CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

Napata picha sasa kwanini Bunge letu linamuonekano wa namna ambavyo linaonekana!
Nadhani ziletwe CV za wabunge wote. Na kwenye katiba iwepo mtu akitaka kugombea ubunge awe na elimu kiasi fulani.
 
93 Niko Boarder naitafuta South africa leo hii najichanganya tu america ndivyo maisha yanachange leo ndani ya terrano kesho vx au range,nafika mpaka barmaco sio tu san fransisco huko kote nafika ktk kutafuta mshiko wanga huko na kule nawapa dole la kati ni nani?? Suguuuuu na nani? Ni weweeeeee tuuuu talanlanlalalaaaaaaa ni moto chini.
 
Tatizo la siasa ztu ndugu zangu uwe na uwezo wa kuongea weeeeeeeee, wapambe wengi, ama uwe maarufu kidogo basi inatosha kuwa mwanasiasa, mimi naamini Siasa ni taaluma na viongozi wa nchi wanaandaliwa kwa miaka mingi sana lakini huu mwendo wetu huu sijui tunaelekea wapi!
 
Self employed Celebrity hapo ndo mbavu zangu zilipolegea.Kweli Sugu moto chini.Ila yote ya yote namkubali kama kijana mwenzangu ila akipata nafasi akasome asimwige Lema za darasani hamna
 
Self employed Celebrity hapo ndo mbavu zangu zilipolegea.Kweli Sugu moto chini.Ila yote ya yote namkubali kama kijana mwenzangu ila akipata nafasi akasome asimwige Lema za darasani hamna
Na wewe pia nenda shule ukasome. Achana na madrassa.
 
sugu namkubali sana,hakuna mtu anaogopa,anasema kile anachoamin sahihi kutetea wananchi zidi ya wenye nchi
 
Hata hivyo bado sijaona kama elimu imesaidia au imetoa mchango mkubwa kwa wanasiasa wetu hapa nchini,ukichukua mfano halisi ulioko kwa viongozi na watumishi wa serikali je hapo utaona kuna elimu?Angalia hata kipindi cha bunge michango ya wabunge wetu,mara nyingi huwezi kutofautisha kati ya professor,mwenye digrii moja aua mbili na mtu kama ndugu yangu Maji marefu.hata hivyo uongozi nao ni kupaji,hebu tufauatilie elimu za baadhi ya watu,kwa leo natoa hawa wafuatao.
SamoraMoisesMachel,Jacob Zuma na Iddi Amini Dada Oumee.
 
Kwanini watu wakishaingia bungeni wanaanza kupata miili ya siasa?

Unakuwa na mashavu mashavu na tumbo fulani hivi.:becky:
 
siasa ni kipaji na siyo elimu, kwani hao maprofesa na madocta si ndiyo hao wezi wakubwa, tena kama mtu hajasoma sana inasaidia kuwa mchapa kazi mzuri kama wazee wetu KAWAWA na KARUME.
 
Nakwenda zangu Ilala kusakasaka mademu, nipo Sinza nasaka saka mademu, nipo Masaki nasaka saka mademu maisha hayawezi kuwa matamu bila mademu-SUGU

Mara kumi Joti angekuwa mbunge.
 
siasa ni kipaji na siyo elimu, kwani hao maprofesa na madocta si ndiyo hao wezi wakubwa, tena kama mtu hajasoma sana inasaidia kuwa mchapa kazi mzuri kama wazee wetu KAWAWA na KARUME.
Unajifanya kipofu au. Mfano: Mtu kajiunga 2010 CDM na kugombea mwaka huo huo je nifungulia dog au. Siasa ni taaluma.
 
Back
Top Bottom