ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,748
- 42,182
- Thread starter
- #21
Wewe huna unae m crush mkuu😆Mambo ni moto
Wewe huna unae m crush mkuu😆Mambo ni moto
Shida nini kijana hii sio haki 😢Kwenye nyuzi kama hizi wengine tunaishia kuumia tu...
Ngoja tuone.
2014 ni mimi,Namcrush kimapenzi kijana mmoja wa joined 2014
Ushaanza kujipakulia minyama2014 ni mimi,
asante sana,karibu PM tuyajenge huku tukipata Juice ya miwa baridiiiii.
Safiiii one day atarudi
Unajua hata wewe nakucrushKwenye nyuzi kama hizi wengine tunaishia kuumia tu...
Ngoja tuone.
Bila ku mtaja hii ni chai isiyo na sukari bibi😁My all time crush sijui alipotelea wapi. Yaani nilikuwa nikiingia jukwaani lazima kwanza nitafute kakomenti nini🤣🤣🤣
Let's all pray she swings back to jf..Safiiii one day atarudi
mshamba_hachekwi Mungu hamtupi mja wake njoo uone umeonekanaUnajua hata wewe nakucrush
Ulivyojiunga ulikuwa hueleweki,ukapata short break sijui ilikuwa ban ile ulivyorudi ulikuwa unatema madini tupu 😂
Wataje sasa.Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄
Yaani huyu hadi babu yako anamjua🤣🤣🤣Bila ku mtaja hii ni chai isiyo na sukari bibi😁
Nitawataja juu kwenye uzi nitaenda ku edit kule juuWataje sasa.
Hivi kumbe wewe hujataja?Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄
Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.
Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?
Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No
Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.
Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄
Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?
ShesRise_1 🤚
Aisee.Unajua hata wewe nakucrush
Ulivyojiunga ulikuwa hueleweki,ukapata short break sijui ilikuwa ban ile ulivyorudi ulikuwa unatema madini tupu 😂