Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄

Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.

Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?

Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No

Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.

Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄

Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?

Watu ninao wa crush jukwaani

For Boys
👇
Marcostilone huyu nime mbatiza jina The Thinker 🧠

Mshana Jr my Dad ❤️

Tlaatlaah hapa kwa wale wapenda siasa mnisamehe kidogo yeye anajua zaidi🐒

ERoni Babu hakosi kwenye kikao cha wazee😌

Kwa girls 👇

binti kiziwi 🧠
Binti wa zamani 🍑🍆
win-one kakorofi haka🤪

ShesRise_1 🤚
Sawa
 
Ni changamoto ya humu sasa we unahangaika demu mikazo mingi hapo kuna muhuni anajua demu anamchirizi kutoka kitovuni hadi tako la kulia, muhuni anajua demu titi moja linaangalia pembeni lingine chini ila ndo hvo.
Halua haina makombo bwashee,
Kila mtu ale kwa wakati wake,
Kwani baada ya kutumiwa si hua inaoshwa.
 
Back
Top Bottom