Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,645
- 23,272
sjambo shkamoo,,,wewe ni mzee wa sasa?Wazee wa sasa,
Hujambo?
sjambo shkamoo,,,wewe ni mzee wa sasa?Wazee wa sasa,
Hujambo?
Mimi ni Mzee Sana. Matunzo yako muhimu saana kwangusjambo shkamoo,,,wewe ni mzee wa sasa?
Nimeshakuona mbona, nipe location nije tule salary yanguNimeshauriwa nitumie magadi yana safisha nyota.
Nitakuwa nakunuia wewe maybe unaweza kuniona .
fafanua babu,,matunzo gani ayoooMimi ni Mzee Sana. Matunzo yako muhimu saana kwangu
Duuh kwahiyo Makebo ni kiungo cha mwanamke ila jamani...Kwahiyo kila anayechafuliwa ID yake inatakiwa abadili?
Moderator Active Maxence Melo wanatakiwa wawachukulie hatua kali hawa wanaochafua User name za wenzao,hawa wanaochafua ID za wenzao hata life ban itakua ni hukumu tosha kabisa coz kitendo cha kutumia username ya mtu na kuiwasilisha kama kiungo cha aibu cha mwili wa mwanamke si jambo la busara,
Tabia hii ikichekewa itafikia stage ID's nyingi humu zitachafuliwa,kisha member wataona JF ni kama vile haina wasimamizi na watashindwa kuzitumia ID's zao.
Matunzo flan flani hivi ya kukandwa kandwa mgongo kidogo....fafanua babu,,matunzo gani ayooo
babu mzinziiiiiMatunzo flan flani hivi ya kukandwa kandwa mgongo kidogo....
Ni maajabu au 😂😂Nimeona BICHWA KOMWE - kam tag DIVISHENI FOO
Hapana sishangai. Wawili Hao ni Pipa na Mfuniko.Ni maajabu au 😂😂
Nashindwa kuaelewa😂😂Hapana sishangai. Wawili Hao ni Pipa na Mfuniko.
Wewe ni Adris de mbusi?Hapana sishangai. Wawili Hao ni Pipa na Mfuniko.
Duh😁😁Wewe ni Adris de mbusi?
Soree lakini
😆😆Nashindwa kuaelewa😂😂
Tuchukue tu wote mkuu
Toeni location mkuuTuchukue tu wote mkuu
Muhimu kutunzwa tunzwa si unajua uzee huuubabu mzinziiiii
shida hua hamfany chochote mnashkashka tu mnaacha tunatoka na njaa zetuMuhimu kutunzwa tunzwa si unajua uzee huuu