kufaulu shule si kufaulu maisha. Mbinu za kufaulu maisha zipo nyingi. Unafahamu Bill Gates alifeli form six. Unafahamu huyu mwenye SH HAMON, Land Mark Hotel, Pattaya Hotel nk hakumaliza secondary?.Unafahamu Shigongo alikua muuza magazeti stand kule Mwanza?. Unafahamu Salim Kikeke wa BBC alikua Mwanaapolo kwenye machimbo ya Tanzanite kule Mirerani Arusha?. Wangejidharau leo hii wangefika walipo? Usibweteke kuchunguza maisha za watu,tafuta salary mkuu!
tatizo uwezo wa kuongoza watu sugu hana. jimbo la mbeya mjini limedorora sana