Current four star Generals in Tanzania


Miaka michache iliyopita insignias za jeshi letu zilikuwa 100% za British system. Sasa hivi ni hybrid ya American system na British system. Insignias za colonel na ranks za chini yake ni za British system. Insignias za brigadier general na ranks za juu yake ni za American system. Katika jeshi la Marekani, hakuna insignia ya rank yoyote chini ya brigadier general ambayo ina nyota. Kwahiyo, rank ya kwanza kuwa na nyota ni brigadier general.

Interestingly, ukiona bega la brigadier wa Marekani ni kama vile umeona bega la second lieutenant wa Bongo; la major general wa Marekani utadhani umeona la lieutenant wa Bongo na la lieutenant general wa Marekani utadhani umeona la captain wa Bongo.

Sijaelewa kwanini tumeamua kuchanganya systems!
 
The only one who will stop at nothing in her ultimate quest to ride my schlong is you, Ms. Schmidt from Bayreuth, Bavaria.

You want my BBC so bad. Don’t you?
Hey ma, I got something special and totally wunderbar for you: Bavarian sausage with Crème Brûlée for dessert. 400 year old traditional recipe. Only your cum- dump ass may be older.
 
Hongera Ngabu!
Mada kama hizi huongeza maarifa na pia hutupa kumbukizi ambazo zinataka kupotea.....wazee wetu akina Twalipo, Msuguri, Kimario, Sarakikya, Kiwelu ............
 
..hiyo imetokea kwa Mwamunyange na Mabeyo.

..kabla ya hapo hakuna CoS aliyepandishwa kuwa Cdf.
MUHIMU

Mwamnyange na Mabeyo hawakua serving CoS chini ya maraisi wanaoondoka, isipokua waliletwa hapo na maraisi wapya walioingia, so technically ni kama hawakua CoS kabla ya kuwa CDF........ (i mean chini ya former CiC)
 
Huwezi kuaffiliate ushenzi wa mtu mmoja na kabila zima tena lenye watu zaidi ya milioni 10.
 
Hao niliowataja waliwahi kuwa CoS lakini hawakuteuliwa kuwa CDFs
Uliyemquote ameongea vizuri tu kuwa CoS mara nyingi ndio wanakuwa maCDF ikiwa CDF aliyepo atastaafu, ikiwa umri unamruhusu, ulichoandika wewe kama umemuuliza vipi kuhusu Shimbo na Ndomba. Kwani kipindi Shimbo na Ndomba wakiwa CoS kuna CDF aliyekuwepo alistaafu?
 
Sawa nimekupata mkuu. Shimbo alistaafu 2012 ndiyo akateuliwa Ndomba ila sasa baada ya hapo Ndomba alienda wapi sijui
 
Intresting, you are Intelligent [emoji1474]
By the way, tunakoelekea nahisi kama tutaegemea kwenye rank za NATO zaidi na kuacha muundo wa kimapokeo, kwani haiishii hapo tu, kama unakumbuka muundo wetu haukuwahi kuwa na Comd csm wala brigade csm.
 

Wewe nae,kwa hiyo hayo makabila mengine hakuna Wajinga? Sidhani hata kama mmoja wa Wazazi wako ni Msukuma,usijifiche kutukana Wasukuma kwa ksingizio cha “mmoja wa Wazazi wako kuwa Msukuma” otherwise basi na wewe ni zao la hao hao Wasukuma Wajinga.
 
Haya maelezo yako sio sahihi kwa 100%

Senior officer yeyote yule anaweza kuogoza kambi/kikosi kuna ma CO wengi tu ni lieutenant colonels na sio full colonel

Pia hata major kwa mafunzo aliyonayo anauwezo kuwa CO na kumekuwa na wakuu wa vikosi wengi tu ma meja



Pia hapa sina uhakika vyema ila kwa knowledge nilionayo ninacho fahamu ni kwamba section ni watu 9 na inaongozwa na koplo yes

Na platoon INA watu about 30 INA inaongozwa na luteni( kamanda wa platuni) na sio 90 kama ulivosema but I'm open to new knowledge labda nililishwa matango pori Mimi nilipofundishwa.

Na hata kwenye maelezo yako yote umeruka cheo cha u kapteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…