Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Hata mimi nashindwa kujua umezidi nini, maana kuandika vizuri siyo kosa bana. 😂

Labda alikosea kitufe, alitaka kubonyeza Like akabofya delete 😂.
Shenziii zako twin 🤣🤣🤣
Kidude hicho vp na kuna sehemu nyingine nimeona mauza uza
 
Acha kunichekesha 🤣🤣
Huo umeenda twin
😂😂 Kuna mwingine naye walimfanyia huu mchezo, akawaanzishia uzi kabisa, alinifurahisha tu alichokisema, ngoja nimnukuu.

" Moderators kama hamtorudisha nyuzi zangu mlizo zifuta, mimi ninazo copy zake zote kwa hiyo nitafanya kuwa nazipost upya kila siku ili niwajazie server zenu vizuri"

Nilisoma nikacheka 😂😂
 
Unanishauri je twin nifungue na mimi au🤣🤣
 
Back
Top Bottom