Nini kimetokea Twin?Marcostilone hebu njoo kwanza huku
raraa reree njoo uchukue maua yakorara ree simjui ila namkubari
Ndugu zako wamepita na ule uzi🙌Nini kimetokea Twin?
Upi huo Twin?Ndugu zako wamepita na ule uzi🙌
Ule wa kuhusu uaminifu twin wa muda ule umekumbuka?Upi huo Twin?
Duh 🤔, kwanini imekuwa hivyo? Maana haukuwa na ubaya wowote ule uzi.Ule wa kuhusu uaminifu twin wa muda ule umekumbuka?
🤣🤣🤣🤣raraa reree njoo uchukue maua yako
Nikaona labda nikuulize na wewe kuna kitu gani kibaya umeonaDuh 🤔, kwanini imekuwa hivyo? Maana haukuwa na ubaya wowote ule uzi.
Kuna uzi pia nilikutana nao humu ndani, member alikuwa akilalamika nyuzi zake baadhi zimepotea, kibaya zaidi hawa moderators hawatoi taarifa wala mrejesho wowote mtu akilalamika.Nikaona labda nikuulize na wewe kuna kitu gani kibaya umeona
Tone yangu ya uandishi ni ile ile sijawahi kuweka matusi kwenye nyuzi za kijami au za falsafa
Hata za mapenzi hua nina mipaka
Safiiiiiii 🔥 🔥🔥🔥Khantwe my kila kitu
Unajua nini yupo kama alivyo
1.Mwepesi wa kijikubali kwa hali yake
2.haogopi kuwa alivyo
3.Anaweza kuwa daraja lolote kimaisha
a) la juu
Be) la kati
Chee) mpaka aamue mwenye nadhani kapachoka ila haoaogopi kupaishi mpaka apate Alpha wake.!
Ukiwa unataka kutengeneza empire kwa mzizi Khantwe ni best choice
Joanah yupo kama hantwe ila ana kaujeuri kakumfelisha but yupo poa ila sio mlezi
Kumbe kuna watu wengine pia aiseeKuna uzi pia nilikutana nao humu ndani, member alikuwa akilalamika nyuzi zake baadhi zimepotea, kibaya zaidi hawa moderators hawatoi taarifa wala mrejesho wowote mtu akilalamika.
Sijisikii kuandika tena twin sipendagi stress ndogo ndogoTwin jaribu kuliwasilisha hili kwa moderator moja kwa moja, maana hii tabia inapunguza morali ya mtu kuwa anaandika nyuzi humu ndani.
Mkuu hii komenti yako imenifikirisha sana hasa hapo uliposema....au basiKhantwe my kila kitu
Unajua nini yupo kama alivyo
1.Mwepesi wa kijikubali kwa hali yake
2.haogopi kuwa alivyo
3.Anaweza kuwa daraja lolote kimaisha
a) la juu
Be) la kati
Chee) mpaka aamue mwenye nadhani kapachoka ila haoaogopi kupaishi mpaka apate Alpha wake.!
Ukiwa unataka kutengeneza empire kwa mzizi Khantwe ni best choice
Joanah yupo kama hantwe ila ana kaujeuri kakumfelisha but yupo poa ila sio mlezi
Khantwe my kila kitu
Unajua nini yupo kama alivyo
1.Mwepesi wa kijikubali kwa hali yake
2.haogopi kuwa alivyo
3.Anaweza kuwa daraja lolote kimaisha
a) la juu
Be) la kati
Chee) mpaka aamue mwenye nadhani kapachoka ila haoaogopi kupaishi mpaka apate Alpha wake.!
Ukiwa unataka kutengeneza empire kwa mzizi Khantwe ni best choice
Joanah yupo kama hantwe ila ana kaujeuri kakumfelisha but yupo poa ila sio mlezi
Twin, usiruhusu jambo moja liwe sababu ya kuacha kufanya kile kinacho pendwa na wengi, tunaopenda kusoma mawazo yako tupo wengi.Kumbe kuna watu wengine pia aisee
Sijisikii kuandika tena twin sipendagi stress ndogo ndogo
Sijawahi kufikiri kuhusu hili twin mie hua nafanya kama hobby yaan napenda mnoo kuandika ila sasa naona labda moderator wamechoshwa 🤣🤣🤣Twin, usiruhusu jambo moja liwe sababu ya kuacha kufanya kile kinacho pendwa na wengi, tunaopenda kusoma mawazo yako tupo wengi.
Aisee nashindwa kuelewa Platform unaandika for free bado tena unafutiwa mabandiko yako bila hata taarifa 😆 🙌🙌Angalia engagement kwenye nyuzi zako crush, obviously utagundua kuwa wanaofuatilia na kusoma nyuzi zako ni wengi, utatukatili ukitaka kuacha kuwa unaandika.
Inawezekana huyo moderator aliyeufuta ni secret fan wako, aliusoma ukamchoma sana 😂😂.Sijawahi kufikiri kuhusu hili twin mie hua nafanya kama hobby yaan napenda mnoo kuandika ila sasa naona labda moderator wamechoshwa 🤣🤣🤣
Aisee nashindwa kuelewa Platform unaandika for free bado tena unafutiwa mabandiko yako bila hata taarifa 😆 🙌🙌
Hivi ule uzi unaweza kumchoma mtu mbona upo kawaida twin 🤣🤣Inawezekana huyo moderator aliyeufuta ni secret fan wako, aliusoma ukamchoma sana 😂😂.
Twin, huenda moderator alisoma akaishia kusema 'huyu leo amenizidi'.. delete! 😂😂Hivi ule uzi unaweza kumchoma mtu mbona upo kawaida twin 🤣🤣
Ila kama ni secret fan ndio afute jamani😞