kupe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 1,035
- 326
baada ya ku fail form 4 na ugumu wa maisha aliyokuwa akiishi kwa kumtegemea mama tu (single parent) ikabidi asafiri hadi dar kutafuta maisha .akafanikiwa kuajiriwa na kampuni moja ya ulinzi (security guard) akapangiwa kulinda kwenye kampuni ya mafuta ya gapco kama mlinzi wa usiku.
Kutokana na ugumu wa kazi ya ulinzi na udogo wa mshahara (kwani alikuwa pia anapenda sana starehe, wanawake na sifa kama jina lake MR 2) ikabidi ajishughulishe na hii miziki ya kufoka foka yaani bongo fleva .baada ya kujipatia umaarufu kutokana na nyimbo zake za kusifia BANGI akaacha kazi na kufanya ziara karibu nchi nzima akifanya matamasha ya kuimba .
Mwishowe akapata mfadhili anaitwa ndugu MPONJOLI (huyu ni maarafu sana kule Marekani kwa kuiba kadi za bank au credit alishafungwa huko marekani na alipoachiwa amepigwa marufuku kuonekana nchini marekani kwa sasa yupo uingereza) kumpeleka nje na inasemekana akapeleka mzigo (unga )nchini Marekani. na ndipo maisha yake yakawa afadhali. Lakini kutokana na kukamatwa na kufungwa huyo mfadhili wake MPONJOLI ikambidi yeye arudi tena nchini .
Ikamdondokea zali kutokana na chama cha mapinduzi kumsimamisha mgombea asiyependwa katika jimbo la Mbeya ndio ikamuwezesha yeye kuukwaa ubunge katika jimbo la mbeya mjini kwa tiketi ya CHADEMA na kuingia bungeni kwa mara ya kwanza. na alipoingia tu bungeni cha kwanza kabisa ni kumnyanganya mwanamuziki mwenzake wa bongo fleva JAFFARAY mwanamke wake aliyekuwa akilelewa naye mheshimiwa SHYROSE BANJI.
Hayo ndio kwa kifupi sana maisha ya JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU mbunge wa mbeya mjini. kwa maendeleo ya mbeya mjini. ANAYEYAJUA MENGINE ZAIDI ATUHABARISHE