Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Makebo nashauri ubadili I'd maana wabaya wako walifanikiwa katika hili kiasi kwamba watumiaji wengine wanajisahau na kutumia hili neno makebo kumbe maskini ni I'd yako

Binafsi kwenye I'd yangu ya muda mrefu walijaribu pia kuichafua lkn ilishindikana,ila yako naona Ishachafuka tayar
Kwahiyo kila anayechafuliwa ID yake inatakiwa abadili?

Moderator Active Maxence Melo wanatakiwa wawachukulie hatua kali hawa wanaochafua User name za wenzao,hawa wanaochafua ID za wenzao hata life ban itakua ni hukumu tosha kabisa coz kitendo cha kutumia username ya mtu na kuiwasilisha kama kiungo cha aibu cha mwili wa mwanamke si jambo la busara,

Tabia hii ikichekewa itafikia stage ID's nyingi humu zitachafuliwa,kisha member wataona JF ni kama vile haina wasimamizi na watashindwa kuzitumia ID's zao.
 
Back
Top Bottom