Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

My baby sis 😍 kumbe sisi ni waifu matirio na hakuna aliyewahi kutuambia? Hofu yangu watu watasema hii ni fekero tumekuja kujifagilia
Sis maneno yapo tu
Atakayesema tumekuja kujifagilia makebo yake

Sisi ni waifu matirio na sitaki kuambiwa tofauti na hapo 😂
 
Makebo nashauri ubadili I'd maana wabaya wako walifanikiwa katika hili kiasi kwamba watumiaji wengine wanajisahau na kutumia hili neno makebo kumbe maskini ni I'd yako

Binafsi kwenye I'd yangu ya muda mrefu walijaribu pia kuichafua lkn ilishindikana,ila yako naona Ishachafuka tayar
 
Pole yake aisee
 
Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄

Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.

Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?

Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No

Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.

Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄

Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?

ShesRise_1 🤚
Aaaah wapi! Bila kupelekeana moto HATUTAKI urafiki! 👉🤙✊💪
 
Back
Top Bottom