May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,367
- 9,111
Hizo ni kwa mwezi ama? na vipi kama korona atakuwepo kwa miezi kadhaa?Kila Kaya tupewe laki3 huo mpunga upo kweli??
Hizo ni kwa mwezi ama? na vipi kama korona atakuwepo kwa miezi kadhaa?Kila Kaya tupewe laki3 huo mpunga upo kweli??
Muulize, kwani wakati wa vita ya Idd Amini na wakati wa njaa kali ya mwaka 1962 na miaka ya 1970 Bitiama haikuwepo? Kwanini Nyerere hakwenda kujificha Butiama? This is a complete failure of Jiwe!Mkuu kama ingekua hivi basi Nyerere ama Churchill wasingeenda front ya vita kuongoza mapambano ya kijeshi ili kuwatia morale wanajeshi wao kisa tu hii principle yako ya serikali inafanya kazi ikiwa popote!!
In times of crisis, the big man's public presence is of high essence.
Tumia ile id yako nyingine afu unga mkono hojaZitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Hivi hukumwelewa zito au kwakuwa anayesutwa ni msukuma mwenzio? Tutashirikiana vipi na kiongozi anayeendekeza ubaguzi wa kisiasa, kikabila, kikanda na kidini?Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Wewe ukifanikiwa kuwa Mbunge,huenda utakuwa ni hasara kwa Taifa!!


Pascal Mayalla watu wanakuja nakuondoka Tanzania ipo daimaZitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
Mkuu kama ingekua hivi basi Nyerere ama Churchill wasingeenda front ya vita kuongoza mapambano ya kijeshi ili kuwatia morale wanajeshi wao kisa tu hii principle yako ya serikali inafanya kazi ikiwa popote!!
In times of crisis, the big man's public presence is of high essence.
Kila Kaya tupewe laki3 huo mpunga upo kweli??
Mr. Mkiki, issue ya King David, na mke wa General Uria aitwae Bathsheba, ni issue nyingine. Daudi alimtamani mke wa Uria, Bathsheba, akamtuma Uria vitani ili auwawe na yeye akamtwaa mkewe na kumfanya ni mke wake na ndiye aliyemzalia Solomon who became King Solomon,Mfalme David baada ya kumpiga jiwe Goliath, na kutawazwa kuwa mfalme, vita vilivyofata alikuwa haendi frontline bali alibaki home huku akivizia wives wa Askari wake ili "awapige jiwe" pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita vinapigwana kisasa, the command post ni Chatto. Usually the command post inapaswa iwe established mahali ambapo ni safest place in the area. Safe heavens zetu kwa sasa ni Chatto.Sasa huyo rafiki yako mpo pamoja au kakimbia. Uliwahi kuona wapi namba moja anakuwa likizo nchi ikiwa vitani? Au wewe hujui kuwa tupo vitani?
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane. Huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Hapana, mkuu 'Ankazominiotra' sio swala la 'literacy level', ni lazima pawepo na sababu ambayo bado wengi wetu hatuijui.Kalamu1,
Kwa literacy level ya the bigger population ya watanzania kiukweli ni kujichosha tu kuwatetea.
Sa una stand together na ku unite na nani? We upo Dar mwenzako yupo Karantini Chato, mnaungana Saa ngapi?Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane. Huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P