Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,335
- 133,649
Duh...!.Paskali acha kutetea ujinga, mbona umekua lipuuzi namna hii? Magufuli anatakiwa ajitokeze sasa, aoneshe njia. Kama u-Rais umemshinda ajiuzulu, apishe wengine wenye ujasiri na weledi katika vita hii.
P