Current four star Generals in Tanzania

Junior NCOs koporo usu mpaka Ssgt.
Senior NCOs ni kwa Warrant officers 1 na2
Senior officers inaanzia Kanali na kwenda juu. Angalia ADC wa Mama na wa Mwinyi jr ujifunze kitu kwa Marais hawa wawili katika nchi moja.
Hivi Lt Colonel hayuko kwenye cheo cha mwanzo cha Sr Officers? Meja na Captain ni Jr Officers?
 
Sio lazima, lakini kuanzia kuwa commissioned Officer yaani Luteni Usuu, huchukuwa sio chini ya miaka 24 kwa kufuata miaka ya kupata promotion na kufikia Kuwa Four Star General.

Kwa hiyo sio rahisi kuwa na Lt. General awe kijana. Na hii ni karibu dunia yote.
 
TPDF - Tanzania People's Defense Force ndiyo JWTZ - Jeshi la Wananchi wa Tanzania, JKT iko ndani ya TPDF (JWTZ), hili ndilo Jeshi la Ulinzi la Tanzania.

Hayo yaliyobaki, yaani Police Tz, Tanzania Prison (Magereza), nk, ni majeshi yanayohusika zaidi na usalama wa raia.

Hapa tuna "ULINZI" na "USALAMA".

Ndiyo maana, Rais ni Amir Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ULINZI na USALAMA.

CDF - Chief of Defense Force, ni kwa Jeshi la Ulinzi (Defense Force) tu.

Wengine ni IGPs, yaani Inspector General of Police & Prison.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kijana ni range ya umri gani?

Mtu akiwa luteni usu na miaka24, ukiongezea na hiyo 24 mingine uliyoitaja, by 48 au 49 anaweza akawa full general?

Mtu mwenye miaka 48 ni mzee?
 

..nakubaliana na wewe.

..na kukazia hoja yako naomba msome document ya CIA hapo chini kuhusu mabadiliko ya CoS wa Jwtz yaliyofanywa na Mwalimu Nyerere.



" PRESIDENT NYERERE JULY 10 ANNOUNCED SERIES OF SHIFTS IN TANZANIAN MILITARY COMMAND, AS FOLLOWS:

BRIGADIER TUMAINIEL NDERANGUSHO KIWELU IS NAMED CHIEF OF STAFF OF TANZANIAN PEOPLE DEFENSE FORCE (TPDF), REPLACING BRIGADIER SIMON NKWERA, WHO BECOMES MANAGING DIRECTOR THE NEWLY CREATED RUFIJI DEVELOPMENT AUTHORITY.

COLONEL MIKE MARWA IS PROMOTED TO BRIGADIER AND NAMED COMMANDER OF THE TPDF SOUTHERN BRIGADE, REPLACING BRIGADIER KIWELU.

COLONEL A. SIMBA IS NAMED TANU PARTY SECRETARY OF WEST LAKE REGION (AND, IPSO FACTO, REGIONAL COMMISSIONER), REPLACING COLONEL MARWA.

MR. MOSES NNAUYE, TANU SECRETARY OF SINGIDA REGION (AND NOW CONFIDENTIAL CONFIDENTIAL
IS NAMED CHIEF POLITICAL EDUCATION OFFICER IN THE TPDF, REPLACING COLONEL SIMBA.

2. BEGIN CONFIDENTIAL.
COMMENT: BRIGADIER NKWERA HAS BEEN KICKED OUT TO A MILITARILY INCONSEQUENTIAL JOB, THUS REFLECTING AN APPARENT VICTORY FOR COMMANDER IN CHIEF MAJOR GENERAL ABDULLAH TWALIPO, WITH WHOM NKWERA HAS BEEN QUARRELING FOR SOME TIME, THOUGH WE DO NOT YET KNOW WHOLE STORY.

KIWELU IS DISTINCTLY A RISING YOUNG STAR, AND PRESUMABLY A PROTAGE OF TWALIPO. HE WAS A LIEUTENANT COLONEL COMMANDING THE FOURTH BATTALION AT NACHINGWEA WHEN HE WAS JUMP-PROMOTED TO BRIGADIER AND NAMED COMMANDER OF THE SOUTHERN BRIGADE LAST FEBRUARY 9. PREVIOUSLY HE HAD SERVED AS COMMANDER OF THE MONDULI TANU MILITARY ACADEMY.

IT IS NOT KNOWN WHY A NEW TANU SECRETARY (REGIONAL COMMISSIONER) HAS BEEN NAMED FOR WEST LAKE REGION. THIS REGION, WHICH BORDERS ON UGANDA, IS CONSIDERED MILITARILY AND POLITICALLY SENSITIVE, AND ITS LEADERS ARE CHOSEN WITH MORE THAN USUAL CARE. "

cc Nyani Ngabu, Pascal Mayalla
 
Kanali. Inakaa wapi?
 
Bangi ni kitu kibaya sana
 

Vyeo hivi vinaweza kwenda haraka kutokana na missions muhusika alizo zikamilisha
 
Sidhani kama italeta picha mbaya.

Naona ni sawa tu.

La sivyo, wangeweka utaratibu wa Chief of Staff kuwa ndo next in line....

Kwa sasa inafanyika hivyo kiutamaduni tu, si kisheria.
Jeshi lina tamaduni yake, hata kama mnacheo kimoja lakini kuna njia nyingi za kupata seniority.
1)Nani kaanza kupata cheo,

Mkishindwa kupata seniority mna endelea.
2) NA ni mkubwa kuliko mwingine.

Mkishindwa kupata seniority yaani mnafanana kwa yote hayo
3) Nani ameanza kuingia Jeshini kabla ya mwenzake.

Kwa hiyo kwa utamaduni wa Jeshi lazima patapatikana mkubwa tuu.
 
Nakubaliana nawe.
 
Kwa nchini kwetu Tanzania kwa muda mrefu serving CoS ndio wamekuja kuwa CDF kama umri unamruhusu, mara anapo staafu CDF.
 
Shukrani Ng'wale

Nimekuelewa kwa uzuri sana. Lakini ningelipenda kufahamu uzito kwa mlolongo (vikosi) kwa nguvu ya uwajibikaji wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Mfano, 1. JWTZ 2. Traffic 3. Mgambo | Mfano tunavyolinganisha vilabu like 1. Kagera Sugar 2. African Lyon 3. Arsenal and co.
 
..wakati wa mwalimu nyerere, mwinyi, mkapa, mkuu wa majeshi alipobadilishwa, mnadhimu mkuu naye alibadilishwa.

..lakini mnadhimu mkuu aliweza kubadilishwa, bila ya mkuu wa majeshi kuwa amebadilishwa.
Elezea kwa upana, mara zote kwa tulivyo zoea nchini, yakifanyika mabadiliko ya CDF na CoS hubadilika. Na hii ni kwa kuwa Ma CoS ndio huwa CDF, kwa hiyo nafasi ya CoS huwa wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…