CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

Philipo Mulungu(la) wazili mwenye form 6.

hiyo unaipata Tanzania tu.
 
Wasomi my a... Profesa Magembe, Profesa Kapuya, .... na wengine wengi wamefanya nini? Ujinga mtupu.

Ninavyojua ni kuwa wenye degree hawazidi kumi kati ya wabunge wote wa CHADEMA; Lissu, Mdee, Zitto, Silinde, Wenje, Joseph Selasini, Salvatory Machemuli, Lema.

Point ni kwamba CHADEMA hawatakiwi kuiga CCM, inabidi itafute vijana wasomi na wenye uchungu na nchi yao.

Kinyume na hivyo, itakuwa taabu kidogo maana elimu ina umuhimu wake hasa katika haya mabaraza ya kutunga sheria. Maana ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa. Pale bungeni si kila wakati watu watakaa na kujadili siasa!
 
Wewe umemuona huyo tu? Karibu timu yote ya CHADEMA bungeni viwango vyao ndio hivyo hivyo. Huyo mbona afadhali sana.

Kwa CHADEMA elimu sio muhimu. Ukishakuwa na uwezo wa kusema tu basi inatosha.
Etiiiiii.......!
 
Chadema ndio tatizo lenu yaani kama popo vile, leo mlitaka kuandamana kisa ufaulu umeshuka, lakini wakichambuliwa viongozi wenu mnasema elimu sio muhimu dah!
 
Wewe umemuona huyo tu? Karibu timu yote ya CHADEMA bungeni viwango vyao ndio hivyo hivyo. Huyo mbona afadhali sana.

Kwa CHADEMA elimu sio muhimu. Ukishakuwa na uwezo wa kusema tu basi inatosha.

Vipi huyu naye ni CHADEMA?

[h=2]Member of Parliament CV[/h] [TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1666.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name: [/TD]
[TD]Lameck[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name: [/TD]
[TD]Airo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Okambo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent: [/TD]
[TD]Rorya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party: [/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location: [/TD]
[TD]Box 594, Mwanza[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone: [/TD]
[TD]+255 784 444305/+255 684 005000/+255 777 444305[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.: [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax: [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail: [/TD]
[TD]lokambo@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status: [/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth [/TD]
[TD]28 October 1966 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Nyanduga Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name [/TH]
[TH="align: center"]Position [/TH]
[TH="align: center"]From [/TH]
[TH="align: center"]To [/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Rorya Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE [/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]UVCCM - Commander (Councillor)[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Yan wewe ndugu huelewi hata unachokizungumza manake bungeni sio sehemu ya kupeleka macelebrity kwa sababu kule ni sehem ambapo mikataba mbalimbali inajadiliwa..acha ushabiki wa uvyama

maceleb hawa hawa wa form four ndio wanalipua madudu ya maprofesa wenu mliowaamini!kwi kwii!
 
Nadhani kwa wanasiasa tunataka utendaji zaidi.Kuna maprofesa kibao wa ......kazi ni kugonga meza na kusinzia Bungeni.Wanatusaidiaje hao na Elimu zao?
 
Mnaoweka mabandiko humu mjue kuwa watu wana akili ya kujua ni kwa nia gani yanawekwa. Haihitaji akili nyingi kutambua kuwa badniko hili dhidi ya Sugu limekuja baada ya gazeti la mwananchi kumuanika waziri Mulongo kuwa vyeti vya elimu yake vina walakini. Mnataka mhamishe mjadala huo umbao unajulikana sasa kitaifa, na kuanza kujadili humu jamvini elimu za watu wengine ambao hata uwezo wa wa kikazi haujapata dosari lolote mpaka sasa. Hebu tuendelee kujadili kuhusu ukweli wa elimu ya waziri Mulugo, tukizingatia kuwa huyu ni waziri katika wizara nyeti, ambayo hivi karibuni imehusishwa na kutofaulu kwa wanafunzi wengi nchini.

Mkuu Dingswayo nakupa hecko sana, hawa jamaa wameweka uzi huu ili kumlinganisha na Mulugo.
Hapa ishu ni kwamba, haya ya SUGU tulikuwa tunayajua, tunataka Mulugo achunguzwe zaidi kuhusu utata wa elimu yake, wasitupoteze hapa.
 
Last edited by a moderator:
BA (Inter. Studies &Diplomacy) ya miezi miwili 2001 Januari hadi February huko USA, ni ajabu sana. Siku anahojiwa na Star TV kuhusu elimu ya Tanzania alisema Tz imeendelea sana kwani kitendo cha mtoto kwenda shule hata kama hakutani na mwalimu ni mafanikio. Aidha kitendo cha mtoto kuvaa sare yenye nembo ya shule ni maendeleo makubwa sana hata kama atapata daraja la zero. Sasa nimeelewa kumbe hata yeye mwenyewe alisoma BA kwa miezi miwili! Hawa ndio viongozi wa CCM. Rejea kitabu cha K. Msemakweli cha ORODHA MAFISADI WA ELIMU (THE LIST OF SHODDY DEGREE AND DIPLOMA HOLDERS-first edition 2009) Lukuvi amedanganya kuwa ni msomi wa BA wakati elimu yake ni darasa la saba na ualimu wa UPE. hajawahi kuingia darasa lolote la la digree ya maswala ya kimataifa na diplomasia, wala kufanya mtihani wowote wa digrii wala kusoma digrii hiyo, wakati wowote, katika maisha yake yote na mahali popote duniani. Lukuvi hajawahi kukanusha tuhuma hizo.
 
Vipi huyu naye ni CHADEMA?

[h=2]Member of Parliament CV[/h] [TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1666.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name: [/TD]
[TD]Lameck[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name: [/TD]
[TD]Airo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Okambo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent: [/TD]
[TD]Rorya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party: [/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location: [/TD]
[TD]Box 594, Mwanza[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone: [/TD]
[TD]+255 784 444305/+255 684 005000/+255 777 444305[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.: [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax: [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail: [/TD]
[TD]lokambo@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status: [/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth [/TD]
[TD]28 October 1966 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Nyanduga Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name [/TH]
[TH="align: center"]Position [/TH]
[TH="align: center"]From [/TH]
[TH="align: center"]To [/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Rorya Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE [/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]UVCCM - Commander (Councillor)[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

hahahaha, mkuu hii imetisha zaidi. Tatizo dhumuni la mleta mada alikuwa na lengo la kuficha lile la Mulugo, kwani hili la SUGU ni siri? Hajafikiria kuhusu wabunge wengne ambao hata form 1 hawakukanyaga. Hata hivyo asante kwa hii CV ya huyu mbunge, itamfungua akili mleta mada.
 
Chadema swala la msingi tu ni kuweza kuvaa Gwanda tu!
 
sawa! sasa nitafutie msomi yeyote mbunge wa CCM halafu tulinganishe utendaji wa kazi zao ili tuone kati ya cv kubwa na cv ndogo ipi ina manufaa kwa wanaMbeya.
 
..watanzania bana!! hii post inakuja hapa kijingajinga tu....Hivi humu tunalaumu/kujadili CV za watu au tunalaumu watu wanaoiba vyeti ili kufanikisha mambo yao????.....Unamlaumuje mtu aliyesema ukweli wake kwenye academic achievements zake???...Mtu wakumlaumu hapa ni yule aliyedanganya kwenye elimu yake ili kufikia level fulani y kielelimu..na si yule aliyesema ukweli.....Mimi hapa ukinipa nichague (kwa mfano) nani bora kati ya Mh.Sugu na Mulugo/Mulungu/Imamu....nitamchagua Sugu.....kwa kuwa ameweka wazi alipofikia kielimu (kwa ukweli wake)....hata kama hajasoma university...yeye ni bora kuliko mtu aliyesoma university kwa wizi......Yule Maji Marefu...au...Lusinde....hawajasoma (chuo kikuu)...lakini wana moral credibility kwa jamii kuliko MUlugo/Mulungu/Imamu???....mwenye majina matatu tofauti...aliyoyapata kijanja kijanja mpaka akawa waziri...huyu hana moral credibility kwa jamii....maana ni mwizi....na ndio sababu hafai kutuongoza.....Issue hapa si CV ya mtu....bali njia mtu aliyopitia kuipata CV yake.....Btw...wabongo mnasahau kuwa hata kina Bill Gates..walikuwa ma college drop outs....hata yule Steve Job wa Apple(i think)....lakini mambo yao dunia nzima inayajua.....
 
Vipi huyu naye ni CHADEMA?

Member of Parliament CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1666.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name: [/TD]
[TD]Lameck[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Airo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Okambo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Rorya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 594, Mwanza[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone: [/TD]
[TD]+255 784 444305/+255 684 005000/+255 777 444305[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.: [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax: [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail: [/TD]
[TD]lokambo@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status: [/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth [/TD]
[TD]28 October 1966[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Nyanduga Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name [/TH]
[TH="align: center"]Position [/TH]
[TH="align: center"]From [/TH]
[TH="align: center"]To [/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Rorya Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE [/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]UVCCM - Commander (Councillor)[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
naomba niisave hii cv for future use! ikiwezekana hata photocopy nitaipiga!
 
ILi hoja ikae vema tungepata maelezo kuhusu jinsi mtajwa alivyoshindwa kutekeleza wajibu wake katika nafasi yake ya ubunge kutokana na kiwango chake cha elimu. ikiwa hilo halipo hoja hii isingestahili kuletwamo humu. ukisoma historia utakta viongozi wengi wlaiongoza kwa ufaniis mkubwa lakini hawakuwa wasomi. sifa kubwa ya kiongozi ni kujua matakwa ya watu wake na kuwaongoza kufikia huko. Elimu itatumika kama nyenzo tu kumwezesha kufanikiwa zaidi
 
leo wakati napitia profile za wabunge wetu. nimeshitushwa na hii ya mheshimiwa huyu. hivi kweli huyu anawezaje kuichambua vizuri hata sera ya afya nchini kwa ufasaha ukiachiliambali uwezo wa kujieleza mbele ya wawekezaji wakigeni au hata wabunge wa bunge la ulaya ? kuna haja ya katiba kuondoa madudu kama haya. lazima tuweke watu wenye weredi bungeniwanaoweza kuchambua kwa taaluma hesabu na matumizi ya nchi kwa kuzingatia weredi na maslahi ya taifa na vipaumbele vya maendeleo.

kama tutaacha uchumiwa nchi utumikie siasa hatutafika popote japo tutabaki kuwa kisiwa maskini cha amani !

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1644.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Osmund[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Joseph[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mbilinyi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mbeya Mjini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 815, Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 716 627344[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmbilinyi@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 May 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabasaba Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sisimba Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sokoine Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ligula Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Mbeya Urban Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BP Tanzania Limited[/TD]
[TD]Security Officer[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Self Employed[/TD]
[TD]Celebrity[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]Member[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

FROM MUSIKI NA MAISHA BOOK "baada ya mipango ya uhamisho kukamilika niliondoka mbeya na kwenda kusoma Mtwara ambako nilijiunga na shule ya sekondari ya sabasaba, ni mimi mwenyewe ndio nilichagua kwenda Kusoma Mtwara ili niwe mbali kabisa na balaa la "mbeya day " ....itaendelea!!!
 
Back
Top Bottom