Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,124
- 126,386
Uwiiii! Pacha nakugawa. 🤣🤣Sifa alizotaja ni zako zote
Kamalizie kureact (😍) kwenye comment yake tumalizane na hili 😂
Uwiiii! Pacha nakugawa. 🤣🤣Sifa alizotaja ni zako zote
Kamalizie kureact (😍) kwenye comment yake tumalizane na hili 😂
Kuna ka harufu kwa ufujaji wa I'd hapo🤔Kajicrush kwa IDs zake zote sio? 😂
Wa story dear kuchangamsha jukwaaila ni ukorofi upi sweet😊😄
hapo sawa, si nikajua ni ule ukorofi wa ngumi 😄😄😄Wa story dear kuchangamsha jukwaa
😅 sawaWala na utu uzima huu ...sina energy hiyo labda mtu a-cross line....😃😃😃
kunywa maji 😀Unaona sasa😥
Nimeshaumia mpaka hapa
Nikusaidie kumtag braza😃😃😃Naona aibu kumtaja , ni mchangamfu , mpole , mstaarabu hajawahi kugombana wala kuwa na bifu na member wowote jukwaani .
She's so Unique , calm beautiful with brain muda mwingine natamani niondoke Jf ila nikiwaza ID yake na comment zake nzuri nitaziona wapi basi narudi Jf automatically .
Akiiona hii comment lazima ataweka reaction ya 🥰 au 😍
Kuwa makini kila unayem-crush na kumtaja, usije kuumiza watu moyo!Sasa hapo kwenye u crush ,unaye mtaja watu kumbe wanachapa,ugomvi huo
Mule mule😃
Mpwa wangu, mapenzi tele kwako 🫶
Mtaani kwanza pole,nasikia vijana walikuja kujisaidia jangwaniUwiiii! Pacha nakugawa. 🤣🤣
Yale makontena tuliyo kuwa tunasema ni mapya , unaona ni mapya tena bwashee?Underground au sio, mangi wa motooo🤣
Niacheeeeumbea tu😄😄😄
Subiri msikie nimejinyonga.kunywa maji 😀
Serious? 😃Mule mule😃
Nakupenda kabinti kangu kazuri 😍
Love you more babie 😊my self ilaviyuu zaidi sijui hao wengine😍😍
😂😂Kuna ka harufu kwa ufujaji wa I'd hapo🤔
Hapana we kapoleehapo sawa, si nikajua ni ule ukorofi wa ngumi 😄😄😄