Mashimba Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,131
- 1,406
1.Ukiona * moja jua huyo ni BrigediaMi naonaga CRUISER ina ** mara naona *** sijawahi kuelewa
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Umeambiwa mkuu wa majeshi ni nyota 4.Na nyota tatu ni general
Tanzania general ni mmoja tu ambaye ni Mkuu wa Majeshi.
Masanza Kona.Masanza ipi mkuu! Maeneo ya sogesca?
Mie nikijua Mabeyo kwao Kahangala.Masanza Kona.
P
Kuna wakati mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa(kama sikosei pale Kunduchi) aliwahi kua Lt General(* General), sijajia kama iko hivyo hadi sasa au ilibadilishwa.1.Ukiona * moja jua huyo ni Brigedia
2.Ukiona ** mbili jua huyo ni meja jenerali
3.Ukiona *** tatu jua huyo ni Luteni jenerali (Mara nyingi huyu huwa na msafara wa king'ora gari huwa mbili au tatu na mara nyingi anakuwa Mnadhimu wa jeshi
4.Ukiona ** nne jua huyo ni Jenerali (Mkuu wa majeshi, ma utaona msafara wa gari tatu au nne
Mabeyo alikuwa CoS or CMI?..hiyo imetokea kwa Mwamunyange na Mabeyo.
..kabla ya hapo hakuna CoS aliyepandishwa kuwa Cdf.
Hata Lieutenant Generals kwa mara ya kwanza tunekuwa nao zaidi ya mmoja baada ya chuo cha ulinzi Kunduchi kuanza. Maana kiheshima vyuo vikuu vya jeshi huongozwa na 3 star generals.
Why we dont have more, issue ni ataongoza team ipi? Jeshi linapangwa kwenye group/units na kila moja ina kiongozi wake. Mfano major anaongoza wanajeshi kati ya 80 mpaka 250, Brigedia kati ya 3000 mpaka 5000. Full General ni 100K kwenda juu. It can vary na wakati mwingine mtu wa cheo fulani anapewa specialised unit bila kujali ina watu wangapi.
Bado wadogo sana, China ina 2mil soldiers. Wana Generals kama utitiri and rightly so
Inawezekana asili ni Kahangala, halafu Masanza kahamia. Ukipita tuu Masanza Kona, ule bonge la mjengo zuri kuliko majengo yote kijiji kizima, ndio mjengo wake.Mie nikijua Mabeyo kwao Kahangala.
Huyu sio 5 stars general?
Hapo sasa, miye Field Marshal.Brigadier - 1
Major General - 2
Lieutenant General - 3
General - 4
Halafu Sarakikya alipata mtelemko ambao ni nadra sana kutokea. Alipandishwa cheo kutoka lieutenant mpaka brigadier na kufanywa kuwa mkuu wa majeshi. Hivyo, hakuwahi kuwa captain, major, lieutenant colonel wala colonel. Miaka hii hilo haliwezi kutokea!
Nope. 4.Huyu sio 5 stars general?
Wale Ni vichekesho
Hakuna majeshi kule Ni vikundi waasi na wanamgambo waliobahatika kushika nchi
Kwanza majeshi Yao wengi hawana nidhamu
Junior officer ni second lieutenant,lieutenant and captainJunior NCOs koporo usu mpaka Ssgt.
Senior NCOs ni kwa Warrant officers 1 na2
Senior officers inaanzia Kanali na kwenda juu. Angalia ADC wa Mama na wa Mwinyi jr ujifunze kitu kwa Marais hawa wawili katika nchi moja.
Junior officer ni luten adi captain senior officer ni major hadi kanaliAngalia wekundu na unga wa kwenye kofia zao. Lt colonel ni jr officer.
How sure are you?Ukienda hapo burundi, Rwanda, Congo na South Sudan hao 4 star generals wakumwaga yani
Junior officer ni luten adi captain senior officer ni major hadi kanali
Typically 1000 mpaka 3000Colonels wanaongoza wangapi?