

3. MIKONONI MWA POLISI aliifanya mwaka 2000 na 2012 mwangosi akafa mikononi mwa polisi
 
Back
Top Bottom