wewe mtoa uzi, hebu na wewe weka CV yako tuifananishe na ya SUGU.\
Inawezekana umefika chou kikuu, lkn GPA 2.0!
naomba nionshe umuhimu wa elimu hata kwa mbunge mbunge si sawa na spika ya matangazo yaanikazi yake iwe kama mc anachokisikiabila kukipima anakwenda kukisema kisha alipwe mshahara mnono kisha wasomi wamuite yeye ni mheshimiwa ? haya kwatikamchango wa mbunge huyu wakati wa kujadili Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano, 2011/2012 2015/2016 alisema hivi "Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante. Ni vizuri tukawa serious katika kujadili masuala ya maendeleo. Waziri anayehusika jana alisema mfumuko wa bei ulidhibitiwa kuanzia mwaka 2001 kwa asilimia sita mpaka sasa lakini wote tunajua kwamba kilo ya sukari mwaka 2005 ilikuwa shilingi 400/- sasa hivi ni shilingi 2,000/-, kilo ya nyama ilikuwa shilingi 800/- na sasa hivi ni zaidi ya shilingi 4,000/-. Sasa huo mfumuko wa bei uliodhibitiwa kwa asilimia sita sijui ni mfumuko wa bei wa wapi labda Uganda."
hapa utajua kuwa huyu anahitajielimu elimu ya kutaambua vigezo gani vinatumika kutafiki mfumuko w bei kiuchumi. sasa hapa katika kuchangia anauliza swali ili kwanza afundishwe kisha ndipo hoja ijadiliwe. huu ni upotezaji wa muda na mali ya walipa kodi wa nchi hii.
am not fan of fancy resumes when it come to politics.
Many Tanzanians are suffering from Diploma Disease. Unafahamu ni kwa nini watu wa Korogwe walimchagua Maji Marefu? Walisema kwa kipindi kirefu waliwachagua wasomi lakini hawakuona faida yao.Ni vigumu kuwabadilisha watanzania/waafrika kuhusu Imani yao kwenye vyeti vya Elimu. Na ni imani hizi kali ambazo zimewapa nafasi wengi wetu kutumia vyeti vyetu kudai haki ya kupata ajira (hata kama hatuna uwezo wa kutoa tija/ kusaidia kwenye ajira tuayopata - zaidi ya kuongeza vitambi).
Ni kweli ni vizuri kukawa na vigezo vya kuchambua na kutambua mtu anaeweza kutoa suluhu ya tatizo lolote. Mojawapo ya njia ya kujua/kutambua uwezo wa mtu au uelewa au ujuzi alionao ni kutizama kama mtu hutu amefundishwa na ana elimu katika jambo tajwa.
Lakini mara nyingi tumeshuhudia watu wengi wenye vyeti vya elimu na wakawa ni watupu kabisa vichwani.
Niliwahi kufanya kazi nchi moja Ulaya. na maneja wangu alikuwa ni msichana mdogo tu wa umri kama miaka 22. Nilipomwuliza elimu yake aliniambia kuwa alimaliza tu sekondari na akawa anasoma akiwa kazini.
Alikuwa ni regional manager wa PR & Marketing Company - kampony yenye annual turnover ya £210 million as of last year. Hakuwahi kufika university. Lakini anasimamia watu zaidi ya 25 ambao wengi wao wana masters (hasa waafrca na wahindi).
Ni sehemu nyingi sana zenye watu kama hawa ambao ni wazuri sana kichwani, wanafanya kazi kubwa, wanatoa mchango mkubwa katika hilo wanalolifanya, lakini hawana elimu ya chuo kikuu.
Ninachosema ni hiki: Tujitahidi kubadili mitizamo yetu, ya kwamba watu wanaopewa dhamana ya Uongozi/ Utawala wawe ni wale WANAOTOA MAJIBU (ABLE TO GIVE SOLUTION) na sio hawa wanaopeperusha vyeti wakidai haki ya kututawala.
Suala la sugu siwezi kuliongelea sana maana simjui sana hasa uwezo wake wa kutoa majibu (solutions) Ila ningependa watu wengi wahukumiwe kwa kigezo cha SOLUTION.
Wewe umemuona huyo tu? Karibu timu yote ya CHADEMA bungeni viwango vyao ndio hivyo hivyo. Huyo mbona afadhali sana.
Kwa CHADEMA elimu sio muhimu. Ukishakuwa na uwezo wa kusema tu basi inatosha.
naomba niisave hii cv for future use! ikiwezekana hata photocopy nitaipiga!
Watanzania walishashtukaga kitambo we na mleta uzi ndo mmelala au mwaona kwa glass za plastic zaidi mwatumikia dhulma,nafasi kujaza tumbo na bichwa lisoshukran.,WATANZANIA WALISHATAMBUA SIKU NYINGI WASOMI NDIO WANAOZAMISHA NCHI MCHANA KWEUPE,WAMEKWAPUA HADI WAMEWASHIKA VIPOFU,MAFALA,VIBAKA WAMESHTUKA(c tunaskiaga tangu nccr,cuf na sasa chadema wakifanya kitu hata kilicho bora kinapingwa kwa nguvu zote,wanaitwa majina kibao ya kufedhehesha kama vibaka,wahuni'wachache'.wachachee?wachache watu wanapambania mabadiliko tangu 1961???)HIVYO BASI UELEWE TABAKA LA WASOMI LILISHANYOOSHA MIKONO NA KUKUBALI YAISHE HATIMAYE KUSIMAMA NYUMA YA MWANASIASA NA KUIMBA KIKASUKU HUKU WATU WENYE UTU NA WAPENDA HAKI WAKIJIPAMBANUA KWA MANENO NA MATENDO YAO KAMA "SUGU"WAKIWA NJE YA ULINGO WA SIASA.,WATANZANIA WALIKUWA HAWAJUI HAKI ZAO LAKINI KWELI WALIIJUA NA KUIPENDA KUIISHI,DHULMA KWAO NI HABARI KUBWA YA KUSABABISHA UTENGWE NA JAMII(ilikuwa na itaendelea kuwa pamoja na kuwa kwa sasa jamii imeyumba kimaadil).Kwa kifupi kaa mbali SUGU ni jembe lililopambana kitambo tena ile wanaita MAN ALONG.NI MTU ANAYEI-FEEL SHIDA YA MWINGINE TOFAUTI NA VIONGOZI,WATUMISHI WENGI WASOMI WASO NA HAYA NA WALIOKOSA KUJITAMBUA NA KUUJUA UMUHIMU WA ELIMU YAO KTK JAMII YA TAIFA CHANGA NA" MASKINI WA KIPATO TAJIRI WA MALI".Ninawapa kubwa wana MBEYA kwa kuliona jembe sahihi kwa wakati muafaka.Hapa naona kuhama hama shule kumemsaidia kuongeza ukubwa wa CV yake lakini ukweli ni form four tu hata sijui alipata Daraja gani huyu jamaa.
walioomba cv ya lukuvi hii hapa.nikwelikasoro ni nyingi hakuna elimu ya msingi na sekondari hamna......
MEMBER OF PARLIAMENT CV
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
[/TD]![]()
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]William[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Vangimembe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Lukuvi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Ismani[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O.Box 980, Dodoma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 262 321 151[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD]+255 22 2320046[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]wlukuvi@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]15 August 1955[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Open University of Tanzania[/TD]
[TD="align: center"]Masters in Political Science[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Washington International University - USA[/TD]
[TD="align: center"]BA (Inter. Studies &Diplomacy)[/TD]
[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Johanesburg - South Africa[/TD]
[TD="align: center"]International Observers Course[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Moscow - USSR[/TD]
[TD="align: center"]Leadership Course[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Moscow - USSR[/TD]
[TD="align: center"]Diploma in Political Science[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD="align: center"]Political Course[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora Teacher's Training College[/TD]
[TD="align: center"]Teaching Course[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD="align: center"]Training in Defence and Security[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Computer Training College-Dar es Salaam[/TD]
[TD="align: center"]Training in Computer Course[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]United Republic of Tanzania[/TD]
[TD]Minister Of State(Policy,Coordination and Parliamentary Affairs)[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]To date[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma Regional Commissioner[/TD]
[TD]Regional Commissioner (RC)[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Prime Minister's Office[/TD]
[TD]Minister Of State(Policy,Coordination and Parliamentary Affairs)[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Labour and Youth Development[/TD]
[TD]Deputy Minister[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bukoba District Commissioner[/TD]
[TD]District Commissioner[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM[/TD]
[TD]Member of the Central Committee[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2012[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM[/TD]
[TD]Member of the National Executive Committee[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]To date[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM[/TD]
[TD]Member of the Region/Executive committee[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]To date[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM - Head Office (Youth Organisation)[/TD]
[TD]Deputy Secretary General[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Regional Secretary - Youth Organisation[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Head of Department - Youth Organisation[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Regional Secretary - Youth League[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwani wewe unajua kuwa mfuko wa bei ni nini na unadhibitiwaje? Mbunge huyu ana pointi!naomba nionshe umuhimu wa elimu hata kwa mbunge mbunge si sawa na spika ya matangazo yaanikazi yake iwe kama mc anachokisikiabila kukipima anakwenda kukisema kisha alipwe mshahara mnono kisha wasomi wamuite yeye ni mheshimiwa ? haya kwatikamchango wa mbunge huyu wakati wa kujadili Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano, 2011/2012 2015/2016 alisema hivi "Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante. Ni vizuri tukawa serious katika kujadili masuala ya maendeleo. Waziri anayehusika jana alisema mfumuko wa bei ulidhibitiwa kuanzia mwaka 2001 kwa asilimia sita mpaka sasa lakini wote tunajua kwamba kilo ya sukari mwaka 2005 ilikuwa shilingi 400/- sasa hivi ni shilingi 2,000/-, kilo ya nyama ilikuwa shilingi 800/- na sasa hivi ni zaidi ya shilingi 4,000/-. Sasa huo mfumuko wa bei uliodhibitiwa kwa asilimia sita sijui ni mfumuko wa bei wa wapi labda Uganda."
hapa utajua kuwa huyu anahitajielimu elimu ya kutaambua vigezo gani vinatumika kutafiki mfumuko w bei kiuchumi. sasa hapa katika kuchangia anauliza swali ili kwanza afundishwe kisha ndipo hoja ijadiliwe. huu ni upotezaji wa muda na mali ya walipa kodi wa nchi hii.
walioomba cv ya lukuvi hii hapa.nikwelikasoro ni nyingi hakuna elimu ya msingi na sekondari hamna......
MEMBER OF PARLIAMENT CV
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
[/TD]![]()
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]William[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Vangimembe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Lukuvi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Ismani[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O.Box 980, Dodoma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 262 321 151[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD]+255 22 2320046[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]wlukuvi@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]15 August 1955[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Open University of Tanzania[/TD]
[TD="align: center"]Masters in Political Science[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Washington International University - USA[/TD]
[TD="align: center"]BA (Inter. Studies &Diplomacy)[/TD]
[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Johanesburg - South Africa[/TD]
[TD="align: center"]International Observers Course[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Moscow - USSR[/TD]
[TD="align: center"]Leadership Course[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Moscow - USSR
[/TD]
[TD="align: center"]Diploma in Political Science[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD="align: center"]Political Course[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora Teacher's Training College[/TD]
[TD="align: center"]Teaching Course
[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD="align: center"]Training in Defence and Security[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Computer Training College-Dar es Salaam[/TD]
[TD="align: center"]Training in Computer Course[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]United Republic of Tanzania[/TD]
[TD]Minister Of State(Policy,Coordination and Parliamentary Affairs)[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]To date[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma Regional Commissioner[/TD]
[TD]Regional Commissioner (RC)[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Prime Minister's Office[/TD]
[TD]Minister Of State(Policy,Coordination and Parliamentary Affairs)[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Labour and Youth Development[/TD]
[TD]Deputy Minister[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bukoba District Commissioner[/TD]
[TD]District Commissioner[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM[/TD]
[TD]Member of the Central Committee[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2012[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM[/TD]
[TD]Member of the National Executive Committee[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]To date[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM[/TD]
[TD]Member of the Region/Executive committee[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]To date[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM - Head Office (Youth Organisation)[/TD]
[TD]Deputy Secretary General[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Regional Secretary - Youth Organisation[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Head of Department - Youth Organisation[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Regional Secretary - Youth League[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
leo wakati napitia profile za wabunge wetu. nimeshitushwa na hii ya mheshimiwa huyu. hivi kweli huyu anawezaje kuichambua vizuri hata sera ya afya nchini kwa ufasaha ukiachiliambali uwezo wa kujieleza mbele ya wawekezaji wakigeni au hata wabunge wa bunge la ulaya ? kuna haja ya katiba kuondoa madudu kama haya. lazima tuweke watu wenye weredi bungeniwanaoweza kuchambua kwa taaluma hesabu na matumizi ya nchi kwa kuzingatia weredi na maslahi ya taifa na vipaumbele vya maendeleo.
kama tutaacha uchumiwa nchi utumikie siasa hatutafika popote japo tutabaki kuwa kisiwa maskini cha amani !
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Salutation
[/TD]
[TD]Honourable
[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
![]()
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:
[/TD]
[TD]Osmund
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:
[/TD]
[TD]Joseph
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:
[/TD]
[TD]Mbilinyi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:
[/TD]
[TD]Mbeya Mjini
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:
[/TD]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:
[/TD]
[TD]Box 815, Mbeya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:
[/TD]
[TD]+255 716 627344
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:
[/TD]
[TD]jmbilinyi@parliament.go.tz
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:
[/TD]
[TD]Current Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth
[/TD]
[TD]1 May 1972
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location
[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award
[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date
[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date
[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabasaba Secondary School
[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education
[/TD]
[TD="align: center"]1990
[/TD]
[TD="align: center"]1991
[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School
[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education
[/TD]
[TD="align: center"]1988
[/TD]
[TD="align: center"]1990
[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sisimba Primary School
[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1986
[/TD]
[TD="align: center"]1987
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sokoine Primary School
[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1984
[/TD]
[TD="align: center"]1986
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ligula Primary School
[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1981
[/TD]
[TD="align: center"]1984
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name
[/TH]
[TH="align: center"]Position
[/TH]
[TH="align: center"]From
[/TH]
[TH="align: center"]To
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania
[/TD]
[TD]Member - Mbeya Urban Constituency
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
[TD="align: center"]2015
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BP Tanzania Limited
[/TD]
[TD]Security Officer
[/TD]
[TD="align: center"]1998
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Self Employed
[/TD]
[TD]Celebrity
[/TD]
[TD="align: center"]1994
[/TD]
[TD="align: center"]1998
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]Member
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mimi naomba CV ya Prof. Maji Marefu!!!!!
CCM wengi wana vyeti feki hadi wametungiwa kitabu 'Mafisadi wa elimu'. Wana cdm ni genuine ndio maana mtu kama mnyika anaonekana ameelimika kuliko wabunge wa ccm wenye Phd.Wewe umemuona huyo tu? Karibu timu yote ya CHADEMA bungeni viwango vyao ndio hivyo hivyo. Huyo mbona afadhali sana.
Kwa CHADEMA elimu sio muhimu. Ukishakuwa na uwezo wa kusema tu basi inatosha.