CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

wewe binafsi ungekua na weledi wa kutosha ungejenga hoja yako kuonyesha jinsi gani elimu ndogo imesababisha huyu mbunge ameshindwa kuwawakilisha wapiga kura wake! na issue nyingine nimegundua,wewe ni kihiyo ambaye huelewi kazi za mbunge!

Njoo mbeya uwasikilize wanavyo mkubali
 
Hua ni kafupii ndio hivyo kapata ubunge kwa ajalii
 
baada ya ku fail form 4 na ugumu wa maisha aliyokuwa akiishi kwa kumtegemea mama tu (single parent) ikabidi asafiri hadi dar kutafuta maisha .akafanikiwa kuajiriwa na kampuni moja ya ulinzi (security guard) akapangiwa kulinda kwenye kampuni ya mafuta ya gapco kama mlinzi wa usiku.

Kutokana na ugumu wa kazi ya ulinzi na udogo wa mshahara (kwani alikuwa pia anapenda sana starehe, wanawake na sifa kama jina lake MR 2) ikabidi ajishughulishe na hii miziki ya kufoka foka yaani bongo fleva .baada ya kujipatia umaarufu kutokana na nyimbo zake za kusifia BANGI akaacha kazi na kufanya ziara karibu nchi nzima akifanya matamasha ya kuimba .

Mwishowe akapata mfadhili anaitwa ndugu MPONJOLI (huyu ni maarafu sana kule Marekani kwa kuiba kadi za bank au credit alishafungwa huko marekani na alipoachiwa amepigwa marufuku kuonekana nchini marekani kwa sasa yupo uingereza) kumpeleka nje na inasemekana akapeleka mzigo (unga )nchini Marekani. na ndipo maisha yake yakawa afadhali. Lakini kutokana na kukamatwa na kufungwa huyo mfadhili wake MPONJOLI ikambidi yeye arudi tena nchini .

Ikamdondokea zali kutokana na chama cha mapinduzi kumsimamisha mgombea asiyependwa katika jimbo la Mbeya ndio ikamuwezesha yeye kuukwaa ubunge katika jimbo la mbeya mjini kwa tiketi ya CHADEMA na kuingia bungeni kwa mara ya kwanza. na alipoingia tu bungeni cha kwanza kabisa ni kumnyanganya mwanamuziki mwenzake wa bongo fleva JAFFARAY mwanamke wake aliyekuwa akilelewa naye mheshimiwa SHYROSE BANJI.

Hayo ndio kwa kifupi sana maisha ya JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU mbunge wa mbeya mjini. kwa maendeleo ya mbeya mjini. ANAYEYAJUA MENGINE ZAIDI ATUHABARISHE

what do we have to do with ones personal life? argh
 
wewe na phd yako una nini.hawa maprofesa wa kina maghembe mbona hewa.uongozi ni hekima
 
Hivi profesa maji marefu c ameishia darasa la 3,,, na kujipatia umaarufu kwenye uchawi n ulogaj, vpi yeye hama habari ya kujaza CV right? Ok, tuyaache hayo,,, huo umbea uliouongea hapo juu usio na mashiko umetusaidiaje? Eleza kinaga ubaga ni kivip ameshindwa kutekeleza majukumu yake kama mbunge,,, hayo najua huna kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri.,,,
 
Hakika we ni mwehu. Hivi unajua maana ya neno CV? CV gani inaanzia baada ya kumaliza kidato cha Nne? CV gani imejaa maelezo binafsi. Any way, u seem to be good at gossips!
 
updates please - tarehe 28 dec 2013 chuo kikuu cha TEKU -MBEYA kimemtunuku Phd ya heshima nyie vipi!!!
 
Ukiwa unacheka kovu la mwenzako ukumbuke na donda ulilonalo. Sugu ana akili na anajua anachofanya licha ya elimu yake ya kidato cha nne. Huwezi kumfananisha na mbumbumbu anayejiita Profesa Majimarefu, mbunge wa Korogwe Vijijini ambaye ni tapeli na hajafika hata darasa la saba. Huwezi kumfanisha na Abdul Mteketa wa Kilombero ambaye naye ni tapeli. Vidonda CCM viko vingi nitawapa madudu yao yote.
 
Self employed Celebrity hapo ndo mbavu zangu zilipolegea.Kweli Sugu moto chini.Ila yote ya yote namkubali kama kijana mwenzangu ila akipata nafasi akasome asimwige Lema za darasani hamna

Alafu wabunge wa namna hii ndio wa kwanza kuwasema kina Asha Rose Migiro kwamba hawana uwezo ,wameshindwa kazi UN... na mengine mengi.

Je mbunge wa namna hii anauwezo wa kuchambua mikataba ya kimataifa? Je huyu na aliyekuwa naibu waziri wa elimu nani ana afadhali?
 
baada ya ku fail form 4 na ugumu wa maisha aliyokuwa akiishi kwa kumtegemea mama tu (single parent) ikabidi asafiri hadi dar kutafuta maisha .akafanikiwa kuajiriwa na kampuni moja ya ulinzi (security guard) akapangiwa kulinda kwenye kampuni ya mafuta ya gapco kama mlinzi wa usiku. Kutokana na ugumu wa kazi ya ulinzi na udogo wa mshahara (kwani alikuwa pia anapenda sana starehe, wanawake na sifa kama jina lake MR 2) ikabidi ajishughulishe na hii miziki ya kufoka foka yaani bongo fleva .baada ya kujipatia umaarufu kutokana na nyimbo zake za kusifia BANGI akaacha kazi na kufanya ziara karibu nchi nzima akifanya matamasha ya kuimba . Mwishowe akapata mfadhili anaitwa ndugu MPONJOLI (huyu ni maarafu sana kule Marekani kwa kuiba kadi za bank au credit alishafungwa huko marekani na alipoachiwa amepigwa marufuku kuonekana nchini marekani kwa sasa yupo uingereza) kumpeleka nje na inasemekana akapeleka mzigo (unga )nchini Marekani. na ndipo maisha yake yakawa afadhali. Lakini kutokana na kukamatwa na kufungwa huyo mfadhili wake MPONJOLI ikambidi yeye arudi tena nchini . Ikamdondokea zali kutokana na chama cha mapinduzi kumsimamisha mgombea asiyependwa katika jimbo la Mbeya ndio ikamuwezesha yeye kuukwaa ubunge katika jimbo la mbeya mjini kwa tiketi ya CHADEMA na kuingia bungeni kwa mara ya kwanza. na alipoingia tu bungeni cha kwanza kabisa ni kumnyanganya mwanamuziki mwenzake wa bongo fleva JAFFARAY mwanamke wake aliyekuwa akilelewa naye mheshimiwa SHYROSE BANJI. Hayo ndio kwa kifupi sana maisha ya JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU mbunge wa mbeya mjini. kwa maendeleo ya mbeya mjini. ANAYEYAJUA MENGINE ZAIDI ATUHABARISHE[/QU hahahahahahahahahhaahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! teh teh teh teh teh teeeeeeeeeeeh!!!!!!
 
Ulieandika naomba cv yako uandike kama hii alafu uianike hapa ndipo tuendelee mana lazima ww utakuwa nimwanamke wakiswahili tu lazima na kama hujapitiwa nasugu ukaachika sijui

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom